Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
- Thread starter
- #61
Na hilo ndiyo ambalo CCM wanachekelea kwalo, hawana jingine vingivevyo wanajua walishalost.Utaratibu unasema theluthi mbili ya wajumbe wawepo (i stand to be corrected),kama hawakushiriki,the whole thing does not make sense whether waliingia wakatoka wakarudi matokeo yakitangazwa,nakubaliana na wewe sheria haiko clear na CCM wanalijua hilo,lakini kwa upande mwingine,unafikiri mahakama ingetoa haki kwenye nchi hii ambapo CCM bado wana say kwenye kila chombo pamoja na mahakama??? Ngoja kuwe na separation/independence ya state organs then muwe na guts za kusema nendeni mahakamani.............i like your analysis though!