Mateso ya utumwa katika penzi la mchepuko

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,623
5,037
Heshima zenu wakuu?

Ni tumaini langu kwamba hamjambo wote humu ndani na mnaendelea vyema katika mapambano ya kuyatafuta maisha yaliyo bora na mazuri.

Wakuu kama mjuavyo, ujana una mambo mengi na changamoto nyingi sana. Siku zote katika maisha ya ujana unakuta mwili unawaka tamaa ya kufanya kila aina ya starehe hasa starehe ya ngono tu hasa pale unapokuwa huna changamoto ya maisha magumu.

Ingawa siyo kila mtu anapenda hiyo starehe lakini ni starehe ambayo inapendwa kwa asilimia 100% kwani ina raha yake wakuu. Hii starehe hufurahisha mwili kwa sana huleta raha katika kona ya mwili.

Kama kuna mtu atapingana na hii starehe basi huyo atakuwa ni hanithi wakuu. Hii ni starehe inayoongoza hapa Duniani kwa kupendwa na watu wa kila rika.

Nakumbuka mwaka fulani nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulikuwa tunaishi pamoja pale Ubungo Kibangu. Tulikuwa tunapenda sana tena sana na tulikuwa na ndoto nzuri tu za kuja kuishi pamoja ila ya Mungu mengi mahusiano yetu hayakufika mbali.

Wakati nikiwa katika mahusiano hayo nilibahatika kumpenda binti mwingine ambaye alikuwa ni mwanachuo wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Hisia zangu zote zilihamia kwa yule binti mzuri mithili ya malaika. Ingawa hata huyo shemeji yenu niliyekuwa naishi nae kabla ya kumpenda huyu mtoto wa chuo kikuubDar es salaam alikuwa ni mzuri balaa.

Katika maisha yangu ya ujana sijawahi kumpenda mwanamke mbaya na huwa sipendi utani kabisa hata wa kumpa salamu mwanamke mwenye sura mbaya. Siyo kwamba nawachukia ila ndivyo nilivyo. Hakuna mtu wa kunibadilisha.

Sasa basi baada ya kumpenda huyu binti tulijikuta tumeingia katika huba zito lisilo na kifani na hisia zetu zilikuwa kali dhidi ya mwenzake. Kitendo ambacho alikuwa hawezi kukaa siku nzima bila kuniona. Asiponitia machine mwake alikuwa anaumwa anakuwa hoi bin taabani.

Tukiwa katika mahusiano yetu alikuwa anajua na anatambua kuwa nina mahusiano mengine ila hakujali kabisa kuhusu hilo. "She always used to say everyone ana nafasi yake na ana vitu vya kipekee hivyo hatuwezi kuwa the same Joshy. So I don't care"

Kadiri siku zilivyozidi kwenda kiukweli nilichanganyikiwa na mapenzi ya hawa wote wapenzi wangu kiasi kwamba nilikuwa kama fisi yule tuliyekuwa tunamsoma kwenye vitabu tukiwa shule ya msingi kwamba alialikwa katika shughuli mara mbili na akawa anataka aende kote kote na kote apate chakula.

Sasa waungwana, kumbuka niko naishi na mpenzi wangu na tayari huyu binti mwingine naye yupo hot sana na haelewi chochote na hataki kusikia lolote katika mahusiano yetu.

Wakuu ilifika muda huyu binti wa chuo akawa mtumwa nami nikawa mtumwa kwake yaani tukakutana watumwa wote wawili katika mapenzi. Kumbuka alikuwa anajua ninapoishi na kiukweli hiki ndicho kitu kibaya sana nilichofanya katika mahusiano yetu kwa kumuonesha yule binti mahali ninapoishi.

Kwani siku ambayo sijaenda kwake au kukutana nae alikuwa ananitishia kuja kwangu kunifuata bila kujali kama nina mpenzi wangu mwingine au la. Alitaka muda wote kuanzia jioni saa 11 tuwe wote pamoja. Kitu ambacho alifanikiwa kwani kila nilipomkatalia alinitishia kuja nyumbani kuharibu mahusiano yetu.

Ikafikia muda akawa ananihitaji hata kama ni ni saa nane usiku akiwa amenimisi alitaka niende kwake haraka sana. Nikimkatalia anatishia kuja kuharibu hata usiku huo bila kujali kitu chochote.

Kwa sababu nilikuwa nawapenda wote sikutaka nimpoteze yeyote kati yao. Ila huyu mtoto wa udsm alikuwa mkorofi sana. Ila ukorofi wake ni wa kutaka uwepo wangu wote mbele ya macho yake. Hapo ndipo aliposababisha niwe mtumwa wa mapenzi.

Nilikuwa natoka kwa siri hata saa tisa usiku au muda wowote kumfuata yeye pale anaponihitaji. Nilikuwa naamka namuacha shemeji yenu niliyekuwa naishi nae na kukimbia mara moja kwenda kwa mtoto yule wa Udsm kwa alikuwa hakai mbali na nilipokuwa naishi. Kiukweli niliteseka sana kwani nilitumika vilivyo sana kwani alikuwa hajui neno nimechoka hata kidogo.

Kila nilipomwambia nimechoka na kuomba pumziko. Kauli yake ni ilikuwa ni kwamba mashine hizi hazijui nini maana ya kuchoka naomba twende mzigoni.

Mwisho wa siku kilichokuja kuniokoa katika utumwa huo wa penzi la mwanachuo ni pale nilipoamua kuhama katika eneo la Ubungo Kibangu na kuelekea Tabata. Vijana tuwe makini sana tusijione vidume sana kwani unaweza ukaangukia sehemu ukaishia kujuta mwenyewe.

Nilitamani niendelee na simulizi hili naomva kuishia hapa kwani nawahi kanisani wakuu kwani Leo ni siku yangu ya kumuabudu MUNGU wangu na Leo ni zanu yangu ya kuhubiri au kutoa neno takatifu kwa wanakondoo.

Ahsanteni sana na nawatakia sabato njema wakuu. Karibuni sana wote hapa Mwenge SDA Church.
 
Asubuhi yote hii ushaweka uzi wa ngono na ni siku ya sabato
Mkuu hata siku ya sabato Yesu aliponya watu mkuu. Sioni fungu lolote katika biblia linaloninyima nisiongelee kuhusu kitu ambacho kinanipa furaha katika maisha.

Katika maisha yako jaribu kuheshimu vitu vinavyokupa furaha yako mkuu. Ingawa wakati mwingine vinaweza kuwa mwiba vikakuchoma mkuu.

" So you have to dance wisely"
 
Acha kudhalilisha usabato wako.

Hakuna sehem kwenye Biblia inayokuruhusu kufurahia uzinzi wako.
 
Heshima zenu wakuu?

Ni tumaini langu kwamba hamjambo wote humu ndani na mnaendelea vyema katika mapambano ya kuyatafuta maisha yaliyo bora na mazuri.

Wakuu kama mjuavyo, ujana una mambo mengi na changamoto nyingi sana. Siku zote katika maisha ya ujana unakuta mwili unawaka tamaa ya kufanya kila aina ya starehe hasa starehe ya ngono tu hasa pale unapokuwa huna changamoto ya maisha magumu.

Ingawa siyo kila mtu anapenda hiyo starehe lakini ni starehe ambayo inapendwa kwa asilimia 100% kwani ina raha yake wakuu. Hii starehe hufurahisha mwili kwa sana huleta raha katika kona ya mwili.

Kama kuna mtu atapingana na hii starehe basi huyo atakuwa ni hanithi wakuu. Hii ni starehe inayoongoza hapa Duniani kwa kupendwa na watu wa kila rika.

Nakumbuka mwaka fulani nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulikuwa tunaishi pamoja pale Ubungo Kibangu. Tulikuwa tunapenda sana tena sana na tulikuwa na ndoto nzuri tu za kuja kuishi pamoja ila ya Mungu mengi mahusiano yetu hayakufika mbali.

Wakati nikiwa katika mahusiano hayo nilibahatika kumpenda binti mwingine ambaye alikuwa ni mwanachuo wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Hisia zangu zote zilihamia kwa yule binti mzuri mithili ya malaika. Ingawa hata huyo shemeji yenu niliyekuwa naishi nae kabla ya kumpenda huyu mtoto wa chuo kikuubDar es salaam alikuwa ni mzuri balaa.

Katika maisha yangu ya ujana sijawahi kumpenda mwanamke mbaya na huwa sipendi utani kabisa hata wa kumpa salamu mwanamke mwenye sura mbaya. Siyo kwamba nawachukia ila ndivyo nilivyo. Hakuna mtu wa kunibadilisha.

Sasa basi baada ya kumpenda huyu binti tulijikuta tumeingia katika huba zito lisilo na kifani na hisia zetu zilikuwa kali dhidi ya mwenzake. Kitendo ambacho alikuwa hawezi kukaa siku nzima bila kuniona. Asiponitia machine mwake alikuwa anaumwa anakuwa hoi bin taabani.

Tukiwa katika mahusiano yetu alikuwa anajua na anatambua kuwa nina mahusiano mengine ila hakujali kabisa kuhusu hilo. "She always used to say everyone ana nafasi yake na ana vitu vya kipekee hivyo hatuwezi kuwa the same Joshy. So I don't care"

Kadiri siku zilivyozidi kwenda kiukweli nilichanganyikiwa na mapenzi ya hawa wote wapenzi wangu kiasi kwamba nilikuwa kama fisi yule tuliyekuwa tunamsoma kwenye vitabu tukiwa shule ya msingi kwamba alialikwa katika shughuli mara mbili na akawa anataka aende kote kote na kote apate chakula.

Sasa waungwana, kumbuka niko naishi na mpenzi wangu na tayari huyu binti mwingine naye yupo hot sana na haelewi chochote na hataki kusikia lolote katika mahusiano yetu.

Wakuu ilifika muda huyu binti wa chuo akawa mtumwa nami nikawa mtumwa kwake yaani tukakutana watumwa wote wawili katika mapenzi. Kumbuka alikuwa anajua ninapoishi na kiukweli hiki ndicho kitu kibaya sana nilichofanya katika mahusiano yetu kwa kumuonesha yule binti mahali ninapoishi.

Kwani siku ambayo sijaenda kwake au kukutana nae alikuwa ananitishia kuja kwangu kunifuata bila kujali kama nina mpenzi wangu mwingine au la. Alitaka muda wote kuanzia jioni saa 11 tuwe wote pamoja. Kitu ambacho alifanikiwa kwani kila nilipomkatalia alinitishia kuja nyumbani kuharibu mahusiano yetu.

Ikafikia muda akawa ananihitaji hata kama ni ni saa nane usiku akiwa amenimisi alitaka niende kwake haraka sana. Nikimkatalia anatishia kuja kuharibu hata usiku huo bila kujali kitu chochote.

Kwa sababu nilikuwa nawapenda wote sikutaka nimpoteze yeyote kati yao. Ila huyu mtoto wa udsm alikuwa mkorofi sana. Ila ukorofi wake ni wa kutaka uwepo wangu wote mbele ya macho yake. Hapo ndipo aliposababisha niwe mtumwa wa mapenzi.

Nilikuwa natoka kwa siri hata saa tisa usiku au muda wowote kumfuata yeye pale anaponihitaji. Nilikuwa naamka namuacha shemeji yenu niliyekuwa naishi nae na kukimbia mara moja kwenda kwa mtoto yule wa Udsm kwa alikuwa hakai mbali na nilipokuwa naishi. Kiukweli niliteseka sana kwani nilitumika vilivyo sana kwani alikuwa hajui neno nimechoka hata kidogo.

Kila nilipomwambia nimechoka na kuomba pumziko. Kauli yake ni ilikuwa ni kwamba mashine hizi hazijui nini maana ya kuchoka naomba twende mzigoni.

Mwisho wa siku kilichokuja kuniokoa katika utumwa huo wa penzi la mwanachuo ni pale nilipoamua kuhama katika eneo la Ubungo Kibangu na kuelekea Tabata. Vijana tuwe makini sana tusijione vidume sana kwani unaweza ukaangukia sehemu ukaishia kujuta mwenyewe.

Nilitamani niendelee na simulizi hili naomva kuishia hapa kwani nawahi kanisani wakuu kwani Leo ni siku yangu ya kumuabudu MUNGU wangu na Leo ni zanu yangu ya kuhubiri au kutoa neno takatifu kwa wanakondoo.

Ahsanteni sana na nawatakia sabato njema wakuu. Karibuni sana wote hapa Mwenge SDA Church.
Huko unakoenda kuabudu ndio wanakokufundisha ufanye zinaa mkuu!poor you,hapo naona unapoteza tu muda wako kwenda ibadani wakati unasifia kuwa zinaa ni starehe,kwahiyo pale inapofika point ya kuungama dhambi zako ukiwa kanisani huwa unasema nini mwenzetu,au hiyo dhambi huwa unairuka unaombea usamehewe nyingine tu...?
 
Watu wa hivi ndo wanafanya wanaume muonekane majuha.

Siku mliyopewa na Mungu kustarehe kwa kwenda ibadani, mnaamka na mazungumzo ya ngono.
Shame.
Wewe ni single mother? Mbona una makasiriko sana? Pia unaumia ukiwa wapi single mother?
 
Huko unakoenda kuabudu ndio wanakokufundisha ufanye zinaa mkuu!poor you,hapo naona unapoteza tu muda wako kwenda ibadani wakati unasifia kuwa zinaa ni starehe,kwahiyo pale inapofika point ya kuungama dhambi zako ukiwa kanisani huwa unasema nini mwenzetu,au hiyo dhambi huwa unairuka unaombea usamehewe nyingine tu...?
Hujui lolote mkuu. Mambo ya kaizari mpe kaizari. Unaujua utamu wa ngono au unaongea tu? Be a man brother.
 
Back
Top Bottom