Ukitongoza msichana wa siku hizi jipange

Hapa nimecheka ila umeongea ukweli sana. Unampenda mtu lakini upendo wako hauko reciprocated. Mungu aingilie kati
Teh yani kuna watu kwa nje huwa ni wagumu hao, hamshobokei mtu, teh subiri sasa kwa mpenzi wake, zwazwa haoni ndani. Sema inanoga kama ukiwa boya kwa mtu anayekupenda kwa dhati pia
Hahahaaa..... Ila usiombe mwenzako ndo awe mjanja kwako, utajuta.
 
Teh yani kuna watu kwa nje huwa ni wagumu hao, hamshobokei mtu, teh subiri sasa kwa mpenzi wake, zwazwa haoni ndani. Sema inanoga kama ukiwa boya kwa mtu anayekupenda kwa dhati pia
Hahaaaa....... Pagumu hapo! Ila ni ngumu kujua pindi unapoingia kwenye uhusiano utakuwa position ipi.
 
Sasa unatongoza mwanamke ambaye hajawahi kulalia kitanda cha 6*6 unategemea asifikire kuolewa....Mademu njaa siwapendi sa mwanamke hawezi hata kukupigia cm ye ni Tafadhali nipigiee ndo Wa kazi gani...
 
huwezi peleka
Kwa wazazi zaidi ya wasichana watatu wazazi wakutazame tu lazima muwe mmekatika mshipa wa aibu wewe na wazazio.​
Teheteheee....... labda wale wa 'single parent' ndo wanaweza.
 
Sasa unatongoza mwanamke ambaye hajawahi kulalia kitanda cha 6*6 unategemea asifikire kuolewa....Mademu njaa siwapendi sa mwanamke hawezi hata kukupigia cm ye ni Tafadhali nipigiee ndo Wa kazi gani...
Haaaaa...... umenifanya nicheke sana. Yaani hawekagi hata salio kazi yake ndo hiyo ama umnunulie kifurushi.
 
Unapomtongoza unakuwa na nia yako kichwani,na yeye anapokukubalia anakuwa na lengo lake moyoni. So 50-50 mkuu.
 
Wanawake wa dizaini hiyo ni kuanzia miaka 23 na kuendela ukimwambia kuolwa anakuwa fasta kukubali anajua jana future mbeleni zaidi ya kuolewaa
 
Unapomtongoza unakuwa na nia yako kichwani,na yeye anapokukubalia anakuwa na lengo lake moyoni. So 50-50 mkuu.
Hahaaaa! Hii nimeipenda, kweli kabisa, kama nia yake imetimia why ashangae nia ya mwenzie?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom