Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

Status
Not open for further replies.
swali ni kwamba ni kweli kuna majini ya kislam au ya kikristo, Kuna mtu aliniambia kuwa majini pia yapo ya dini tofauti tofauti ..?
yapo hadi majini masister
yapo ya kila aina bubu ,yatima nk
ni kweli yapo ya kisristo na kiarabu..majini ni viumbe kama sisi ila wameumbwa kwa moto. na Yanamuamini mungu.yapo makafiri na yanayopenda ibada
 
Watu wanajidanganya na majina! Jina ni bure kabisa kama huna imani. Lau hilo jina lingekuwa na nguvu natumai lingekuwa likitamkwa tu basi shetani atoke kwenye mwili wa mtu bila kuongeza neno lingine lolote. Lkn lazima useme neno "tokaaa". That means jina bila maneno mengine is nothing!. Pia hilo jina nguvu zake inaonekana zina mashaka maana lazima litamkwe mara nyingiii kwa kurudiwa rudiwa ndio lifanye kazi, bila kurudia rudia shetani hatoki duuh!

Kwa ujumla ninachokusudia kusema hapa ni kuwa si jina litendalo kazi bali ni IMANI iliyo ndani yako itendayo kazi. Hilo jina bila imani ni bure! Hilo jina bila utii wa maamrisho ya Mwenyezi MUNGU ni bure. Kifupi hata shetani aweza tamka jina hilo na kisitokee kitu.
Labda wewe wajidaganya hata wachawi hutamka maneno several time ndo mana kuzimu hawalitamki sasa utakitamka kitu bila imani dunia yenyewe iliubwa kwa kutamka ulimi huwa na maneno yenye impacts kubwa tu either utamke kiutani au serious ndo mana matamshi yana uhai na mauti. Hilo jina na kutamka na imani ni vtu viwili tofauti chah
 
Wewe ndio unajidanganya, hilo Jina baadhi ya binadamu wanalichukulia poa Kwa sababu hawajui siri iliyomo ndani yake ila shetani kwa kujua ukweli amepiga marufuku kulitaja hilo katika vikao vyake kwa namna yoyote ile.
Ua right wengine waposha lisingekuwa na power why likisemwa mapepo husema yanaungua. Kuzima whether una imani huna marufuku kulitamka hilo jina
 
ushawai kwenda huko? au unasikilizaga tu shuhuda feki? mimi nakumbuka siku nimeenda kwa mganga ana redio ndani ilikuwa inapiga kwaya kwa kwenda mbele . huku kwaya huku tunguli ...usiishi kwa hadithi za shigongo mamy ...mungu yupo na ulonzi upo na yesu yupo.
 
ndio mkuuu mimi niliteseka sana kupata kazi nikaenda kwa mzee kilenga kuna uzi wake humu jf sikukaa hata muda nikaitwa kazini dsm tena nikatumiwa na nauli kuja kwenye interview ...nikaja na nyumba nikapewa nipo zangu kazini kwa raha nampenda mganga wangu sana hata leo nimemrushia elf 50 ya soda.
watu wanaweza kukufunga mpaka ukome mkuu hii ndo dunia usiombe yakukute
kuhusu ndoa sijajaribu mimi sipendi wanaume ila aliniambia nikitaka kuolewa anytime nimcheki
taratibu utaingia kwenye mtego. Hatua ya kwanza huwa poa lakini baadae................
Hii ndio kawaida ya mitego, unaona mambo safi tu. Kwa mafanikio ya kwanza utamfuata kwa mengine na hapo ndipo utakaponing'inizwa. Nina uhakika kwenye kuolewa utakapomfuata sikilizia masharti yake
 
taratibu utaingia kwenye mtego. Hatua ya kwanza huwa poa lakini baadae................
Hii ndio kawaida ya mitego, unaona mambo safi tu. Kwa mafanikio ya kwanza utamfuata kwa mengine na hapo ndipo utakaponiginizwa. Nina uhakika kwenye kuolewa utakapomfuata sikilizia masharti yake
siitaji ushauri wowote kuhusu maisha yangu ...wewe uniache hujui niliyopitia ...tena binadamu wabaya sana wakiona umefanikiwa ndo wanainua midomo....uniache kabisa nikitaka naenda liwalo na liwe ni maisha yangu nani anajali?
mtu umalize chuo kwa shida ukae miaka mitano bila kazi ,hata mia huna ...wazazi wagonjwa wameuza kila kitu kukusomesha mtu ameloga huko wewe ukae tu na tiba zipo no way meen!
kama watu wanaloga basi na waganga wa kufungua hayo majanga waheshimiwe
 
Labda wewe wajidaganya hata wachawi hutamka maneno several time ndo mana kuzimu hawalitamki sasa utakitamka kitu bila imani dunia yenyewe iliubwa kwa kutamka ulimi huwa na maneno yenye impacts kubwa tu either utamke kiutani au serious ndo mana matamshi yana uhai na mauti. Hilo jina na kutamka na imani ni vtu viwili tofauti chah
brazili watoto kibao wanaitwa jesus!
 
siitaji ushauri wowote kuhusu maisha yangu ...wewe uniache hujui niliyopitia ...tena binadamu wabaya sana wakiona umefanikiwa ndo wanainua midomo....uniache kabisa nikitaka naenda liwalo na liwe ni maisha yangu nani anajali?
mtu umalize chuo kwa shida ukae miaka mitano bila kazi ,hata mia huna ...wazazi wagonjwa wameuza kila kitu kukusomesha mtu ameloga huko wewe ukae tu na tiba zipo no way meen!
kama watu wanaloga basi na waganga wa kufungua hayo majanga waheshimiwe
MIMI NAAMINI NJIA NZuri ZAIDI YA HIYO yako katika kutatua matatizo kama yako, ila kwa kuwa umeiona kwako hiyo safi kila la kheri. Hakuna haja ya kukudokeza
 
ipi ? maombi nishaomba sana nishalala madhabahuni sana mwakasege mwingira manabii hata majina yao sikumbuki wahaniwekea mikono sana ..Only God can judge me..namshukuru mungu katika yote sijawai kumkufuru kwa kuamini kwamba hayupo najua yupo na ninamuamini na ninampenda sana ana jua me ni binadamu dhaifu kama nimekosea atanisamehe tu ..hakuna kitakachonitenga nae. ndo ivo
 
kuwekewa mikono ni moja na kupokea mbili. kila hatua ina kanuni zake. Nachokuomba KUWA MAKINI huko kama umeona kunakusaidia haya.
 
nina maswali mawili ndugu mchawi..

1. unaweza kumfanya mtu aweze kuingia benki bila kuonenaka akiwa na mfuko usioonekana?

2.kama uko kwenye group lolote la whatsapp.. naomba ni add pls
 
JAMANI JAMANI IVI KWELI KUNA MGANGA ANAYEWEZA KUONDOA MATATIZO YA KIMAISHA?SABABU MM KAMA MM NAFANYA KAZI NA KWA SIKU NAINGIZA LAKI MOJA KWA PESA YA TANZANIA LKN KILA SIKU SIENDI MBELE.NA MATUMIZI NIMEBANA MPAKA KWA SIKU NATUMIA 30 AU 40 ELFU TU.SASA HAPA NASHINDWA KUELEWA HELA INAENDAJE MPAKA NAKUWA MASIKINI KILA SIKU?NISAIDIENI KAUSHAURI PLZ
 
ndio mkuuu mimi niliteseka sana kupata kazi nikaenda kwa mzee kilenga kuna uzi wake humu jf sikukaa hata muda nikaitwa kazini dsm tena nikatumiwa na nauli kuja kwenye interview ...nikaja na nyumba nikapewa nipo zangu kazini kwa raha nampenda mganga wangu sana hata leo nimemrushia elf 50 ya soda.
watu wanaweza kukufunga mpaka ukome mkuu hii ndo dunia usiombe yakukute
kuhusu ndoa sijajaribu mimi sipendi wanaume ila aliniambia nikitaka kuolewa anytime nimcheki
Dada Heshima yako kwanza Karibu Sana Huku kwetu (Musoma) .
 
kwanini watu wanafanya makafara kwenye makaburi mfano kuzika vichwa vya kondoo au mbuzi?
pili kwanini ukitoka kwa mganga unaanbiwa usiangalie nyuma ?
tatu kwanini wanapenda kuchinja kuku wekundu?
Makaburini kumezikwa watu na kazi zinafanyika huko ni za kuua, iwe ni kiumbe, kesi, au hata kumfanya mtu asiwe na kauli kwako kama maiti.

Kuhusu kwenda kwa mganga na kuambiwa usigeuke nyuma hiyo sio mara zote, hutumika kwa baadhi ya shughuli na ni kwa sababu ya masharti ya dawa/kazi yenyewe.

Kuhusu kuku mwekundu......wengi hujenga dhana kuwa ukiagizwa kuku basi mganga anataka akale hapana ni kwa ajili ya jambo lenyewe.

Zipo kazi zinazohitaji damu ndipo zitimie na hapo ndipo kuku huyo anaweza kuliwa ila kuna kazi kuku anakwenda kuzikwa mzima bila hata ya kuchinjwa.

Kuku mwekundu kutumika sana inategemea na aina za kazi anazopata mtibabu huyo uliyemuona, tukiondoa rangi hiyo wengine wanaotumika ni weupe, weusi, waliochanganya rangi, kinyavu nk.
ac1719d5ca3a954260c0de60ef6504ac.jpg
Uchawi makaburini
 
swali ni kwamba ni kweli kuna majini ya kislam au ya kikristo, Kuna mtu aliniambia kuwa majini pia yapo ya dini tofauti tofauti ..?
Majini ni kama watu na wanazungumza lugha za makabila na mataifa tofauti na pia hujipambanua kwa dini tofauti (japo hatuwezi kuwaekea mia kwa mia katika dini hizo)
 
siitaji ushauri wowote kuhusu maisha yangu ...wewe uniache hujui niliyopitia ...tena binadamu wabaya sana wakiona umefanikiwa ndo wanainua midomo....uniache kabisa nikitaka naenda liwalo na liwe ni maisha yangu nani anajali?
mtu umalize chuo kwa shida ukae miaka mitano bila kazi ,hata mia huna ...wazazi wagonjwa wameuza kila kitu kukusomesha mtu ameloga huko wewe ukae tu na tiba zipo no way meen!
kama watu wanaloga basi na waganga wa kufungua hayo majanga waheshimiwe
Ni kweli kabisa mkuu kila mtu anajua mwenyewe anayopitia na yanayomkuta
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom