Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,976
Teh teh..Huyo mwanaume kimeoUnashangaa??
Ndio hivyo.
Humu si wote don care ndio maana mnawashambulia wanawake tu, ila that iko both sides.
Teh teh..Huyo mwanaume kimeoUnashangaa??
Ndio hivyo.
Humu si wote don care ndio maana mnawashambulia wanawake tu, ila that iko both sides.
Thot of tha onswer b4 you responded, ngoja niyaheshimu tu mawazo yako.Teh teh..Huyo mwanaume kimeo
Eeeeh kuna wanaume "desperate" pia, wanawake tunasubiriUnashangaa??
Ndio hivyo.
Humu si wote don care ndio maana mnawashambulia wanawake tu, ila that iko both sides.
Ndio mie wananiachaga hoi humu, kila ntu hasumbuliwi wala kubabaishwa na mwanamke, ila sasa cha ajabu thread zao za kulialia ndio zimetawala humuEeeeh kuna wanaume "desperate" pia, wanawake tunasubiri
Vitu vinavyochangia.
1. Kuanza mapenzi katika Umri Mdogo. Hii ndio tunaweza sema ni kubwa kuliko zote sababu mabinti wengi wanlkifika 20 anakuwa ameshatembea na wanaume hata kumi. Tayari alishaumizwa vya kutosha kwahiyo we mwanaume ndo uko chuo au umemaliza chuo au ndo umeanza kutoka kimaisha ndo unawaza sasa nawe uanze kutafta mpenzi. Kwahiyo kabla we hujamconfirm tayari ye ashajiconfirm maana yuko desperate kuolewa ashachoka.
2. Chereko ya TBC na vipindi vingine kama hivyo.
Yaan hili ni jipu kwa wadada maana wakiangalia hivi vipindi akili inaruka wanawaza kuolewa tu na kufunga ndoa ya kifahari. Kwahiyo hiyo ukijilengesha tu sijui nakupenda tayari anakuita we mchumba na anataka mfunge ndoa ili na yeye aonekane chereko. Ukimuuliza baada ya hapo maisha yatakuwaje, hajui chochote.
So wazazi wanawajibu wa kukaa na watoto wao toka wakiwa darasa la tatu kuanza kumfundisha maisha. Mzazi unakuta anamfundisha mtoto kukatika ekotite unategemea hapo akikua kitatokea nini. Baadae oooo watoto wa siku hizi, kumbe mzazi hujijui. Pumbafu kabisa
Ukitaka kumpeleka home utaskia mara ooooh namuogopa mama ako....mara oohh naogopa wifi zangu.....Teh teh..Ila ukipata msichana anayetaka kutambulishwa home ujue huyo anajielewa kidogo..Wanawake waruwaru kuwapeleka home inabidi ufanye kazi ya ziada aisee
Teh kwenye mapenzi kila mtu ana mjanja wake, ngoja tu ukamatike..ujanja wote mfukoniNdio mie wananiachaga hoi humu, kila ntu hasumbuliwi wala kubabaishwa na mwanamke, ila sasa cha ajabu thread zao za kulialia ndio zimetawala humu
Hahaha chereko oyeeeMwanamke anajifanya yuko cool ila kila siku kukutag kwenye picha za engagement hadi za Botswana. Na kila wiki unakumbushwa kuangalia platinum weddings na chereko
mtoto wa nyoka ni nyoka,chatu wanajuana hao.Inaonekana hata hao wazazi wako ni wapole na wataratibu sana, wazazi wengine hawapendi kuona kila kukicha unawapelekea mpenzi mpya. Watakuona kuwa una 'longolongo' nyingi.
Teh kwenye mapenzi kila mtu ana mjanja wake, ngoja tu ukamatike..ujanja wote mfukoni