Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Njoo Break Point ya mjini, memba kibao wa JF hukutana kila ljumaa baada ya saa za kazi
mhh,kwa nini hata hutamani?
Mi nimekutana na moja tu humu ndani....
Mmekutana? Halafu ikawaje?
Hebu endelea kutudadavulia afrodenz.