Teh yani kuna watu kwa nje huwa ni wagumu hao, hamshobokei mtu, teh subiri sasa kwa mpenzi wake, zwazwa haoni ndani. Sema inanoga kama ukiwa boya kwa mtu anayekupenda kwa dhati piaHapa nimecheka ila umeongea ukweli sana. Unampenda mtu lakini upendo wako hauko reciprocated. Mungu aingilie kati
Hahahaaa..... Ila usiombe mwenzako ndo awe mjanja kwako, utajuta.
Hahaaaa....... Pagumu hapo! Ila ni ngumu kujua pindi unapoingia kwenye uhusiano utakuwa position ipi.Teh yani kuna watu kwa nje huwa ni wagumu hao, hamshobokei mtu, teh subiri sasa kwa mpenzi wake, zwazwa haoni ndani. Sema inanoga kama ukiwa boya kwa mtu anayekupenda kwa dhati pia
huwezi pelekaNi kweli kabisa.
Haaaaa...... umenifanya nicheke sana. Yaani hawekagi hata salio kazi yake ndo hiyo ama umnunulie kifurushi.Sasa unatongoza mwanamke ambaye hajawahi kulalia kitanda cha 6*6 unategemea asifikire kuolewa....Mademu njaa siwapendi sa mwanamke hawezi hata kukupigia cm ye ni Tafadhali nipigiee ndo Wa kazi gani...
Hahaaaa! Hii nimeipenda, kweli kabisa, kama nia yake imetimia why ashangae nia ya mwenzie?Unapomtongoza unakuwa na nia yako kichwani,na yeye anapokukubalia anakuwa na lengo lake moyoni. So 50-50 mkuu.