Utapeli gani umefanyiwa hutousahau maishani mwako

Gai da seboga

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
482
969
Shikamoooni wakubwa, wadogo marahabaa..

Katika maisha kuna vitu vingi mwanadamu hupitia vingine vinakuumiza, ila mwisho wa siku unapata la kujifunza. Ule usemi wa mjini Shule nikadhani kuna madarasa na walimu kumbee laah nikagundua kuwa walimwengu wanaweza kukupa mafunzo mjini bila kutumia syllabus iliyothibitishwa na taasisi ya elimu tanzania

Mwanzoni nilikuwa nikisikia mtu anahadithia namna alivyotapeliwa nilikuwa nikimuoona kama mjinga hivi kwamba katapeliwa vipi huyu! lakini toka nilipotapeliwa mimi tena wakati mwingine kizembee nikaachaa tabia ya kuwaona wanaotapeliwa ni wapuuzi bali ninaposikia habari za kutapeliwa kwa mbinu tofauti tofauti napata la kujifunza na tahadhari za hali ya juu.

Baadhi ya mambo niliyotapeliwa ambayo sitoyasahau maishani mwangu na yamenipa funzo la kutosha;

1. Mnamo mwaka 2009 kipindi hicho ni mgeni wa mkoa wa Dares salaam nilikuwa nimekwenda likizo kwa braza angu alikuwa akiishi pande za mbagala mission, wakati nakwenda dsm haikuwa tatzo mana alinipokea ndani ubungo basi tukaenda pale kituo cha darajani tukapanda daladala mpk kufika hom, kimbembe nilichokutana nacho ni wakati sasa nmemaliza likizo natakiwa kurudi zangu kwetu tanga, sasa braza angu akanambia pale mbagala nipande daladala za kwenda simu2000 nishuke ubungo au nyuma ya kituo cha darajani ukitokea buguruni nikafanya hvo adi nkafika maeneo ya ubungo, sasa bhana kuna wale mafala wanaofata abiria nje stendi na kujifanya wanakatisha tiketi, alikuja braza mmoja ana likitambi mweusi kachomekea shati jeupe kavaa na suruali nyeusi, nilipomcheki nkajisemea moyoni huyu braza atakuwa wa ofisini kabisa kuliko wale mateja ngoja nimsikilize nikamwambia naenda tanga akanambia twende dogo unapata gari safi tena imebaki siti moja tu gari liondoke, yule braza mwenye likitambi akanipeleka pale nje stendi karibu kama na sheli hivi kuna ofisi za kukata tiketi nikazidi kumwamini nkaona niko mikono salama akanambia nauli dsm-tanga ni 17,000 gari iko na kla kitu Ac, juisi, tv(wakati mara ya kwanza tok tanga-dsm nilipanda raha leo kwa 12000 tu) nikasema isiwe kesi safari pia ni kuinjoi ngoja nilipe tuu sinapata yutong la maana, basi akanambia ingia pale getini stendi nkaenda zangu bhna sasa km ilivyo kawaida ubungo kuingia ama ulipie au uonyeshe tiketi basi kufika nkaonyesha tiketi yangu nilokata jamaa aliicheki km dakika 3 hv akaguna afu akasema aya ingia bhana, nikajiuliza maswali kwann jamaa agune nkapotezea bhana bhna gari lililokuwa linasomeka kwenye tiketi (jina nishalisahau) nililitafuta ubungo nzimaa sijaliona mpka nikajichokea, sasa si unajua pale ndani ubungo ukizagaa zagaa watu wakufata vipi kwani waenda wapi mm nilikuwa nakaza naona kama hizi huni vipi bhana, bhas yakanishinda nilipo oona gari nyingine za tanga kama rahaleo, bembea ikabidi nimfate konda mmoja wapo nikamuuliza broo hii gari ya tanga kwani ipo wapi jamaaa akacheki tiketi yangu akacheeeeekaaa sana akasema tu dogo umeshaliwaaa kweupeee akasema hii ndio bongo dares salaam, umeingizwa cha kike, akanambia yani umekatiwa gari ambalo halipo limeacha kufanya kazi zaidi ya miaka 3, nikatamani kuliaa nikasema ngoja niwahi nje kule niliko kata tiketi labda nitamkuta yule braza mwenye likitambi nafika pale ofsn wananambia eti ata wao hawamjui na muda ule aliingia pale kama kuuliza tiketi za mkoani kwahyo nilipoingia nae na kuniandikiaa ilikuwa zugisha tuu, nikatamani kupiga ukunga kwa uchungu nilionao, nikicheki akiba niliyonayo ni sh 10000 tu ambayo ya kula njiani, nikawaza kumpigia braza cm nikahisi km atanigombesha na kuniona fala, pale nkawaza adi cjui niuze cm yang nlokuwa nayo ili niongeze nauli (kipindi hiko nilikuwa na cm aina ya Philips yale makubwa yenye mkonge juu nilipewa na baba). Basi nilirudi ndani ubungo ingawaj nilimtukana yule braza wa pale getini ambae km alijua nimepigwa ila halikausha kunitonya. Nilichofanya nikaenda bembeleza watu wa gari la bembea nkapanda na kurudi kwetu tanga. Ila mpka leo hii ata anifate nan nje ya ofisi sikati tiketi, na yule braza mwenye likitambi mpaka leo naamlaani kwa kunipiga elf 17 yangu.

2. Mwaka 2016 wakati nmekwenda kwenye masomo yangu ya elimu ya juu (Chuo Kikuu) mkoani Mtwara, kiuhalisia nilikuwa ni mgeni ktk mkoa huo, nakumbuka nilipanda gari inaitwa machinga ya saa nane na kufika mtwara kama saa mbili au tatu usiku, kwa vile ni mara yangu ya kwanza na muda ulikuwa ushakwenda nkajisemea itabidi nilale gest/lodge then asubuh ndio ntaanza kuuliza Chuo kiwapi na mambo mengine yaendeleee, bhana we wakati tunaingia mkoani mtwara tulikuta mkoa mzima umeme umekatika yani giza totoro basi kuna mabodaboda na bajaji, nkamwita mwenye bajaji nkamwambia nipeleke lodge yoyote ile ili nkapumzike bas yule pimbi akaniuliza ww n mgeni nkamwambia ndio, bhna wee akaaanza kunizungusha almost km dkk 8 hv thn akanambia aya tushafika nkamwambia sh ngp akasema 2000 bas nkamtolea dume (elf kum) akasema hapa cna chenchi ngoj niende bima nakuletea chapu na akanambia kuwa nicwe na was atarud daaah yule jamaaa alipotea mazimaa na elf 8 yang na giza lile ata sura sikuwah ishika.

3. Mambo ya kuagiza vitu mtandaon yalinitokea puani, kipindi npo kwetu tanga nkawa napitia pitia kuna page instagram za kuuza ma cover ya iphone basi nkapenda moja jamaa nkachati nae akasema tuma hela mm nakutumia, nkasema ntaamin vipi bhna jamaa akantumia picha kama vle mzigo wangu kesha ufungasha na kauandika jina juu asema anaenda ofis za tashrf nkaona mwana huyu mkwel nkamtumia 20000, kwamb gar yaingia kesho tanga, thubutuuuuuu jaaamaa akaniblock kla sehem na hakuna cha mzigo nilopokeaa.

4. Kuna jamaa flan bongo hapa waliibuka na kampuni zao kuwa ukiwekeza hela wanakulipa asilimia 50% ya ulichoweka, kuna mmoja alikuwa akiijiita active biliooneaa jina lake gilbert, na wengine walikuwa wakiijiita Tpurchase. Pamoja na kwamb mwanzon walikuwa kam wakilipa watu ila mwsho wa siku walitupiga wengi sana, mm binafs huyo active bilionare alikimbiaa na hela yangu km milion 3, huyo tpurchase niliwahi kumtorokaa aliponilipa mara ya mwsho ckurudsha hela lkn aliwapiga watu wengi pia. Ww Gilbert au active bilionea km upo humu jf jua adi leo nakulaani na kizazi chako chote tambua malipo n hapahapa duniani.

Hii ni miongon mwa utapeli michache niliyokumbana nayo katika maisha yangu ambayo imenipa funzo la kutoshaa na sidhani km nitaisahau.

JE ww umekutana na utapeli wa aina gani ambao HAUTAUSAHAU KATIKA MAISHA YAKO. Share nasi uenda ikatupa funzo hapa.
 
Mimi nilinusurika kupigwa na vishoka. Baada ya kuzunguka Tanesco muda mrefu bila mafanikio ya kupata control number ya kulipia, walifika home vishoka watatu. Nyumbani alikuwepo dogo wakampanga mpaka akawapa namba wakanipigia.
Wakadai wao ni mafundi wa Tanesco wanaweza kunifungia umeme hata kabla sijalipia. Na kwamba itabidi nilipe ndani ya wiki mbili. Wakasema ila ninawatoe pesa ya mita na ufundi elfu 40 tu.
Sasa katika harakati za kuwatumia pesa nikamshirikisha jamaa yangu mmoja. Akaniambia acha kabisa, hao wezi wana mtandao mpaka polisi. Akasema wakishakuunga wanakuripoti kwa polisi wao ndipo utapokamatwa kwa kujiunganishia umeme. Ukishakamatwa hutoki rumande hadi utoe kiasi kikubwa cha pesa.
Nikampigia dogo kuwa wakirudi uwapige picha. Bahati yao hawakurudi tena.
 
Kudadeki aseee mmenikumbusha kikubwa mno 2018 Berlin Kuna mtaa nlipita katika kuangaza angaza nikakutana na mtaa ambao hauna Saloon kidume nikasema hi ndo fursa ya Maisha lazima niopoe hela ndefu nikaandaa vifaa vyotee nikaamua nitafute chumba KWELI nikapata tukaelewana na madalali Bei ikaja nikuwa nilipe miezi 6 kabla kwa mwezi Ni 165k nikasema siyo Mbaya ntalipa Sasa chumba hakikuwa na umeme nkasema Vip kuhusu umeme wakaniambia umeme unavutwa hivi karibuni Kuna rafiki yangu nlikuwa naye tukashauriana tulipe Huyo rafiki yangu Alikuwa mjerumani akanishawishi nilipe
Kimbembe kilianza baada ya mwezi kupita hamna Cha umeme Wala Nini Kila nikiuliza napigwa kalenda ndefu
Nlilaani laana Zote Ila Ajabu hamna laana iliyowapata
 
Daaah
 
Hapo mkuu ulivyomalizia 🤣🤣🤣
 
Shikamoooni wakubwa, wadogo marahabaa..

Katika maisha kuna vitu vingi mwanadamu hupitia vingine vinakuumiza, ila mwisho wa siku unapata la kujifunza. Ule usemi wa mjini Shule nikadhani kuna madarasa na walimu kumbee laah nikagundua kuwa walimwengu wanaweza kukupa mafunzo mjini bila kutumia syllabus iliyothibitishwa na taasisi ya elimu tanzania

Mwanzoni nilikuwa nikisikia mtu anahadithia namna alivyotapeliwa nilikuwa nikimuoona kama mjinga hivi kwamba katapeliwa vipi huyu! lakini toka nilipotapeliwa mimi tena wakati mwingine kizembee nikaachaa tabia ya kuwaona wanaotapeliwa ni wapuuzi bali ninaposikia habari za kutapeliwa kwa mbinu tofauti tofauti napata la kujifunza na tahadhari za hali ya juu.

Baadhi ya mambo niliyotapeliwa ambayo sitoyasahau maishani mwangu na yamenipa funzo la kutosha;

1. Mnamo mwaka 2009 kipindi hicho ni mgeni wa mkoa wa Dares salaam nilikuwa nimekwenda likizo kwa braza angu alikuwa akiishi pande za mbagala mission, wakati nakwenda dsm haikuwa tatzo mana alinipokea ndani ubungo basi tukaenda pale kituo cha darajani tukapanda daladala mpk kufika hom, kimbembe nilichokutana nacho ni wakati sasa nmemaliza likizo natakiwa kurudi zangu kwetu tanga, sasa braza angu akanambia pale mbagala nipande daladala za kwenda simu2000 nishuke ubungo au nyuma ya kituo cha darajani ukitokea buguruni nikafanya hvo adi nkafika maeneo ya ubungo, sasa bhana kuna wale mafala wanaofata abiria nje stendi na kujifanya wanakatisha tiketi, alikuja braza mmoja ana likitambi mweusi kachomekea shati jeupe kavaa na suruali nyeusi, nilipomcheki nkajisemea moyoni huyu braza atakuwa wa ofisini kabisa kuliko wale mateja ngoja nimsikilize nikamwambia naenda tanga akanambia twende dogo unapata gari safi tena imebaki siti moja tu gari liondoke, yule braza mwenye likitambi akanipeleka pale nje stendi karibu kama na sheli hivi kuna ofisi za kukata tiketi nikazidi kumwamini nkaona niko mikono salama akanambia nauli dsm-tanga ni 17,000 gari iko na kla kitu Ac, juisi, tv(wakati mara ya kwanza tok tanga-dsm nilipanda raha leo kwa 12000 tu) nikasema isiwe kesi safari pia ni kuinjoi ngoja nilipe tuu sinapata yutong la maana, basi akanambia ingia pale getini stendi nkaenda zangu bhna sasa km ilivyo kawaida ubungo kuingia ama ulipie au uonyeshe tiketi basi kufika nkaonyesha tiketi yangu nilokata jamaa aliicheki km dakika 3 hv akaguna afu akasema aya ingia bhana, nikajiuliza maswali kwann jamaa agune nkapotezea bhana bhna gari lililokuwa linasomeka kwenye tiketi (jina nishalisahau) nililitafuta ubungo nzimaa sijaliona mpka nikajichokea, sasa si unajua pale ndani ubungo ukizagaa zagaa watu wakufata vipi kwani waenda wapi mm nilikuwa nakaza naona kama hizi huni vipi bhana, bhas yakanishinda nilipo oona gari nyingine za tanga kama rahaleo, bembea ikabidi nimfate konda mmoja wapo nikamuuliza broo hii gari ya tanga kwani ipo wapi jamaaa akacheki tiketi yangu akacheeeeekaaa sana akasema tu dogo umeshaliwaaa kweupeee akasema hii ndio bongo dares salaam, umeingizwa cha kike, akanambia yani umekatiwa gari ambalo halipo limeacha kufanya kazi zaidi ya miaka 3, nikatamani kuliaa nikasema ngoja niwahi nje kule niliko kata tiketi labda nitamkuta yule braza mwenye likitambi nafika pale ofsn wananambia eti ata wao hawamjui na muda ule aliingia pale kama kuuliza tiketi za mkoani kwahyo nilipoingia nae na kuniandikiaa ilikuwa zugisha tuu, nikatamani kupiga ukunga kwa uchungu nilionao, nikicheki akiba niliyonayo ni sh 10000 tu ambayo ya kula njiani, nikawaza kumpigia braza cm nikahisi km atanigombesha na kuniona fala, pale nkawaza adi cjui niuze cm yang nlokuwa nayo ili niongeze nauli (kipindi hiko nilikuwa na cm aina ya Philips yale makubwa yenye mkonge juu nilipewa na baba). Basi nilirudi ndani ubungo ingawaj nilimtukana yule braza wa pale getini ambae km alijua nimepigwa ila halikausha kunitonya. Nilichofanya nikaenda bembeleza watu wa gari la bembea nkapanda na kurudi kwetu tanga. Ila mpka leo hii ata anifate nan nje ya ofisi sikati tiketi, na yule braza mwenye likitambi mpaka leo naamlaani kwa kunipiga elf 17 yangu.

2. Mwaka 2016 wakati nmekwenda kwenye masomo yangu ya elimu ya juu (Chuo Kikuu) mkoani Mtwara, kiuhalisia nilikuwa ni mgeni ktk mkoa huo, nakumbuka nilipanda gari inaitwa machinga ya saa nane na kufika mtwara kama saa mbili au tatu usiku, kwa vile ni mara yangu ya kwanza na muda ulikuwa ushakwenda nkajisemea itabidi nilale gest/lodge then asubuh ndio ntaanza kuuliza Chuo kiwapi na mambo mengine yaendeleee, bhana we wakati tunaingia mkoani mtwara tulikuta mkoa mzima umeme umekatika yani giza totoro basi kuna mabodaboda na bajaji, nkamwita mwenye bajaji nkamwambia nipeleke lodge yoyote ile ili nkapumzike bas yule pimbi akaniuliza ww n mgeni nkamwambia ndio, bhna wee akaaanza kunizungusha almost km dkk 8 hv thn akanambia aya tushafika nkamwambia sh ngp akasema 2000 bas nkamtolea dume (elf kum) akasema hapa cna chenchi ngoj niende bima nakuletea chapu na akanambia kuwa nicwe na was atarud daaah yule jamaaa alipotea mazimaa na elf 8 yang na giza lile ata sura sikuwah ishika.

3. Mambo ya kuagiza vitu mtandaon yalinitokea puani, kipindi npo kwetu tanga nkawa napitia pitia kuna page instagram za kuuza ma cover ya iphone basi nkapenda moja jamaa nkachati nae akasema tuma hela mm nakutumia, nkasema ntaamin vipi bhna jamaa akantumia picha kama vle mzigo wangu kesha ufungasha na kauandika jina juu asema anaenda ofis za tashrf nkaona mwana huyu mkwel nkamtumia 20000, kwamb gar yaingia kesho tanga, thubutuuuuuu jaaamaa akaniblock kla sehem na hakuna cha mzigo nilopokeaa.

4. Kuna jamaa flan bongo hapa waliibuka na kampuni zao kuwa ukiwekeza hela wanakulipa asilimia 50% ya ulichoweka, kuna mmoja alikuwa akiijiita active biliooneaa jina lake gilbert, na wengine walikuwa wakiijiita Tpurchase. Pamoja na kwamb mwanzon walikuwa kam wakilipa watu ila mwsho wa siku walitupiga wengi sana, mm binafs huyo active bilionare alikimbiaa na hela yangu km milion 3, huyo tpurchase niliwahi kumtorokaa aliponilipa mara ya mwsho ckurudsha hela lkn aliwapiga watu wengi pia. Ww Gilbert au active bilionea km upo humu jf jua adi leo nakulaani na kizazi chako chote tambua malipo n hapahapa duniani.

Hii ni miongon mwa utapeli michache niliyokumbana nayo katika maisha yangu ambayo imenipa funzo la kutoshaa na sidhani km nitaisahau.

JE ww umekutana na utapeli wa aina gani ambao HAUTAUSAHAU KATIKA MAISHA YAKO. Share nasi uenda ikatupa funzo hapa.
Niliuziwa bikira fake
 
Back
Top Bottom