Halafu members wengi wanaofahamiana ni wa jukwa la MMU na MAMBO YA WAKUBWA
jukwaa la wakubwa labda watu wanaogopana.hapo kwenye blue slogan ya "JF is beyond keyboards" ndipo inapoapply......hapo red ninaweza kukubali na kukataa vilevile......
jukwaa la wakubwa labda watu wanaogopana.
Simfahamu tu huyu bali namjua.mimi niliambiwa Cantalisia ni binti yako....
Unatengeneza picha tu, mi nilishangaa baba mkwe nae member humu aliniuliza kama naifahamu JF nikamwambia wala
tatizo ukipost sana watu watakuchukulia unapenda sana makubwa.hapana....watu hawaogopani kule....ha ha ha.....kule vitendo zaidi ya maneno....
aisee,ngoja nijaribu huko fb kucheki hiyo group!nina miaka kadhaa nje ya fbah.... maranyingi nikienda group ya
jf - Facebook .... zile post za kule zinafanana na baadhi ya avatars za humu.
kuna baadhi profile photos zao ndio avatars...
Is that a compliment? Hahaha,take it easy fabinyo! Maisha yenyewe yako wapi, achana na kujuana na watu wasiokupa ugali. Kujuana humu,kucheka na kushauriana ndo mpango kamili!lol
Nimekuwa nasoma threads mbalimbali za members hapa jf,jinsi watu tunavyojadili huwa naona kuna wengine wanafahamiana physically!hii imenisukuma kuuliza hilo,mimi binafsi simfahamu yeyote hata kama tukikutana kwa sababu wengi humu tunatumia majina fekiiiiii!nakufahamu wewe tu hapa mtandaoni,je wewe unamfahamu nani na nani?