Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Mkuu nimekukubali huo ndio ushauri murua, kwa sababu wanalia lia bure hiyo serikali ya CCM ndiyo iliyowaweka hao wachaga sijuia wezi kwenye maofisi ya serikali, kwa nini wasijiulize kila kiongozi au director akihujumu au kuiba anapelekwa kusini kama adhabu badala ya jela???? Nasema hivi serikali dhaifu na mipango dhaifu ndiyo chanzo cha kukwamisha maendeleo ya kusini na kwingineko kote TZ!!!!Piga chini the whole system ya CCM tuanze upya kujenga nchi yetu, wezi wa kila aina sehemu yao ni jela!!!!!Nilitaka kuikubali point yako lakini umeonesha makamasi kwenye mawazo yako!Nani aamekwambia biashara nzuri zote ni za wachaga?Wachaga ni wachuuzi tu na vimitaji vyao vya vya kuuzia kitimoto na chupi!Nenda Mbeya kama utawaona au Iringa kama utawakuta!Dar unaijua vizuri wewe?Au na wahindi we unawaona ni wachaga wenzio?Nenda mwanza utawakuta wenzio wanakangishwa chipsi na wasukuma na wauza mabaa wakubwa siku hizi ni wachaga au hunywi?We waambie tu dada zenu wajipitishe kwa mafisadi wapigwe mambo yetu yale maana wanajua sana kulia kazini waolewe sio kujifanya eti wachaga wachaga mbona mi housegirl wangu mchaga?Kawatafute wakinga,Wahehe,Wapare,Wasukuma hata warangi wapo wengi tu na biashara zao za kufa mtu tena wapo mpaka china!Ila mwito wangu kwa watu wakusini ni kwamba CCM wala sio rafiki kwa maendeleo yenu kama mnavyowapamba kina membe.Hawana lolote wale ni wezi tu na mtaumia sana msipokua ngangari!CUF sio chama cha maendeleo ila ni Taasisi ya dini ya Kiislamu mtaishia kuvaa kanzu na misuli mpaka kiama PIGA CHINI HAOOO!weka CHADEMA PALE.