Jamani huyu si ni Irene Uwoya (Mrs. Katauti)???
huyu mi nagonga kavu bila hata kujadiliana kama ukimwi acha unipate lakini nimekula kitu roho inataka
Afande mbavu sina......hapo ni nyama kwa nyama...dah!!huyu mi nagonga kavu bila hata kujadiliana kama ukimwi acha unipate lakini nimekula kitu roho inataka
Kaka yangu Kigogo, ukiendelea na tamaa za namna hiyo hutaweza kumuona raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Au kwa kuwa siku hizi kuna ARV zakupa matumaini? Samahani kama nimekuumiza!!
huyu mi nagonga kavu bila hata kujadiliana kama ukimwi acha unipate lakini nimekula kitu roho inataka
Kaka yangu Kigogo, ukiendelea na tamaa za namna hiyo hutaweza kumuona raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Au kwa kuwa siku hizi kuna ARV zakupa matumaini? Samahani kama nimekuumiza!!
Kaka yangu Kigogo, ukiendelea na tamaa za namna hiyo hutaweza kumuona raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Au kwa kuwa siku hizi kuna ARV zakupa matumaini? Samahani kama nimekuumiza!!
mmmh wanaume vichomi utawajua tu
lakini ni mrembo halisi wa kibantu
watafiti wa mambo ya saikolojia wanasema wanaume wanaooa wanawake warembo/wazuri sana wana hatari kubwa ya kupata magonjwa mbalimbali nakufa mapema ............................. Ukimwoa huyo jiandae kupata presha, kisukari,ugonjwa wa moyo na siku ya masiku moyo unapasuka. Kwe heri mwalimu!
na kujiua vilevile umesahau.watafiti wa mambo ya saikolojia wanasema wanaume wanaooa wanawake warembo/wazuri sana wana hatari kubwa ya kupata magonjwa mbalimbali nakufa mapema kwa sababu ya wasiwasi wa kunyang'anywa au kuzungukwa na watu wengine; sababu ya wivu, na hofu katika moyo. Daima wanakuwa na mawazo na tension kubwa. Hvyo ni hatari kuuugua. Ndo hayo ya kuoa mwanamke mrembo kama huyo wa hapo kwenye picha. Ukimwoa huyo jiandae kupata presha, kisukari,ugonjwa wa moyo na siku ya masiku moyo unapasuka. Kwe heri mwalimu!
uncle kigogo umenichekesha sana!huyu mi nagonga kavu bila hata kujadiliana kama ukimwi acha unipate lakini nimekula kitu roho inataka
WANAWAKE WENGINE NI WAZURI KIASI KWAMBA AKIWA NA BWANA HOE HAE KAMA MIMI HATA NIKIPORWA NA PEDESHEE, ITABIDI UGUZE MOYO, NA KUSONGA MBELE KUTAFUTA MWINGINE.
HEBU CHEKI KITU HIKI KIMEKAAA KAMA PEARL MAMAA YA THERENGETITHERENGETI..