Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,566
- 11,808
Sawa, nakusubiriNaam niliuona mkuu wangu na nimeusoma vema
Sawa, nakusubiriNaam niliuona mkuu wangu na nimeusoma vema
Mkuu Mshana, kijana hawezi huyu!! hii kazi ina wenyewe!!Ujitahidi kuyajibu basi usipotee
Mkuu nashukuru kwa majibu mazito, pia baadae nipe ufumbuzi juu ya jirani yetu ambae mara tu baada ya kupandishwa cheo kazini alikuja njiwa mwenye hirizi nyekundu juu ya computer yake na akamtoa, tangu hapo akaanza kupiga kelele hovyo na hadi sasa analala majalalani ni kichaa kamili na mke wake ameshaolewa kwengine.
Ni kitu gani hiki?
Yote haya yameshaulizwa na kujibiwa ndani ya uzi huuNi principal na nguvu gani ipi inamfanya mtu ajibadilishe na kuwa kiumbe kingine??
Kwa mfano:
Binadamu kupaa na kusafiri anga za mbali kwa muda mfupi sana.
Binadamu kujibadilisha kwa muda kuwa Nguruwe, Mbwa, fisi nk
Binadamu kumdhuru binadamu mwenzake kwa kutumia nguvu hii, kinachofanyika ni nini hasa?
Binadamu kuiba mafanikio ya binadamu mwenzake
Binadamu kuwa na nguvu ya kutoonekana kwa macho;
Binadamu kufa, lakini ki-ukweli hajafa na watu wote kwa msiba wanakuwa wanazima mgomba
Uhusiano wa binadamu na Mizimu, Wanga, Mashetani na Misukule ni upi?
Tunataka kujua asili ya hii nguvu inatoka wapi? inatokana na nini?
Nimeku pm mkuu. Sijui umeiona?Usijali nikitulia natiririka, nipo ofisini sasa.
Hawa wapuuzi wanatuharibia Uzi kwa Science Yao waliyoyakariri , Nyie sio wanasayansi na hamjasoma but you all read the History of Science ambapo wahusika wake Ni Akina Newton na wenzake , Acheni kutuchafulia Uzi kama vipi Anzisheni wenu afu mtoleane hoja .Sayansi sio kila kitu na ndio maana wanazidi kugundua mambo mapya wakati yalikuwepo tangu zama, kukufungua akili tu fani hii inajitegemea kuanzia vipimo, uvumbuzi na ugunduzi inajitosheleza tena ni zaidi ya sayansi, tofauti tu ni kwamba haipo kibiashara wala kunufaisha watu bali wao wenyewe.
ndio mkuuu mimi niliteseka sana kupata kazi nikaenda kwa mzee kilenga kuna uzi wake humu jf sikukaa hata muda nikaitwa kazini dsm tena nikatumiwa na nauli kuja kwenye interview ...nikaja na nyumba nikapewa nipo zangu kazini kwa raha nampenda mganga wangu sana hata leo nimemrushia elf 50 ya soda.Duuu je Ni Kweli mtu anaweza kupata Kazi, ndoa n.k kwa kutumia Madawa ?
wapi mzee kilenga nimtafute, weka namba yake inboxndio mkuuu mimi niliteseka sana kupata kazi nikaenda kwa mzee kilenga kuna uzi wake humu jf sikukaa hata muda nikaitwa kazini dsm tena nikatumiwa na nauli kuja kwenye interview ...nikaja na nyumba nikapewa nipo zangu kazini kwa raha nampenda mganga wangu sana hata leo nimemrushia elf 50 ya soda.
watu wanaweza kukufunga mpaka ukome mkuu hii ndo dunia usiombe yakukute
kuhusu ndoa sijajaribu mimi sipendi wanaume ila aliniambia nikitaka kuolewa anytime nimcheki
unataka aniloge saa hizi yupo mlimani hakuna network kule halafu kesho yupo kilingeni hadi jtatu nicheki nimuombe nikupe nambawapi mzee kilenga nimtafute, weka namba yake inbox
Rubii nilishamroga