Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

Status
Not open for further replies.

Mtu mzito

JF-Expert Member
May 13, 2016
1,779
3,180
Nipo hapa kujibu kila swali na kuondoa utata. Mimi ni mganga wa tiba zote za jadi na lengo ni kupeana ufahamu tu.
66ae7e9a4789fe47f0fa4c2b565963af.jpg

37295a3a560a5c15271e99330ee82a5b.jpg

36f58c319e37de9a039fe2c550c8c341.jpg

Na ukiwa na tatizo lolote linalo husiana na mambo haya ya uganga wa jadi nitakutatulia.

======

Hii imefungwa baada ya watu kumlalamikia mleta Thread.

https://www.jamiiforums.com/threads/ushuhuda-epuka-utapeli-toka-kwa-memba-huyu-mtu-mzito.1273156/
 
Mchawi anawezaje kufungua mlango huku umefungwa kwa mageti na milango jibu hatua kwa hatua?
Kwa nini kwa utaratibu huu huu hua hawafungui vaults za mabenki na safe wachukuE fweza ili watoke kimaisha?
Nipe precedure jinsi mchawi anavyoweza kupofusha macho watu wasione hicho wanachozika ni gogo sio mtu?
 
Kama unavyoona mazingaombwe mtu anapogeuza hiki kuwa kile ndivyo uchawi ulivyo, uchawi tangu asink. lengo lake ni kufanyia watu ubaya na sio kuiba (kutokana na vigezo na masharti ili uchawi uende)
Ila pia zipo njia wanazotumia kuchukua pesa kichawi kama vile kopera nk.

Kuhusu kupita katika mageti yaliyofungwa inawezekana kabisa tena kwa manuizi tu
umeparua swali mkuu, zama kidogo kutoa hatua kwa hatua procedure/mechanism ya huo mchakato. Mazingaombwe kuna Tricks ambazo huwa sio uchawi mara nyingi japokua wengine hutumia na ukiingi youtube unaonyeshwa kila kitu
 
Swali : je ni kweli wachawi huwa mnagongana angani? Mathalani kwa humu JF wewe Mtu mzito mshana jr na Mzizi mkavu ni wachawi, je mmewahi kugongana huko angani!
Kama zinavyogongana ndege angani ndivyo wachawi huweza kujikuta katika njia moja na hapo ni mawili, ama busara kutumika ama kuonyeshana uwezo.

Mimi na hao wenzangu uliowataja sio wachawi
 
umeparua swali mkuu, zama kidogo kutoa procedure Mazingaombe kuna Tricks ambazo huwa sio uchawi mara nyingi
Kuhusu mazingaombwe nimetolea mfano ila nadhani wataka kujua zaidi kuhusu kuiba bank, ni kwamba wizi upo na sehemu nyingi zinazindikwa bila nyinyi kujua, na pia lengo na misingi ya uchawi sio kipato bali ni madhara tu kwa watu na kujifurahisha kwa taratibu nyingine kama vile kula nyama za watu nk
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom