tunasikitka hapa udsm, 1st yr(boy) mwenzetu kakutwa kajinyonga uck wa kuamkia leo lodge 1 hapa ubungo,inavyosemekana alikuwa anapata raha duniani,cjui ikawaje,tafakari rana
Sasa raha imekuwa karaha, mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani
Sasa hapo chakushangaza ni nn! Yaani yeye mwenyewe, kwa uamzi wake, KAJINYONGA, sasa sis tushangae na kuwa makini kwa lip? Watu bwn! Kama si mpango wa Mungu basi Alale pabaya motoni amina.tunasikitka hapa udsm, 1st yr(boy) mwenzetu kakutwa kajinyonga uck wa kuamkia leo lodge 1 hapa ubungo,inavyosemekana alikuwa anapata raha duniani,cjui ikawaje,tafakari rana