Ukabila waibuka Bungeni, wachaga wadaiwa kuididimiza Lindi na Mtwara

I am telling you people, with Kikwete, CCM and upuuzi wa spika na wabunge vilaza wa CCM, hatutafika mbali, zaidi ya kuchapana. Kila mahali sasa hivi ni ukabila na ukienda Zanzibar, ni muungano. Kikwete is so weak!! Kazi ya usalama wa Taifa ni nini? Inaelekea usalama wa Taifa una matatizo ya kiutendaji na itakuwa imejaa kama si vlaza basi ni watu wanaojali matumbo yao. Itakuwa wanaangalia usalama wa Rais badala ya usalama wa nchi. Kwa nchi za wenzetu, usalama wa taifa uko kwa maslahi ya taifa na si rais au mtu mwingine yeyote. Wao wako tayari hata kutoa uhai wa kiongozi wa nchi kwa maslahi ya walio wengi. Tuendako ni giza na ni hatari kwa kwetu sote. Hakuna atakayebaki salama hali ikiwa tete!!
 
Uwezo mdoggo wa kufikiri wa hao tunaodhani ni viongozi wetu ndo utakao licost taifa hili!!!!
 
kwa mujibu wa yule mbunge, anadai kuwa serikali ilikua na mchezo ulodumu kwa muda mrefu wa kupeleka makatibu tawala na wakurugenzi ktk mikoa ya lindi, mtwara na ruvuma WOTE KUTOKA UCHAGGANI. kwa kuonesha kuwa alikua na uhakika ana alichokisema, ametaja majina ya hao viongozi, miaka waliokua lindi na mtwara, pamoja na pesa ambazo kila mmoja wao aliiba. anasema wengi wamehamishwa kutoka lindi na mtwara na kupelekwa kilindi na pangani mkoani tanga nako wakadumaze maendeleo.



huyu mbunge aliongea kwa kujiamini na akawa anasema atampa hizo data spika. wabunge wengine wa kusini waliosimama baada yake wote waliunga mkono hoja yke. WANALAANI WACHAGGA KWA KUWARUDISHA NYUMA. NINA WASIWASI KUWA CHDM WAKIENDA KUSINI WATAPOPOLEWA! NI KWA SBB WAMETAJA WACHAGGA NA CHDM.
 
Kwa wale wote mlioingia darasani na kujifunza somo la General studies mnakumbuka jinsi jamii zisizo na misingi imara ya Kiuchumi zinavyoweza kudanganyika kirahisi ikiwemo kulogwa,kuamini huduma za matibabu ya kienyeji na mengine mengi bila kuwa na fikra pevu za kuelewa mambo.Nimelazimika kulejea nadharia hii kwa kulinganisha na huyo Mama anachotaka watu wa Mikoa ya kusini waamini.
 
mke wa lazaro nyalandu ni faraja kota sio hoyce temu acha ubaguzi na uropokaji uliza kama hujui?
 
Riziki lulida mbunge viti maalumu lindi kamtaja ndoskoi,Macha na wengine ambao sikumbuki kwamba wana mtandao wa wezi wa wachaga ambao wameeibia Lindi,Mtwara ,lakini hawa viongozi wa hiyo mikoa wameamua kupambana na wachaga leo Membe asubuhi alikuwa power breakfast kwenye kituo cha clouds alitumia neno kwamba nilienda mtama kufukia mashimo na niliwaambia wananchi kwamba hawa watu wa kaskazini walikuwa wanapangiwa kuja huku na wakakataa kufanya kazi huku kwa hiyo wamechelewesha maendeleo haya maneno ya wana CCM ya kibaguzi sio nzuri kwa ustawi wa nchi yetu
Maskini watu wa kaskazini mmewafanyia nini CCM yaani kumbe nyie kazi yenu ni kuwaletea maendeleo wacheza bao na wanywa kahawa?
Kwahiyo na hao watu wa kusini kazi yao nini kaskazini? Membe kwanini hakubaki kusini kwao kuonyesha mfano kwa wachaga ili nao washuke?
Naona sasa dini, kabila lililokosa maendeleo kutokana na uzembe wao fulani unatafuta nani wa kumfunga kamba kengele. SHAME ON YOU.
 
Tatizo wachaga ni wezi,wabaguzi na hawana uaminifu .Tunapanga nao dili kanisani kwamba tusiwape kazi waislamu maofisini...wao wanawanyima kazi hadi wakristo wakristo wenzetu....wanawapa kazi watu toka kilimanjaro peke yao..Mchaga,Mhaya na Mnyakyusa hatatawala hii nchi mpaka Yesu arudi......we angalia maraisi wote ukitoa nyerere ni watu wa pwani... Mchaga,Mhaya na Mnyakyusa wanogopwa hadi VATICAN
 
Hapana ni FARAJA KOTTA mtoto wa marehemu Major General Stefano Kotta mtu wa Bombuera kabla ya kufika Muheza mjini

hapo.jpg


Hoyce TEMU huyu hapa na sijui kama kaolewa na Waziri

IMG_1544.JPG

Hoyce Temu, alikuwa hawara wa Nyalandu
 
Kuna thread zinasema nssf na costech kuna udin lakin hamkuleta utetez huu majority mliunga mkono,ila limetajwa kabila la chaga povu kibao muwe mnaleta same arguments kama mtu analeta uidin!
 
yalabi tobaaaaah! Yaani huyu naye anajiita mbunge, hivi pale bungeni hata wendawazi na vichaa wapo! kama wapo kwa nini kusiwepo wawakilishi wa vichaa wa hospitali ya milembe pale si ipo karibu
 
Ndo shida ya vitu maalamu! hawajui wanachfanya Walah! Mchaga kafikaji huko Yakhe? Hivi Serikali yetu ina mawaziri wangapi wa kichaga waacheni wachaga tena nazani ktk tanzania ndio kabila linalosambaza maendeleo sana katika sehemu nyingi za nchi mfano kufanya biasha nk[/QU you have the point there!Chagga is the superb one!No chagga no TZ.
 
Wote waliochangia wana akili za kichaga hata kama si mchaga,mjini siku hizi ukiwa mjanja kidogo wanakuita kuwa na akili za kichaga,inaonekana mchaga ni tishio takes opportunity arises at a right time.

Wanaoponda na wenyewe wana wivu wa kichaga hao wanaosema mahousegirl na mabaa med wao ni wachaga nawatahadharisha kuwa mchaga anafanya kazi kwa malengo hata akiuza karanga mtafute baada ya miaka kadhaa utamkuta na baa yake mijumba kadhaa na hao mahousegirl hata wewe wanaweza kukuchukua tu kwani nini bana,yote maisha na akikushika hiyo ndiyo kwisha lazima ukajenge kule kijijini Moshi na watoto wote hawatakwenda Lindi au ntwara ni Moshi tu
 
Ndiyo mwakilishi huyo aliyetumwa na CCM kuwakilisha wananchi wake.
Fanyeni kazi acha uvivu wewe Mbunge na wananchi wako, wachaga wakija kuwafungua mnalia wakiondoka mnalia kwani kuna mtu aliwnyima nyie Wamakonde kwenda huko uchagani mkaishi? Au ndiyo tunaanza kupangiana sehemu ya kuishi?
 
Tatizo wachaga ni wezi,wabaguzi na hawana uaminifu .Tunapanga nao dili kanisani kwamba tusiwape kazi waislamu maofisini...wao wanawanyima kazi hadi wakristo wakristo wenzetu....wanawapa kazi watu toka kilimanjaro peke yao..Mchaga,Mhaya na Mnyakyusa hatatawala hii nchi mpaka Yesu arudi......we angalia maraisi wote ukitoa nyerere ni watu wa pwani... Mchaga,Mhaya na Mnyakyusa wanogopwa hadi VATICAN
Wacha ubaguzi wewe unaumwa ugonjwa wa ubaguzi wa kikabila, Tanzania hatuna ukabila, kila mtu ana hakia ya kugombea na kupata cheo chochote hata kama ni Uraisi toka sehemu yoyote ya nchi hii!! Wacha kupandikiza mbegu ya chuki mara hooo wachaga, wanyakyusa, mara hoo wahaya uvivu wa kufiri!!!

 
Wacha ubaguzi wewe unaumwa ugonjwa wa ubaguzi wa kikabila, Tanzania hatuna ukabila, kila mtu ana hakia ya kugombea na kupata cheo chochote hata kama ni Uraisi toka sehemu yoyote ya nchi hii!! Wacha kupandikiza mbegu ya chuki mara hooo wachaga, wanyakyusa, mara hoo wahaya uvivu wa kufiri!!!


Safii sana imekuingia hadi moyoni...tutadili na nyinyi hadi muache ubaguzi......mbaguzi mkubwa wewe nna ushahidi na nnachozungumza usidhani nimekurupuka....
 
Mbunge wa vitu maalum kutoka,
Chama DHAIFU mwenyekiti DHAIFU wanachama DHAIFU
Hoja zao DHAIFU
mawazo DHAIFU
 
Back
Top Bottom