Ukweli usioujua kuhusu uchaguzi wa meya jijini Arusha

mnahangaika kwa sasa baada ya kuona nguvu ya umma inatisha wauaji wakubwa nyie, kama ccm walikuwa wanajua wanakura za kutosha kwanini mizengwe namna hiyo???? Nyie mkubali tu wauaji na kama kuua tafuteni makontena ya risasi manake nguvu ya umma itaunguruma kila siku mtatetea mpaka mtashindwa -mlizoea watanzania ni vichwa vya wendawazimu lakini watanzania wameamuka. Kuna nini arusha??? Mpaka mnaua ili kupata meya??? Wewe mzee wa rula utakuwa rula kweli kwa kasi ya nguvu ya umma.
Unaua mimi sifungamani na upande wowote lakini kwa hili CDM walizidiwa ujanja kidogo. Sipendi mauaji hata kidogo lakini yote hii ni kutokana na kukosa hekima wangeacha maandamano yale watu wangeishia kuongelea UFISADI na DOWANS kwa undani lakini sasa habari siyo hiyo tena ni mauaji tena!
 
Nimesoma mada yako vizuri mzee wa rula and I have gathered two things

1. Mary Chitanda ni Mbunge wa viti maalumu Tanga
2. Mary Chitanda ni Katibu wa CCM wa Mkoa wa Arusha.

Je ni kofia ipi hapa imemfanya aweze kipiga kura? Kama ni ya ukatibu je ina maana hata katibu wa Chadema alitakiwa apige kura? Na je kama ni ubunge yeye si anaiwakilisha Tanga? logic ipi imetumika?
 
Tuache mambo ya ushabiki kwenye maada muhimu na wala akili zetu zisifungwe ndani ya vyungu katika kujadili.

Uchaguzi wa urais huwezi kwenda mahakamani hata kama kuna fauru imefanyika, LAKINI chaguzi nyingine kama ubunge, umeya nk kama kuna kasoro za msingi unafungua kesi na ikidhibitika kulikuwa na kasoro matokeo hutenguliwa na uchaguzi kurudiwa. sasa kwanini chadema wasiende mahakamani kama una ushahidi badala yake wanatumia njia ya ya mwisho kabisa kama kweli kuna kasoro za msingi, halafu wanafurahia watu kufa ili kutafuta umaarufu kwa wanachadema na baadhi ya watu wa nje.

Mwisho, kuna watu wamefanya JF ni jukwaa la Chadema na kusahau kuna wana cuf, ccm na wasio na vyama kabisa. mwana JF anakuwa haungi hoja ya chadema au mbowe au slaa kwa sababu za msingi na za wazi mtu huyo atatukanwa na MODS/INVISIBLE wanakaa kimya, kama vile kukubali kuwa JF ni mouthpiece ya Chadema, mbowe na slaa
 
We mzee wa rula sielewi kama umelipwa kudanganya umma,au umeamuwa kwa maslahi yako mwenyewe,ila ukweli una tabia ya kujitetea,na katika hili ukweli utajitetea,ni hivi baada ya wajumbe wa cdm kuingia ukumbini na kumkuta mary chatanda,ambaye hata kabla habari zilishavuja kuwa ccm watamleta hali iliyofanya cdm kujipanga mapema,hawakusaini kwenye rejista na hili liko wazi na yeyote anawezaomba pale halmashauri ili aone hiyo rejesta kama kuna majina ya cdm,ubishi uliendelea kwa siku nzima,na hakuna suluhu na kwaMujibu wa kanuni mkurugenzi alipaswa kuhairisha kikao,alifanya hivyo kwa maelezo kuwa kesho yake yaani dec 18 wajumbe wote wakutane olasiti garden kwa ajili ya mafunzo ya madiwani,siku hiyo wajumbe wote wa chadema walifika hapo olasiti kama barua zao zilisema,hadi saa tano wajumbe wa ccm hawakuonekana,ghafla habari zikasema ccm wamechagua meya wao,hapo ndipo tatizo lilipoanzia hadi sasa,akidi haikutimia na hili liko wazi,,,,,
ni saa ya ukombozi.....................

Mzee wa rula je huu ni ukweli?
 
Nimesoma mada yako vizuri mzee wa rula and I have gathered two things

1. Mary Chitanda ni Mbunge wa viti maalumu Tanga
2. Mary Chitanda ni Katibu wa CCM wa Mkoa wa Arusha.

Je ni kofia ipi hapa imemfanya aweze kipiga kura? Kama ni ya ukatibu je ina maana hata katibu wa Chadema alitakiwa apige kura? Na je kama ni ubunge yeye si anaiwakilisha Tanga? logic ipi imetumika?

Tusaidie jibu tafadhali Mzee wa Rula
 
Tuache mambo ya ushabiki kwenye maada muhimu na wala akili zetu zisifungwe ndani ya vyungu katika kujadili.

Uchaguzi wa urais huwezi kwenda mahakamani hata kama kuna fauru imefanyika, LAKINI chaguzi nyingine kama ubunge, umeya nk kama kuna kasoro za msingi unafungua kesi na ikidhibitika kulikuwa na kasoro matokeo hutenguliwa na uchaguzi kurudiwa. sasa kwanini chadema wasiende mahakamani kama una ushahidi badala yake wanatumia njia ya ya mwisho kabisa kama kweli kuna kasoro za msingi, halafu wanafurahia watu kufa ili kutafuta umaarufu kwa wanachadema na baadhi ya watu wa nje.

Mwisho, kuna watu wamefanya JF ni jukwaa la Chadema na kusahau kuna wana cuf, ccm na wasio na vyama kabisa. mwana JF anakuwa haungi hoja ya chadema au mbowe au slaa kwa sababu za msingi na za wazi mtu huyo atatukanwa na MODS/INVISIBLE wanakaa kimya, kama vile kukubali kuwa JF ni mouthpiece ya Chadema, mbowe na slaa
Boma umesema, mimi nashangaa kabisa kwa nini mahakamani wanaogopa wakati wanajua wanavielelezo vya ukiukwaji wa sheria. Sheria ipo wazi sasa kusemea mtaani mimi sikupendi. Pamoja na hayo kuna watu wanaamini katika tetesi kuliko kutafuta ukweli. Hivi ikiwa wameweza kuandaa maandamao watashindwaje kwenda mahakamani!
 
Mbunge alipanda juu ya meza na kuunza kuporomosha matusi kwa madiwani wa ccm na polisi walipo taka kumtuliza akaongeza idadi ya matusi kwa polisi! Polisi waka amua kumpa adabu asiyefunzwa na mamaye!
we maneno yako siyaamini yanaweza kua yanaenda sambamba na avator au jina unalotumia
 
Tusaidie jibu tafadhali Mzee wa Rula
Logic iliyotumika ni ubunge wa viti maalumu na ndiyo maana kuna mbunge wa viti maalumu mmoja wa CDM nae angepiga kura ambaye nae alizua mvutano kwa kuwa alikuwa hajaapa. Lakini hilo lilipatiwa ufumbuzi kuwa ni halali kupiga kura. Mbunge wa viti maalumu wa CCM ndiye Mary Chitanda ambaye ni mbunge wa Tanga lakini ni katibu mkuu wa CCM. Sasa CCM wakamleta huku Arusha ili aje apige kura kwa sababu sheria haimkatazi kufanya hivyo kwani bado ni kiongozi wa CCM mkoa hivyo alikuwa na haki. Hii ilitokana baada ya kuona hali ni tete Arusha.
 
Chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu na umwagaji damu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahakamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini Watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani ya nchi yetu.

Siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Mtakumbuka kuwa maiti nyingi zilikutwa Makanisani. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa. Akili za kuambiwa changanya na zako!

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".

hivi unafahamu kwamba kundi kubwa la watanzania wa leo hawana experience ya vita?unadhani wanaogopa kuingia vitani?jiulize ni kwa nini watz walipigana vita ya kagera pamoja na kusikia au kutambua vita ni mbaya?kumbukumbu zinaonyesha palishawahi kutokea vita katili mfano majimaji,WW1 and 2,ukombozi wa south africa n.k
pia unaweza kupita ukanda wa mpaka kati ya manyara na singida kuna vita vya jadi vinaendelea karibuni kila mwaka.
VITA SI AJABU NA PIA NI SEHEMU YA MFUMO WA MAISHA(by the way why do we have a big army?)
mkuu kama utawala utaendelea kuenenda kinyume na matakwa ya wananchi sitashangaa bali ntajiweka tayari kwa vita.
 
Logic iliyotumika ni ubunge wa viti maalumu na ndiyo maana kuna mbunge wa viti maalumu mmoja wa CDM nae angepiga kura ambaye nae alizua mvutano kwa kuwa alikuwa hajaapa. Lakini hilo lilipatiwa ufumbuzi kuwa ni halali kupiga kura. Mbunge wa viti maalumu wa CCM ndiye Mary Chitanda ambaye ni mbunge wa Tanga lakini ni katibu mkuu wa CCM. Sasa CCM wakamleta huku Arusha ili aje apige kura kwa sababu sheria haimkatazi kufanya hivyo kwani bado ni kiongozi wa CCM mkoa hivyo alikuwa na haki. Hii ilitokana baada ya kuona hali ni tete Arusha.

Je mbunge wa viti maalum aliyeko katika jimbo moja anaruhusiwa kupigia kura jimbo lolote nchini Tanzania (i.e bara na visiwani) kisheria? Yaani mbunge wa viti maalum wa Nyamagana kwa mfano anaweza kwenda Kinondoni akagombea umeya au kumpigia kura meya wa Kinondoni?
 
Chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu na umwagaji damu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahakamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini Watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani ya nchi yetu.

Siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Mtakumbuka kuwa maiti nyingi zilikutwa Makanisani. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa. Akili za kuambiwa changanya na zako!

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".

hekima gani unayo wewe? kuna wabunge wa viti maalum wamechaguliwa kuwa mawaziri na manaibu waziri. kwa hiyo wanaishi dsm. mbona hawaingii ktk mabaraza ya manispaa za dsm? bado ni wawakilishi wa maeneo walipoomba ubunge.umeya wa arusha una nini mpaka tuletewe mamluki toka tanga
 
Tuache mambo ya ushabiki kwenye maada muhimu na wala akili zetu zisifungwe ndani ya vyungu katika kujadili.

Uchaguzi wa urais huwezi kwenda mahakamani hata kama kuna fauru imefanyika, LAKINI chaguzi nyingine kama ubunge, umeya nk kama kuna kasoro za msingi unafungua kesi na ikidhibitika kulikuwa na kasoro matokeo hutenguliwa na uchaguzi kurudiwa. sasa kwanini chadema wasiende mahakamani kama una ushahidi badala yake wanatumia njia ya ya mwisho kabisa kama kweli kuna kasoro za msingi, halafu wanafurahia watu kufa ili kutafuta umaarufu kwa wanachadema na baadhi ya watu wa nje.

Mwisho, kuna watu wamefanya JF ni jukwaa la Chadema na kusahau kuna wana cuf, ccm na wasio na vyama kabisa. mwana JF anakuwa haungi hoja ya chadema au mbowe au slaa kwa sababu za msingi na za wazi mtu huyo atatukanwa na MODS/INVISIBLE wanakaa kimya, kama vile kukubali kuwa JF ni mouthpiece ya Chadema, mbowe na slaa

Waende mahakamani??huko haki ilishapigwaga mnada siku nyingi...unakumbuka kesi ya walimu hukumu yake ilifanywa vipi?

Najiuliza maswali baada ya kusoma mabandiko yaliyotangulia.

1. Ukiwa na akili timamu na kuona mhalifu amekamatwa katika eneo la tukio akitenda kosa....halafu awaambia waliomkamata "nipelekeni mahakamani" . Hapo utapata hisia gani?
2. Umeya wa Arusha una nini hasa? - Maana inaonekana kuna kundi fulani liko tayari kutoachia kwa gharama zozote hata ikibidi kutoa uhai wa raia wasio na hatia.
3. Kwa nini suala la udini limewekwa mbele sana katika tukio la Arusha.
4. Kwa nini WM Pinda na Kikwete wakae kimya. Nimesoma kauli za akina Makamba, Hiza, Chatanda, Wasira na wehu wengine kama hao lakini sio Pinda? Nadhani alihusika sana kuinjinia haya madudu, ndio yeye na ofisi yake. Kwa hisia zangu mi namtumu (SUSPECT) sana Pinda kwa mambo mawili 'ALIYOYAFANYA' na 'ASIYOYAFANYA'

Kifupi, Katiba mpya ni muhimu sana sasa kuliko wakati wowote kabla. Wahuni wasiendelee kuiharibu nchi.
 
Back
Top Bottom