Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

Status
Not open for further replies.
Wewe ndio unajidanganya, hilo Jina baadhi ya binadamu wanalichukulia poa Kwa sababu hawajui siri iliyomo ndani yake ila shetani kwa kujua ukweli amepiga marufuku kulitaja hilo katika vikao vyake kwa namna yoyote ile.
Jina bila imani ni bure. Kama jina lina nguvu bila chochote nadhani kila mtu mwenye tatizo angekuwa anakaa chumbani na kulitaja hilo jina kisha shetani anatoka. Hivi wale wenye mashetani ambao huwa wanadondoka baada ya kuombewa, hilo jina huwa linakuwa halijawahi kutamkwa midomoni mwao? Na kama huwa wanatamka kwanini shetani huwa anakuwa bado yupo ndani yao hadi waombewe. Halafu inaonekana ww ni mkristo wa jina tu, hujui chochote kuhusu hata nguvu za MUNGU zinapatikana vipi; unadhani nguvu zipo kwenye jina!!!
 
Sayansi inakurusha angani. Sayari zinaele na kusafiri katika orbit yake. Wachawi hawawezi kuruka ila ni kutuzuga tu kwa kjaribu tu kuigiza lakini hakuna mtu yeyeto mwenye hakikisho la kuhudhria sehemu ya mbali kikazi kwa kuruka kichawi.
Upo sahihi na wengine pia wapo sahihi
 
Jina bila imani ni bure. Kama jina lina nguvu bila chochote nadhani kila mtu mwenye tatizo angekuwa anakaa chumbani na kulitaja hilo jina kisha shetani anatoka. Hivi wale wenye mashetani ambao huwa wanadondoka baada ya kuombewa, hilo jina huwa linakuwa halijawahi kutamkwa midomoni mwao? Na kama huwa wanatamka kwanini shetani huwa anakuwa bado yupo ndani yao hadi waombewe. Halafu inaonekana ww ni mkristo wa jina tu, hujui chochote kuhusu hata nguvu za MUNGU zinapatikana vipi; unadhani nguvu zipo kwenye jina!!!
Tujikite kwenye mada sasa.
 
Kila mtu ana majina yake anayoona yanasaidia hivyo hatutaki malumbano ya kidini na mtakatifu aende jukwaa la dini........mkuu Mtu mzito kama nikiwekewa zindiko kwenye mwili wangu, je kuna masharti ya kufuata?
 
Kuna uchawi wa kutumia picha/kifaa ya mtu? Mfano unaweza kufanya uchawi wa kimapenzi kutumia picha ya mtu/nguo yake/viatu vyake alivyovivaa?
 
Unazungumzia kinga......hii inategemea na aina ya kinga unayofanyiwa maana zipo zenye masharti na nyingine hazina.
 
Na je, nikitaka kufuga majini nyumbani kwangu wanisaidie, nitumie njia zipi?
Maana huku tulipo kama hufugi majini unakuwa mpweke
Inawezekana na wengi hutumia na maisha yana siri nyingi......sitaandika hapa jinsi ya kufanya kutokana nitakuwa nafundisha, ila kama nia unayo njia zipo.
 
Kuna uchawi wa kutumia picha/kifaa ya mtu? Mfano unaweza kufanya uchawi wa kimapenzi kutumia picha ya mtu/nguo yake/viatu vyake alivyovivaa?
Naam upo mkuu, pia mchanga wa mahali alipokanyaga au kukaa, jina lake nk
 
Inawezekana na wengi hutumia na maisha yana siri nyingi......sitaandika hapa jinsi ya kufanya kutokana nitakuwa nafundisha, ila kama nia unayo njia zipo.
mkuu we elekeza tu, mbona nyuzi zipo nyingi tu zikielekeza ila hatujafanya 7bu tukiuliza maswali ya kuridhisha hatujibiwi tofauti na wewe unayetenga muda wako kutujibu
 
Sawa mkuu, nikitulia nitaeleza kinaga ubaga juu ya kanuni na taratibu za jambo hilo
 
Mkuu nashukuru kwa majibu mazito, pia baadae nipe ufumbuzi juu ya jirani yetu ambae mara tu baada ya kupandishwa cheo kazini alikuja njiwa mwenye hirizi nyekundu juu ya computer yake na akamtoa, tangu hapo akaanza kupiga kelele hovyo na hadi sasa analala majalalani ni kichaa kamili na mke wake ameshaolewa kwengine.
Ni kitu gani hiki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom