nenda kasome maana ya cheating. just google it.
He! Mi nilifikiri unatafuta statistics. Sikujua nimeingia kwenye mtego wa hakimu/mchungaji Carmel. LOL imeshakula kwangu tayari!Itabidi nimstue mama matesha awe anapitapita humu. hii hali inatisha aisee.
btw, unaplan kuendelea au unajutia kucheat?
ha haaaaaaaaaa, kwa hiyo umeacha siyo, na hiyo ni baada ya mtarimbo kulala doro otherwise ungekuwa unaendelea. lolHe! Mi nilifikiri unatafuta statistics. Sikujua nimeingia kwenye mtego wa hakimu/mchungaji Carmel. LOL imeshakula kwangu tayari!
BTW: Na umri huu nta-cheat saa ngapi? mtarimbo wenyewe mpaka upigwe jeki ndio unafanya kazi.
nikasirikie nini binamu? mi nataka ulete kwanza meaning ya cheating ndo tuone kama in relate na having ana affair before mariiage, thats all.
ha haaaaaaaaaa, kwa hiyo umeacha siyo, na hiyo ni baada ya mtarimbo kulala doro otherwise ungekuwa unaendelea. lol
Tuendelee ku-vote, am stepping outside kidogo.
btw: wapi Geof? Kaizer? De novo?....................... ladies vipi, mmeingia mitini? kweli hapa pagumu.
He! Mi nilifikiri unatafuta statistics. Sikujua nimeingia kwenye mtego wa hakimu/mchungaji Carmel. LOL imeshakula kwangu tayari!
BTW: Na umri huu nta-cheat saa ngapi? mtarimbo wenyewe mpaka upigwe jeki ndio unafanya kazi.
naanza kuwa na mashaka mr yuko anga hz! ila simtaji
simtaji mr wangu! mama matesha yuko huku?Humtaji unayecheat naye au humtaji Mr. wako?
Kajaa tele, vipi unataka kucheat na mimi? Usijali, tutafanya siri.................simtaji mr wangu! mama matesha yuko huku?
sijawahi cheat, lakini pepo la kucheat linajiinua kwelikweli nadhani muda si mrefu ntaanza
sijawahi cheat, lakini pepo la kucheat linajiinua kwelikweli nadhani muda si mrefu ntaanza
Hivi kuna mtu ambae ha-cheat ktk dunia hii?
Nadhani jibu limepatikana hapo toka kwangu...