Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
me sijawahi kucheat mume wa mtu na nina bikira yangu na nina mchumba tunasubili mpa siku ya ndoa ndo tule tunda

Usijitangaze kwamba una bikira, maana kuna wengine humu waganga wao wamewaambia akitembea na mwanamke bikira anakuwa tajiri. Ndio maana matukio ya kubaka watoto wadogo siku hizi yameongezeka sana!

Natumaini jamaa naye pia bado bikira na mtajifunga pamoja huo mchezo siku ya kwanza ya mwezi wenu wa asali.
 
Bado anaendelea kucheat pia kwa kuto confess maovu yake kwa shemeji!
Nitaconfess pale tu ntakapokuwa nna uhakika ziraili mtoa roho atanitembelea si zaidi ya dakika kumi zijazo. Sipendi kushuhudia yula mama aliyeumbwa kwa ajili yangu peke yangu akidondosha chozi kwa sababu tu eti amegundua nimemcheat.

Gonga Senksi hapa M_J
 
Usijitangaze kwamba una bikira, maana kuna wengine humu waganga wao wamewaambia akitembea na mwanamke bikira anakuwa tajiri. Ndio maana matukio ya kubaka watoto wadogo siku hizi yameongezeka sana!

Natumaini jamaa naye pia bado bikira na mtajifunga pamoja huo mchezo siku ya kwanza ya mwezi wenu wa asali
.
Japo simjui lakini naweza kukuapia hilo limjamaa lake siyo bikra asee.
 
Basi ngoja niongee na Boflo. Kale katrafiki kake kanaweza kukufaa asee

Nimemwambia anitumie namba ya huyo trafic nilinganishe na ya yule wa kwangu, asije kuwa ni traffic huyo huyo anatuchanganya!
 
Nimemwambia anitumie namba ya huyo trafic nilinganishe na ya yule wa kwangu, asije kuwa ni traffic huyo huyo anatuchanganya!
Hahaha! sasa nasikia kakutumia zile namba zao za kazi zinazobandikwa begani. Boflo akili zake anazijua mwenyewe!
 
Usijitangaze kwamba una bikira, maana kuna wengine humu waganga wao wamewaambia akitembea na mwanamke bikira anakuwa tajiri. Ndio maana matukio ya kubaka watoto wadogo siku hizi yameongezeka sana!

Natumaini jamaa naye pia bado bikira na mtajifunga pamoja huo mchezo siku ya kwanza ya mwezi wenu wa asali.
mmmh!!
 
Jamani naomba kuuliza, hivi kama ukikutana na ex wako ambaye kashaoelewa au kashaoa, mkaamua kukumbushia, hiyo nayo mnaita ku-cheat? I am just thinking aloud.
 
Jamani naomba kuuliza, hivi kama ukikutana na ex wako ambaye kashaoelewa au kashaoa, mkaamua kukumbushia, hiyo nayo mnaita ku-cheat? I am just thinking aloud.
Hapana kwa kweli. Huko ni kudumisha mila. Na mila za Kiafrika ni lazima zidumishwe!
 
Jamani naomba kuuliza, hivi kama ukikutana na ex wako ambaye kashaoelewa au kashaoa, mkaamua kukumbushia, hiyo nayo mnaita ku-cheat? I am just thinking aloud.
Masaki mambo? u must watch this movie (Its Complicated)
 
hehehehe hii mada naweza nikaichangia through PM only, I insist ONLY. (nimeanza kwenda evening class ,mtakoma ,sasa tutakwenda kinoname noname tu)
 
carmel

Nipo ndani ya ndoa yapata 15yrs

Nimewahi ku-cheat tangia tukiwa wachumba - a number of times (yes 100 +)

Nimewahi ku-cheat ndani ya ndoa - a couple of times (4 times to be precisely)

Na it seems chances za kuendelea ku-cheat zipo (i can not gurantee that I will not cheat till death do us apart NO)

For sure hakuna anaye-enjoy ku-cheat but cheating is part of life hasa hasa kwenye ndoa. Wanajamii wanaona aibu lakini kama unataka kufanya utafiti tembelea sehemu za starehe kama vile BAA, CASINOS, e.t.c, huko utapata ukweli kuhusu jinsi gani jamii ilivyo. Kwa mfano hapa Bongo, chukua weekend moja amabayo upo huru - inategemea unaishi sehemu gani ya Dar es Salaam - jaza petrol/diesel kwenye gari yako anzia mabaa/nyumba za kulala wageni (Mkuranga mpaka Bunju). Ikifika jioni unaweza kuapata taswira halisi.

Tatizo ni kwamba hata kwenye nyumba za ibada hakuna majibu ya "Why do people cheat"?

Kwahiyo: Cheating is HERE TO STAY and we only have to PLAY SAFE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom