Ukweli usioujua kuhusu uchaguzi wa meya jijini Arusha

I dont know! So was the whole wrong or right? is Chadema Wrong or right?
CDM hawapo sahihi, yapo mapungufu ya kisheria ambayo wanatakiwa kulalamikia otherwise hawana mlango wa kutokea katika uchaguzi ule!
 
Ninatilia shaka uwezo wako wa kufikiri Mzee wa Rula! Anyways endelea tu na mazungumzo yako baada ya habari!
 
Lete habari wewe ni sehemu gani haikuingii akilini, naamini bado upo gizani na jambo usilijua litakusumbua sana.

Kama CCM wana madiwani 15 na CDM 14, na tayari walikuwa na diwani mmoja wa TLP kwa nini wafanye uchaguzi kisirisiri mbona hueleweki, au unafanya propaganda humu.

Kuwa makini acha uongo.
 
Back
Top Bottom