Ukweli usioujua kuhusu uchaguzi wa meya jijini Arusha

hizo loopholes na katiba ambayo haina maslahi to multparty ndio chanzo na ukiritimba wa ccm kwamba ndio chama pekee chenye haki
Naunga mkono hoja, na ndiyo maana nikasema kuna haja ya mabadiliko ya sheria zetu na katiba. CCM walichokifanya ni kwa kuwakomoa CDM kwani walishaelewa wamejikwaa na hata waende wapi wataonekana wababaishaji. Ieleweke sina ugomvi na chama cha CDM ila ndiyo ukweli huo.
 
Wana JF najua ni wengi wanajiuliza maswali mengi juu ya uhalali wa uchaguzi wa meya wa jiji la Arusha ambao umekuwa mjadala mpaka leo. Swali wengi wanalojiuliza je uchaguzi ulikuwa halali au si halali?
Nataka niweke wazi uchaguzi ule ulikuwa halali kabisa na taratibu zilifuatwa kabisa. Kabla ya uchaguzi kufanyika kulikuwa na utata wa mjumbe mmoja wa CCM Mary Chitanda kupiga kura kwa sababu yeye si mwakilishi wa mkoa wa Arusha. Yeye ni katibu wa CCM mkoa wa Arusha lakini kwa sasa yeye ni mbunge wa viti maalum mkoani Tanga. CCM ilikuwa na wajumbe 15 ie madiwani na huyo mwenye utata 1 jumla ni 16. CDM ilikuwa na wajumbe 14 pamoja na G. Lema mbunge.
Utata huu ulipelekea kuomba ufafanuzi, na ufafanuzi ulipatikana kuwa mjumbe yule yaani Mary Chitanda alikuwa halali kwa maandishi na siyo mdomo kwa vyama vyote, hiyo ilikuwa siku ya pili baada ya kuahirisha uchaguzi jana yake.
Hilo ndiyo jambo kuu lilikuwa likibishaniwa. Sasa endapo jambo hili lilipatiwa ufumbuzi kwa maandishi inakuwaje leo hii viongozi wa CDM waendeleze malumbano jukwaani?
Ni jambo lisilofichika kwa nini Mary Chitanda asiende kupiga kura Tanga badala yake Arusha. Hilo ndilo suala la msingi kabisa lakini majibu yake vile vile kisheria hakuna kipengele kinachomkataza kupiga kura kwani bado ni kiongozi wa wanaCCM Arusha, na kuzingatia sheria haimbani CCM wakaonelea basi ni vema wakaitumia loopwhole hiyo.
Tuachane na ubishi kama sheria haimkabi basi CDM hawana haja ya malumbano. Machoni pa watu itaonekana si halali lakini mbele ya sheria inaonekana sawa. Katika uchaguzi wa urais hakuna mahakama yenye uwezo wa kutengua mara baada ya matokeo kutangazwa na tume ya uchaguzi. Hapa tunajifunza mapungufu ya sheria zetu za bongo. Hili ni jambo lisilopingika kabisa na kwa hili linahitaji mabadiliko.
Uchaaguzi umekwisha na meya keshapatikana sasa kama sheria zilikikwa basi tukapate haki yetu mahakamani na siyo kwa mashinikizo ya jukwaani.
CDM ni chama makini lakini kimepotoka kwa hili kwa ndiyo maana yake hawataki kwenda mahakamani kwa sababu wanajua hawana jipya. Kinachofanyika saizi ni propaganga ya sintofahamu ya tukio hili kwa wananchi!
Ni kweli mara baada ya kupewa taarifa ya uhalali wa Mary Chitanda CDM walitoka nje kujadili wakawaacha wajumbe wengine 17 wakiwa ndani na kipindi hicho walishasaini tayari column ya mahudhurio! Ilipoonekana wamechelewa kurudi CCM hapo ndipo walipocheza rafu kwa kuendesha uchaguzi kwani tayari walikuwa na sababu zote za kushinda kesi. Sijui ni daftari au niiteje umesaini, kisha umetoka nje kujadili basi jamaa wakaendelea ndani na uchaguzi. CDM walishituka pindi matokeo yanatangazwa na kuja ukumbini wakiongozwa na mbunge wao Lema wakaambiwa nyie si MMESUSIA uchaguzi basi endeleeni ila viongozi wamepatikana.
Huo ndiyo ukweli wa uchaguzi wa meya Arusha.
Kwa kuwa ukweli huu umejificha kauli nyingi za kulaani zilitokea na kuzidi hasa baada ya maandamano kuzuiliwa na kupeleka vifo.
Kauli za kiburi toka kwa viongozi wa CCM akiwemo Makamba zikaamsha hisia kali. CCM ni kama walikuwa wanawakebehi CDM kwa sababu walijua hawana pa kushika mahakamani na ndiyo maana wanawashinikiza viongozi wa CDM waande huko ili haki ijulikane.
Usichokijua ni hiki, kwa nini wasiende mahakamani wafungue kesi kisha waitishe maandamano ili kushinikiza haki ya kusikilizwa kesi upesi. Kukataa kwao kwa kisingizio mahakama haitatenda haki kunatilisha mashaka na waelewe kuwa mashinikizo yao hayana direct impact badala yake yanawapa changamoto viongozi wa CCM.
Mwisho naalani kwa kauli moja kuwa nguvu iliyotumika kuzima maandamano yale ilikuwa kubwa mno na viongozi wetu wa serikali waache kutumika kisiasa. La Arusha latosha kuwa funzo.
Kikwete zlisema tukio la Arusha ndiyo mwanzo na mwisho naomba iwe kweli ingawaje nasikia Mbeya vijana wake wamekwisha ua tena!!!
MD usiichangane na thread yoyote ile, iweke ili watu wajue na ku challange pale wanapoona siyo sahihi.

Chatanda ni mwajiriwa wa CCM kama katibu mkuu wa CCM mkoa wa Arusha. Kesho anaweza kuhamishiwa Lindi au mkoa mwingine wowote, hii haina maana kuwa atakuwa mbunge wa viti maalum wa mikoa hiyo atabaki tu kuwa mwakilishi wa mkoa wa Tanga. Tusidanganye watu kwa mambo yaliyo obvious kabisa. Kitendo cha CCM Arusha kuomba kauli ya Waziri Mkuu inathibitisha walifanya hujuma.
 
2/3*32 = 21. Wao walikuwa 17, na CDM walihudhuria kisha wakatoa sasa wamlaumu nani. Hawakutimia kweli lakini walisusia.

kama hesabu zako ni za kweli basi umesema vyema , ni vizuri pia ukakubali kuwa haukuwa halali kisheria kwani quoram haikutimia. au tuulize hivi, kwa nini ccm wanaogopa quoram kutimia? na kwa nini cdm wanataka quoram itimie?
 
Kweli sasa nimeamini mzee wa rula unatumiwa,aibu kwako,cdm wana barua za kwenda olasiti wewe wasema walikuwa equtor htl,hapa walikuja baada ya polisi wakiongozwa na OCD kuwatoa nje ya ukumbi na mabomu kuanza kupigwa ndipo wakaingia equtor htl,na si kabla.na sheria zipo wazi lazima kikao akidi itimie sasa akidi haikutimia,,wewe endelea kutumiwa maana ndio maisha uliyochagua,,,,ni saa ya ukombozi
 
We kweli kilaza rudi shule kuliko kuonesha ubwege hapa jukwaani.
Haya baba wewe naona ni genius, endelea na ugenius wako lakini hilo litabaki kuwa hivyo hivyo, vingenevyo mahakama zipo. Jana waziri Wasira alikuwa anaongea na wanadini kuwafahamisha ukweli juu ya hili. Mimi nimejitolea tu kuondoa utata sikulazimishi kuamini!
 
2/3*32 = 21. Wao walikuwa 17, na CDM walihudhuria kisha wakatoa sasa wamlaumu nani. Hawakutimia kweli lakini walisusia.
Kanuni au sheria zinatakiwa zifuatwe huwezi kusema waliingia na kutoka tuonyeshe regista ya wajumbe waliohudhuria waliposaini na si kusema walihudhuria, hizi habari mpelekee Makamba mtaelewana naye na kutuletea hadithi zako humu.
 
uuupuzi ! huu Rula maana mwenyewe umeona RAFU ilipochezwa Uhalali unatoka wapi wee ni Mzee wa kula rushwa za mafisadi fisadi mkubwa weee!!!!
 
Chatanda ni mwajiriwa wa CCM kama katibu mkuu wa CCM mkoa wa Arusha. Kesho anaweza kuhamishiwa Lindi au mkoa mwingine wowote, hii haina maana kuwa atakuwa mbunge wa viti maalum wa mikoa hiyo atabaki tu kuwa mwakilishi wa mkoa wa Tanga. Tusidanganye watu kwa mambo yaliyo obvious kabisa. Kitendo cha CCM Arusha kuomba kauli ya Waziri Mkuu inathibitisha walifanya hujuma.
Hujuma hizo zipo ndani ya sheria na hata wao walifanya hivyo kuwakomoa CDM tu na hata kama asingekuwepo walishamnunua Kivuyo hivyo kura za CDM zingekuwa 14 kwa 15. Unaonaje na hapo?
 
Wewe mtoa mada, it is not enough to explain; one must learn to seduce with conviction. Hii yako hapo juu is fully skewed!
 
uuupuzi ! huu Rula maana mwenyewe umeona RAFU ilipochezwa Uhalali unatoka wapi wee ni Mzee wa kula rushwa za mafisadi fisadi mkubwa weee!!!!
lol. Hujajua tu yaani ni mtu wa Rula balaa na siyo za kifisadi. Tupo pamoja mimi sifanyi jukwaa hili kama sehemu ya mzaha mkuu.
 
mzee huyu amefanya utafiti Arusha au alitega sikio,ninachojua ni walialikwa katika semina elekezi wakajikuta peke yao kumbe wenzao wanaendelea na uchaguzi,twambie source of your data mazee tufanyie utafiti au umemsikiliza HIZA TAMBALA MBOVU.
 
Wana JF najua ni wengi wanajiuliza maswali mengi juu ya uhalali wa uchaguzi wa meya wa jiji la Arusha ambao umekuwa mjadala mpaka leo. Swali wengi wanalojiuliza je uchaguzi ulikuwa halali au si halali?
Nataka niweke wazi uchaguzi ule ulikuwa halali kabisa na taratibu zilifuatwa kabisa. Kabla ya uchaguzi kufanyika kulikuwa na utata wa mjumbe mmoja wa CCM Mary Chitanda kupiga kura kwa sababu yeye si mwakilishi wa mkoa wa Arusha. Yeye ni katibu wa CCM mkoa wa Arusha lakini kwa sasa yeye ni mbunge wa viti maalum mkoani Tanga. CCM ilikuwa na wajumbe 15 ie madiwani na huyo mwenye utata 1 jumla ni 16. CDM ilikuwa na wajumbe 14 pamoja na G. Lema mbunge.
Utata huu ulipelekea kuomba ufafanuzi, na ufafanuzi ulipatikana kuwa mjumbe yule yaani Mary Chitanda alikuwa halali kwa maandishi na siyo mdomo kwa vyama vyote, hiyo ilikuwa siku ya pili baada ya kuahirisha uchaguzi jana yake.
Hilo ndiyo jambo kuu lilikuwa likibishaniwa. Sasa endapo jambo hili lilipatiwa ufumbuzi kwa maandishi inakuwaje leo hii viongozi wa CDM waendeleze malumbano jukwaani?
Ni jambo lisilofichika kwa nini Mary Chitanda asiende kupiga kura Tanga badala yake Arusha. Hilo ndilo suala la msingi kabisa lakini majibu yake vile vile kisheria hakuna kipengele kinachomkataza kupiga kura kwani bado ni kiongozi wa wanaCCM Arusha, na kuzingatia sheria haimbani CCM wakaonelea basi ni vema wakaitumia loopwhole hiyo.
Tuachane na ubishi kama sheria haimkabi basi CDM hawana haja ya malumbano. Machoni pa watu itaonekana si halali lakini mbele ya sheria inaonekana sawa. Katika uchaguzi wa urais hakuna mahakama yenye uwezo wa kutengua mara baada ya matokeo kutangazwa na tume ya uchaguzi. Hapa tunajifunza mapungufu ya sheria zetu za bongo. Hili ni jambo lisilopingika kabisa na kwa hili linahitaji mabadiliko.
Uchaaguzi umekwisha na meya keshapatikana sasa kama sheria zilikikwa basi tukapate haki yetu mahakamani na siyo kwa mashinikizo ya jukwaani.
CDM ni chama makini lakini kimepotoka kwa hili kwa ndiyo maana yake hawataki kwenda mahakamani kwa sababu wanajua hawana jipya. Kinachofanyika saizi ni propaganga ya sintofahamu ya tukio hili kwa wananchi!
Ni kweli mara baada ya kupewa taarifa ya uhalali wa Mary Chitanda CDM walitoka nje kujadili wakawaacha wajumbe wengine 17 wakiwa ndani na kipindi hicho walishasaini tayari column ya mahudhurio! Ilipoonekana wamechelewa kurudi CCM hapo ndipo walipocheza rafu kwa kuendesha uchaguzi kwani tayari walikuwa na sababu zote za kushinda kesi. Sijui ni daftari au niiteje umesaini, kisha umetoka nje kujadili basi jamaa wakaendelea ndani na uchaguzi. CDM walishituka pindi matokeo yanatangazwa na kuja ukumbini wakiongozwa na mbunge wao Lema wakaambiwa nyie si MMESUSIA uchaguzi basi endeleeni ila viongozi wamepatikana.
Huo ndiyo ukweli wa uchaguzi wa meya Arusha.
Kwa kuwa ukweli huu umejificha kauli nyingi za kulaani zilitokea na kuzidi hasa baada ya maandamano kuzuiliwa na kupeleka vifo.
Kauli za kiburi toka kwa viongozi wa CCM akiwemo Makamba zikaamsha hisia kali. CCM ni kama walikuwa wanawakebehi CDM kwa sababu walijua hawana pa kushika mahakamani na ndiyo maana wanawashinikiza viongozi wa CDM waande huko ili haki ijulikane.
Usichokijua ni hiki, kwa nini wasiende mahakamani wafungue kesi kisha waitishe maandamano ili kushinikiza haki ya kusikilizwa kesi upesi. Kukataa kwao kwa kisingizio mahakama haitatenda haki kunatilisha mashaka na waelewe kuwa mashinikizo yao hayana direct impact badala yake yanawapa changamoto viongozi wa CCM.
Mwisho naalani kwa kauli moja kuwa nguvu iliyotumika kuzima maandamano yale ilikuwa kubwa mno na viongozi wetu wa serikali waache kutumika kisiasa. La Arusha latosha kuwa funzo.
Kikwete zlisema tukio la Arusha ndiyo mwanzo na mwisho naomba iwe kweli ingawaje nasikia Mbeya vijana wake wamekwisha ua tena!!!
MD usiichangane na thread yoyote ile, iweke ili watu wajue na ku challange pale wanapoona siyo sahihi.

Pamoja na kujiumauma kwako,unasahau kuwa kuandamana ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania.Kazi ya polisi sio kuruhusu au kukataza maandamano bali kusindikiza waandamanaji.

HAKI HAIOMBWI,INACHUKULIWA
 
Naunga mkono hoja, na ndiyo maana nikasema kuna haja ya mabadiliko ya sheria zetu na katiba. CCM walichokifanya ni kwa kuwakomoa CDM kwani walishaelewa wamejikwaa na hata waende wapi wataonekana wababaishaji. Ieleweke sina ugomvi na chama cha CDM ila ndiyo ukweli huo.

Asante kaka. Great thinker!
 
Back
Top Bottom