Fahamu kuhusu Ponografia na Uchumi

Damaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
1,590
2,088
Ukisikia neno uchumi je kichwani kwako unaelewa kitu gani? Wapo ambao watasema kuwa ni masuala ya fedha tu, wapo wataozungumza kuhusu uwepo wa shughuli ambazo zinahusisha mzunguko wa fedha katika jamii; hapa watasema kuwa kuna biashara ambazo zinafanya uchumi upande ama ushuke.

Ila ukiniuliza mimi nitazungumza tofauti sana na makundi haya mawili, Kwangu uchumi ni zaidi ya hayo yote, uchumi unategemea sana uwepo wa watu (yaani uwepo wa watu ambao watakuwa wakichochea uchumi wenyewe), pia miundombinu ambayo itafanya uchumi uweze kustawi. Ukitazama miundombinu ambayo ipo Ulaya ni tofauti sana na miundombinu ambayo ipo Afrika, kuanzia namna ya uanzishwaji wake mpaka utendaji wake, kwa Ulaya suala ya kukwepa kodi linachukuliwa kwa umakini kuliko hata Afrika (Kama unakataa basi fuatilia kesi ya Ukwepaji kodi za wachezaji wa Ulaya ndo utaelewa uzito wa jambo hili).

Leo natamani nikupatie andiko hili mahususi kuhusu suala nyeti sana duniani kwa sasa.

Je umewahi kusikia kitu kinachoitwa PORNOGRAPHY ama picha mjongeo za ngono? Kama hujawahi kutazama basi ni vyema sana ila kama ni mtazamaji na mfuatiliaji wa picha hizi, kipindi cha leo kinakuhusu:Ni miaka zaidi ya mitano sasa nimekuwa nikiumiza sana kichwa change je kitatokea nini endapo biashara hii ya usambaji wa picha hizi utachukuliwa kama moja ya sehemu ya uchumi wa dunia, yaani nini kitatokea endapo makampuni kama vile MindGeek, ama WGCZ Holdings yatasajiliwa na kuanza kulipa kodi, je mapato yao umewahi kuyafahamu kwa undani?

Leo utafahamu mengi kuhusu uchumi wa Pornografia duniani.Ukienda Ulaya katika mataifa kama Uingereza, Italia, Uhispania, na Ujerumani ni kawaida sana kukutana na makampuni mengi ambayo hufanya kazi za kurekodi, kutayarisha na kusambaza picha za pornografia, picha ambazo kwa muongozo wao zinatakiwa kuwa na waigizaji wenye miaka 18 na zaidi.

Pia kuna baadhi ya nchi zimeweka kikomo ni kuanzia miaka 21 na zaidi, picha hizi zimewekewa sheria kuwa zinapaswa kutazamwa na watu wenye miaka 18 ama 21 na zaidi.

Kwa mujibu wa mtandao mmoja hivi Marekani, ulichapisha takwimu kuwa sekta hii huingiza zaidi ya dola 3,075 kila sekunde, na fedha yote hii ni mchango kutoka kwa watazamaji na watumiaji wa mtandao zaidi ya 28,258 ambao hawa hutazama picha na video ndani ya sekunde moja. Takwimu zinaonesha kuwa makampuni haya yanaingiza fedha kiasi kikubwa sana.Ndani ya sekunde moja kuna watu zaidi ya 372 wanatumia mitandao ya Google, Yahoo, pamoja na Bing kutafuta maneno ya ngono pamoja na kutafuta maudhui ya ngono, sawa na 43% ya watumiaji wa mtandao dunia ambao hutumia mitandao ya Google, Yahoo, pamoja na Bing kutafuta maudhui ya video za ngono.

Kundi ambalo ndo lipo mstari wa mbele katika kufanya haya ni kuanzia miaka 35 mpaka 39 na ndio wenye uraibu mkubwa wa picha na video za ngono mtandaoni, na ni 72% ya wanaofanya haya ni wanaume.Kwa Uchina wao wanaongoza kwa kusambaza vifaa vya ngono maarufu kama “SEX TOYS”. Ajabu ni kuwa kuna tovuti zaidi ya milioni 4.2 ambazo zimechukua sehemu ya 12% ya mtandao duniani, na wanaongoza kwa kutengeneza maudhui ya ngono duniani ni mataifa matatu, Mosi ni Marekani, Brazili pamoja na Uholanzi.

Je utaniamini nikikupa taarifa kuwa mwaka 2006, Uchina iliongoza kwa kuingiza mapato makubwa ya sekta ya pornografia kwa kupata dola bilioni 27.40 huku Korea ya kusini wakiwa nafasi ya pili na mapato zaidi ya dola bilioni 25.73 na Japani wao wakiingiza bilioni 19.98 hii ni kama mapato ya sekta ya pornografia.

Kwa lugha nyepesi ni kwamba sekta hii iliingiza mapato makubwa kuliko Makampuni ya Microsoft, Google, Amazon, Oracle pamoja na Apple.

Walking_street%2Cpattaya%2CTHAILAND_-_panoramio.jpg
Makampuni ya 3rd Degree, ClubJenna, pamoja na Caballero Home Video yalipata mapato makubwa sana mwaka 2006.Chuo Kikuu cha Thai kilifanya utafiti wao ambao ulionesha kuwa sekta ya ngono ilikuwa na mchango mkubwa sana kwenye pato la taifa la taifa la Thailand (GDP) kwa 12% huku wanaume wa Thailand wakitumia zaidi ya Malaya milioni 7 kwa mwaka mmoja (Ajabu sana ehh). Na kundi hili linaweza kuwahusisha wanawake, na wakati mwingine hata watoto.

images%20(1).jpg
ConvenantEyes walifanya utafiti wao ambao ulionesha kuwa 90% ya watoto walio kwenye balehe pamoja na 96% ya vijana kati ya miaka 18 mpaka 20 wako wazi na wana ufahamu kuhusu picha za ngono na wamewahi kutazama picha pamoja na video hata mara moja.

Sio tena kitu kigeni kusikia vijana wa shule wakizungumzia kuhusu maudhui haya wazi wazi. Malaya nao wapo huru kufanya kazi zingine za burudani na wengi tumewaona wakiingia kwenye sekta ya filamu na muziki, na mbaya zaidi wamekuwa wazi kuonesha utayari wa kufanya vitu ambavyo havina tena stara wala aibu (mfano kukaa watupu wakionesha sehemu za miili yao kama Matiti ama Makalio), waandaji na wazalishaji wa filamu wanaona kuwa hii ni neema kwako kwani wamepata watu wanaoweza kujitoa akili na kuingiza visa ambavyo kwa akili timamu ni ngumu kufanya.

images%20(44).jpg

Kwa wale wataalamu na maghuli wa masuala ya uchumi kuna kanuni moja nzuri sana ya biashara, tunasema “Law of demand and supply” kanuni hii imekuwa ikiwapatia sana fedha wale wenye macho na ufahamu wakibiashara. Bidhaa inapohitajika zaidi basi tunaongeza upatikanaji wake, kama sehemu kuna ujenzi na saruji inahitajika kwa wingi basi utaona watu wakifungua maduka ya kuuza vifaa vya ujenzi maeneo hayo ili wapate kuwafikishia huduma watu.

images%20(2).jpg
Ingawa kwa wazalishaji wengi wa picha na video zenye maudhui haya wameigeuza kinyume kanuni hii na wao wanadai kuwa ndani ya jamii upatikanaji wa bidhaa ndo utatengeneza zaidi uzalishaji wa maudhui haya. Wao wanaumiza vichwa kutengeneza tu video nyingi zenye ubora na kadri watu wanavyokuwa wakitazama basi wao ndo wanazidi kuzalisha.

images%20(45).jpg
Ila kitu ambacho wengi hawafahamu ni kuwa sekta hii ina pande mbili, kuna sekta ambayo ni rasmi na ile ambayo sio rasmi. Ukizungumzia sekta ya pornografia rasmi basi unazungumzia makampuni ambayo yamesajiliwa na yanalipa kodi, ila yanazalisha bidhaa na maudhui ya ngono moja kwa moja, sex toys, mikanda ya video, majarida na maudhui ya mtandaoni.
Wengi wanafirikia kuwa makampuni haya hayana uongozi imara ila ni makampuni kama vile makampuni ya kutengeneza sharubati mahanjumati ama pipi, kuna Mkurugenzi mkuu, Mkurugenzi wa idara ya masoko, Mkurugenzi wa idara ya fedha pamoja na walinzi na mpaka makao makuu yaani ofisi zao zipo.

Mazingira mazuri ya ufanyaji kazi kama vile, vyumba visafi na uwepo wa usalama wa waigizaji kwa ujumla.Devil’s Film, Mantra Films, Elegant Angel, Caballer Home Video, JM Productions, Larry Flynt Publications pamoja na Naughty America hawa wote wana ofisi zao California Marekani.

Kwa Japani wao kuna makampuni maarufu sana ya CineMagic Co, Cross, Hokuto Corporation pamoja na Wanz Factory ambao wameweka makao makuu yao ndani ya mji wa Toshima pale Tokyo Japani. Kanada majirani wa Marekani wana makampuni maarufu zaidi duniani, ni Pronhub, Xtube, pamoja na Brazzers.

Unamfahamu Renee Gracie ambaye ni dereva wa magari, baada ya kusikia kuhusu fursa ya kupata fedha nyingi kiasi hicho basi akabadilisha taaluma na kwenda kuwa muigizaji nyota wa picha za ngono, na sasa anaingiza zaidi ya milioni 3.5 ndani ya mwaka mmoja tu. Pia ukifuatilia hata Jackie Chan naye aliwahi kushiriki filamu moja akiwa kama muigizaji kwenye kisa cha ngono.

Upande wa pili wa shilingi ni sekta ya ngono isiyo rasmi, ambayo hii hufanya kazi zake nje ya sharia na kanuni, ambapo humchukua mtu yoyote ambaye anataka pesa na kumpa kazi bila kutazama mikataba ya kazi kama tulivyoona kwenye sekta ile iliyo rasmi.

images%20(49).jpg

Huku kuna mshahara mdogo sana, mazingira ya kazi ni mabovu sana, wengine hubakwa na unyanyasaji wa kila namna.Kwa mwaka 2023, je Sekta hii ina ukubwa gani haswa? Wataalamu wakubwa wa uchumi duniani wameipatia sekta hii jina la Economic Powerhouse kutokana na ukubwa wake katika kuzalisha mapato makubwa. Kama ulikuwa haujui ni kwamba mpaka sasa mapato ya pornografia kati ya bilioni 10 mpaka bilioni 12, yaani kati ya shilingi trilioni 24,700 na shilingi trilioni 28,440 zinatoka Marekani pekee.
images%20(50).jpg

Mtandao wa Xvideos wao hupata zaidi ya watazamaji bilioni 2.9 kwa mwezi mmoja tu. Sex.com ndo mtandao wa kwanza pornographia na ulianza kufanya kazi toka mwaka 1994, upo hapo?

Na aliyefanya haya ni bwana mmoja hivi, Gary Kremen.
images%20(51).jpg
Gary Kremen
Ila kwenye kila jambo kuna uzuri na ubaya wake, sasa sekta hii na uzuri wake katika kuvuna mapato ila kuna ubaya wake, sekta hii inazalisha ugonjwa mkubwa sana wa kifikra kwa mtazamaji pamoja na waigizaji, tuanze na waigizaji ambao ndo wanaotuonesha visa na mikasa ya kingono katika picha mjongeo.

images%20(52).jpg

Uzuri wake ni kuwa makampuni haya yametoa ajira nyingi sana, mfano Kampuni ya MindGeek au Aylo wao wameajiri wafanyakazi zaidi ya 1,365 ambao hawa ni wafanyazi kamili huku wakiwa na vibarua zaidi ya 2,000. Kwa upande wa AVN Media wameajiri wafanyakazi zaidi ya 230 na vibarua zaidi ya 1200.

images%20(53).jpg
Jan Villarubia alikuwa ni mmoja wa waigizaji wazuri tena wenye mafanikio wa picha hizi za pornografia, ila baadaye aliacha kabsa kazi hii, na yeye kwa maneno yake anasema “Of Course I lied to my fans. I led them to believe I lived a fantasy life that was far from the truth. I fed into their fantasies. I said I wanted sex 24/7 and made it seem like I absolutely love what I did and was living this happy life”.

Ni wazi kuwa niliwaongopea mashabiki zangu. Niliwapelekea kuwa na Imani ya kwamba nilikuwa nikiishi maisha mazuri kuliko ukweli ulivyokuwa ukionekana. Niiliwaonesha kuwa nilihitaji kufanya ngono masaa 24 siku 7 za wiki na ilitosha kuwaonesha kuwa nilipendezwa sana na nilichokuwa nikifanya na niliishi maisha ya furaha.

images%20(54).jpg
Ni ngumu sana kusikia Valentina Nappi akizungumzia hisia zake za ukweli pamoja na maoni yake kuhusu kazi yake ya kuigiza picha za ngono, ingawa ana miaka zaidi ya kumi na mbili kwenye sekta hii. Ama kusikia Raegan Leah Guirguis maarufu kama Leah Gotti akizungumzia kwanin aliachana na kutafuta kazi ya ukandarasi na kuamua kwenda kuwa muigizaji katika sekta hii. Amini usiamini ila ni ngumu sana kupata mtazamo wa kweli kutoka kwa Mia Malkova, Dani Daniels, au mwanamama Abella Danger.
images%20(55).jpg

Mwaka 2017 huko Japani muigizaji mmoja wa kike alifariki dunia baada ya kuzidiwa na wingi wa shawaha katika koo lake, hii ni baada ya kufanya kisa cha ngono na wanaume 20 ambao kwa mujibu wa muongozaji walitakiwa kumwaga shahawa zao mdomoni mwa muigizaji huo na alitakiwa kuzimeza (Ahh jamani).

Kwa mujibu wa sheria ya Japani majina ya muigizaji huyo yalifichwa kwa sababu za kiusalama. Ingawa ukitafuta kesi za manyanyaso na vifo ama ajali kazini haswa katika sekta hii ni ngumu kupata taarifa hizi kwa sababu moja tu kuu (Umeifahamu ehh?? Kama umesomea Cuba utakuwa umeelewa) labda kesi ya Rina Arano tu ila ukweli ni kwamba makampuni haya hutumia kiasi kikubwa cha fedha katika kuficha ukweli ili kulinda wateja wao, ingawa unaweza kutafuta mahojiano ya Mwanamama Jessie Rogers ambaye alizungumza mambo nyeti sana kuhusu sekta hii.

images%20(56).jpg
Rina Arano
Kuna kesi kadhaa za mishtuko ya moyo haswa kwa wale ambao walifanya ngono kwa muda mrefu na watu wengi basi hutokea moyo kuzidiwa na hivyo unaweza kusimama ama kushtuka na mara nyingine muigizaji anaweza kupoteza maisha, mfano, Old goes Young pamoja na Old-n-Young ambapo muigizaji kikongwe anatakiwa kufanya ngono na kijana barubaru, basi mzee anakutana na za uso tena nzito kiasi kwamba anaweza kujuta kufanya maamuzi ya kuingia kwenye uigizaji wa picha za ngono.

images%20(57).jpg
Huwezi kusikia kitu kibaya kutoka kwa Kayden Kross, Asia Carrera, Savanah Samson au hata Briana Banks, wote watakusimulia mambo mazuri kama vile unaota ndoto za mchana huku mvua ikiwa inanyesha. Unafahamu kuwa Kampuni ya Vivid waliwahi kumpa ofa Philippa Middleton ya dola milioni 5 ili apate kushiriki kwenye filamu ya ngono? Pippa ni dada yake ya Catherine mke wa Prince William. Ingawa kitu kizuri ni kwamba hawakuweza kumpata Pippa Middleton.

images%20(58).jpg
Pippa Middleton

Kitu kingine cha kufahamu ni kuwa kuna mambo mengi sana yanaongezwa chumvi katika video hizi, ; suala la muda, hapa ni jambo gumu sana kuwa waigizaji hawana muda wa kumpuzika hata dakika 30, yaani wanafanya ngono masaa mawili, Kumbuka kuwa wakati wanafanya ngono mwili hufanya kazi kubwa na hutoa jasho je hawasikii kiu hata kidogo?
download.jpg

Pia nishati wanayotumia sio nguvu za kawaida, utakuwa umepigwa fix kubwa sana ukiamini kuwa waigizaji hao wanafanya ngono wakiwa na nishati zao za asili NO, bali kuna madawa ya kuongeza nguvu zaidi kama vile, Cialis pamoja na Viagra, na wakati mwingine hata mwili ukiwa umechoka basi huchoma na sindano tu ili visa vipate kurekodiwa.

images%20(59).jpg
Kiwango cha matamanio hakina ukweli wowote, ni uongo kuwa waigizaji wote wale basi wanapenda kufanya tu ngono kama mbwa, hapana bali waongozaji wa visa ndo hupanga namna ya kuchukua matukio, yaani unaweza kukuta wanamechukua matukio ya mwanzo jana, kisha matukio ya mwisho leo na ndipo watazalisha sehemu ambazo wanataka zionekane katika kazi ya mwisho.

AdobeStock_246140651_Converted_-2-01.jpg

Mitindo ya ufanyaji wa ngono sio kwa ajili ya wewe upate kuona vyema bali ni kwa ajili ya kamera ipate kuchukua vyema sehemu za siri pamoja na mapigo ya wakati wa uigizaji, pia nywele huwa zinanyolewa ili kamera zipate kuchukua matukio vyema.

Na mwisho ni kuwa waigizaji huchaguliwa kutokana na upekee wa maumbile yao, mwanaume mara kadhaa hupata offa nono wakiwa na dhakari ndefu na kubwa, huku wanawake wakichaguliwa kwa kuwa na matiti makubwa pamoja na tupu zenye muonekano mzuri wa kuvutia.
Duuh hili ni janga aisee!

Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania.
 
Waafrpka wanafiki sana. Wanafanya biashara hii kwa ukubwa sana. Ikitokea mtu akafanya tafiti basi atagundua mengi.
Observation na fununu zinaweza kuyupa makisio juu ya biashara hii.
Waafrika ni wanafiki wanafiki. Misikitini, maogusini, kanisani biashara hii ni kubwa sana ila imefunikwa kwenye mwamvuli wa maadili. Kwa makisio yangu Ktk wanaume 100 ni 10 ndio hawafanyi biashara ya jununua wanawake.
Mwaka 2014 mtafitivwa Phd alikuja kukusanya data chuoni sasa jamaa yangu wa karibu tayari alikuwa ameisha nunua wanawake 100.
Data zokiwekwa waz tutasha gaa sana.
Kwenye kila kongamano TZ ujue kuna biashara ya ngono itafanyika.
 
Hata mia Khalifa kuna interview alifanya anajuta mpaka leo kufanya kazi ile licha ya kuwaambia wafute ila wamegoma kashakula hela tayari.
 
Ahsante mtafiti.

Umeainisha vizuri.

Sema waathirika kwa akili zao sidhani kama watasoma andiko lote.

Yaani hapa tumeelewana mtafiti kwa mtafiti zaidi. Kazi nzuri
 
Hata mia Khalifa kuna interview alifanya anajuta mpaka leo kufanya kazi ile licha ya kuwaambia wafute ila wamegoma kashakula hela tayari.
Nadhani Mia anajuta kwanini alifanya kuigiza huko.
 
Waafrpka wanafiki sana. Wanafanya biashara hii kwa ukubwa sana. Ikitokea mtu akafanya tafiti basi atagundua mengi.
Observation na fununu zinaweza kuyupa makisio juu ya biashara hii.
Waafrika ni wanafiki wanafiki. Misikitini, maogusini, kanisani biashara hii ni kubwa sana ila imefunikwa kwenye mwamvuli wa maadili. Kwa makisio yangu Ktk wanaume 100 ni 10 ndio hawafanyi biashara ya jununua wanawake.
Mwaka 2014 mtafitivwa Phd alikuja kukusanya data chuoni sasa jamaa yangu wa karibu tayari alikuwa ameisha nunua wanawake 100.
Data zokiwekwa waz tutasha gaa sana.
Kwenye kila kongamano TZ ujue kuna biashara ya ngono itafanyika.
Including Mkesha wa kupokea Mwenge! asubuhi ile ya saa 12 ukakutana na CD za kutosha sana!
 
Back
Top Bottom