Ukabila waibuka Bungeni, wachaga wadaiwa kuididimiza Lindi na Mtwara

Hawa wabunge wa viti maalumu ndio haswa mara nyingi wanaleta udaku bungeni badala ya kuleta hoja kwa manufaa ya nchi maskini namna hii.
wabunge wanaoleta udaku bungeni hawana nafasi 2015 for sure
 
This issue must be viewed tukiangalia bigger picture. Huyu dada (jamani Mi spendi neno Mheshimiwa) anaeleza mambo mawili; moja ukabila na pili mfumo mbovu wa utawala.

La kwanza, tribalism, ni kuwa amejikita kuzungumzia wachagga "yani kabila wachagga" walioko kwenye ngazi mbalimbali za kiutawala eti ndio source ya matatizo yao Lindi na Mtwara ya Umaskini. Hiki kitu ukabila, ni virus ambayo watanzania hawajaizoea sana na viongozi kama President Bw JK (Jamani sipendi Honourable), Spika Makinde wanaacha kukemea hata kwa kuwakataza au kuwarekebisha pale wanapochangia na kuelemea kwenye kabila.

Sehemu nyingi nowadays watu wanaongea Ukabila, kazini utasikia mtu anauliza, "kwani katokea mkoa gani?". Then watu wanageneralise issue zinazohusiana na kabila linalohusika. Kwa hapa CCM tunachemsha tena sana! Utaifa uliojengwa na Mwl J K Nyerere na kuwa pride ya Tanzania unayeyuka kama theluji ya Mount Kili! Watu wataji-align kwenye makabila yao na hapo kura zetu hazitatosha, kwa sababu mostly Chadema wako Kaskazi, Kanda Ziwa, Nyanda Juu Kusini; hivi hao wakiamua kupigia Chadema 90%, tutasalimika?

Tatizo la kimfumo na rushwa kwenye leadership machinery ndio sababu kuu ya Kusini kuwa nyuma kimaendeleo. Soko la zao la Korosho, kuexport unprocessed Korosho, mikataba mibovu ya gas, failure ya kilimo to deliver to its full potential, ndio matatizo machache yanayosababisha kusini kuwa nyuma.

Kuna watu walifikiri miundombinu pekee ndio solution, i mean mfano kutengeneza daraja la Mkapa, barabara Dar - Mtwara ndio solution ya matatizo, jibu ni HAPANA. Unaweza ukawa na barabara nzuri kiasi, lakini kama uzalishaji unafikia max potential na masoko yapo, you simply make money.

Dada Mbunge, fikiria matatizo ya msingi yanayokwamisha maendeleo ya Lindi na Mtwara kuweza kufunguka kiuchumi na uyashauri kwenye bunge. Nadhani kwenye periphery kuna tatizo la elimu mikoa yetu ya kusini linahitaji sana investment ya muda mrefu kuliaddress.

Nawasilisha
 
ahahahahaaa, daah! ccm mmefika hapo! Yaani hadi mnajichoma kisu kichwani! kweli mmezidiwa kete na M4C, Limeshavunda halihitaji ubani!
 
Umesahau jambo mkuu na serikali ya CCM kuendelea kuwawekea viongozi wezi na mafisadi wa uchumi wa taifa (Regional Dev Directors, DCs and whatever ) bila kujali kupanga mikakati ya maendeleleo ya kusini ndio chanzo halisi cha umasikini wa kusini!!!! System ya CCM imedidimiza kusini period, Watanzania tulitambue hilo!!!!

Nchi yenyewe haikuwa na mipango ya maendeleo halafu unategemea wawe na mipango ya maendeleo ya kusini?????? Tatizo ni CCM ila kwa vile wameshaona wananchi wanawageuka wameanza kuwa na uchungu wa ajabu .......... hasa vijana wa CCM ambao JK alishawazuga kuwa awamu ijayo waachiwe wao!!! Sasa wana hasira kila mti wanaoushika unateleza.............!!!!!!!!!
 
Wachaga wanaolewa sana na makabila mengine kuliko makabila mengine
Tuangalie viongozi waliopata wanawake toka kishimundu pekee:

Mh Benjamin Nkapa
Mh Sumaye
Mh Shein

..........
..........
..........
..........
.........
Kila kiongozi anayeingia madarakani ana mke wa kichaga.Sijui mke wa Edward Lowassa mama Regia sijui ni mchaga naye.Lol tunawaonea wivu tuu hawa wachaga.

Bila kumsahamu Dr. Salmini Amuru na mkewe wa kimachame Salma anayesemekana kumtoroka na kuolewa Uarabuni baada ya kuachia ngazi ya urais
 
Maendeleo dada ni kujituma na sio kucheza ngoma. hawa wachaga hata kama wallikuwa wanalala nyumba moja na ngombe wazazi wao walijali kazi na elimu kwa watoto wao kwanza. watoto walipohitimu wakapata kazi zenye kipato kizuri. kipato ambacho walitumia kubadilisha kwao. wasiosoma wakaamua kutoka kutafuta maisha/fursa na popote tanzania. hata kule Rukwa, ndola, swaziland, msumbiji ukienda wachaga wapo wanasaka noti iweje wawe wao ndio wamedumaza Lindi na Mtwara? Kuna almasi na dhahabu huko walizokuja kuchimba na kuondoka nazo? Mungu atazidi kuwazidishia hao wachaga mnaowazulia mabaya kwa wivu wenu kila kukicha. Wachaga msilale msirudi nyuma songa mbele.
 
Kwa Faida yako na Wengine wengi ambao hawaujui mkoa wa kilimanjaro na watu wake.

Mkoa wa Kilimanjaro una makabila makubwa mawili ambayo yamegawanyika kwenye makabila madogo madogo mengi tu. Kuna Wachagga ambayo chini yake kuna makabila madogo madogo kama matano hivi, then kuna wapare nao wamegawanyika kama mara mbili hivi

Kwa hiyo neno Mchagga ni domain kubwa vile mtu asivyoweza fikiria. Mchagga Mbowe na Mchagga Mrema ni kabila mbili tofauti sana, Mchaga Lema na Mchagga Ndesamburo ni mchaga mbili tofauti kabisa. Hii inamaanisha hata Lugha hawaelewani kivile. Leo hii tukiwatoa ndani ya hiyo Domain Chagga utatengeneza makabila matatu tofauti kabisa.

zaidi soma Wachagga - Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkuu una uhakika kuwa siujui mkoa wa Kilimanjaro?
Kwa taarifa yako mimi ni mzaliwa wa Rombo ila nimeandika kama changamoto maana wachagga tunatajwa sana.
 
Ni mbunge wa viti maalum CCM kutoka Mkoani Lindi.

Ametaja mtandao ambao umeonekana una majina ambayo yanaishia na rafudhi za kichaga kuwa ndio wameurudisha mikoa ya Lindi na Mtwara na wanahusisha mtanadao huo wa watendaji wa serikali walio na mafungamano na CHADEMA. Kawataja watendaji wezi ambao waneiba na kihamishwa ndani ya serikali. Kawataja wakuu wa wilaya na watendaji serikalini amewahusisha na ukabila na wote wakiiba wanahamishwa.

Sasa mimi najiuliza wakuu wa mikoa na wilaya wanachaguliwa na kuteuliwa na nani? Chadema wanahusikaje kwenye uteuzi wa wezi? Chadema kwani ndio wanawahamisha hao watendaji? Chama gani kinaingoza nchi Chadema au CCM?
Hapa ni dhahiri nitaitafuta ban maana yule mama alinichefua lakini alikuwa ana kizuri cha kuongea jinsi selikari yake ya ccm inavyofuga wezi sasa wezi waliopandwa na kuhamishwa na ccm wanapoaribu wanamausiano gani na chadema?
 
Maendeleo dada ni kujituma na sio kucheza ngoma. hawa wachaga hata kama wallikuwa wanalala nyumba moja na ngombe wazazi wao walijali kazi na elimu kwa watoto wao kwanza. watoto walipohitimu wakapata kazi zenye kipato kizuri. kipato ambacho walitumia kubadilisha kwao. wasiosoma wakaamua kutoka kutafuta maisha/fursa na popote tanzania. hata kule Rukwa, ndola, swaziland, msumbiji ukienda wachaga wapo wanasaka noti iweje wawe wao ndio wamedumaza Lindi na Mtwara? Kuna almasi na dhahabu huko walizokuja kuchimba na kuondoka nazo? Mungu atazidi kuwazidishia hao wachaga mnaowazulia mabaya kwa wivu wenu kila kukicha. Wachaga msilale msirudi nyuma songa mbele.
Si kihivyo mkuu ila CCM wanakuja na sera za mfa maji wanataka kutuchonganisha eti hooo wachaga mara hoo wezi, kwani wezi wa EPA, RICHMOND, MEREMETA, RADAR ni wachaga!!! CCM HAWANA PA KUSHIKA maana na kusini inakwenda watu wameishajua ukweli, sasa ni kwaheri CCM wanaweweseka na wabunge wao!!!
 
This issue must be viewed tukiangalia bigger picture. Huyu dada (jamani Mi spendi neno Mheshimiwa) anaeleza mambo mawili; moja ukabila na pili mfumo mbovu wa utawala.

La kwanza, tribalism, ni kuwa amejikita kuzungumzia wachagga "yani kabila wachagga" walioko kwenye ngazi mbalimbali za kiutawala eti ndio source ya matatizo yao Lindi na Mtwara ya Umaskini. Hiki kitu ukabila, ni virus ambayo watanzania hawajaizoea sana na viongozi kama President Bw JK (Jamani sipendi Honourable), Spika Makinde wanaacha kukemea hata kwa kuwakataza au kuwarekebisha pale wanapochangia na kuelemea kwenye kabila.

Sehemu nyingi nowadays watu wanaongea Ukabila, kazini utasikia mtu anauliza, "kwani katokea mkoa gani?". Then watu wanageneralise issue zinazohusiana na kabila linalohusika. Kwa hapa CCM tunachemsha tena sana! Utaifa uliojengwa na Mwl J K Nyerere na kuwa pride ya Tanzania unayeyuka kama theluji ya Mount Kili! Watu wataji-align kwenye makabila yao na hapo kura zetu hazitatosha, kwa sababu mostly Chadema wako Kaskazi, Kanda Ziwa, Nyanda Juu Kusini; hivi hao wakiamua kupigia Chadema 90%, tutasalimika?

Tatizo la kimfumo na rushwa kwenye leadership machinery ndio sababu kuu ya Kusini kuwa nyuma kimaendeleo. Soko la zao la Korosho, kuexport unprocessed Korosho, mikataba mibovu ya gas, failure ya kilimo to deliver to its full potential, ndio matatizo machache yanayosababisha kusini kuwa nyuma.

Kuna watu walifikiri miundombinu pekee ndio solution, i mean mfano kutengeneza daraja la Mkapa, barabara Dar - Mtwara ndio solution ya matatizo, jibu ni HAPANA. Unaweza ukawa na barabara nzuri kiasi, lakini kama uzalishaji unafikia max potential na masoko yapo, you simply make money.

Dada Mbunge, fikiria matatizo ya msingi yanayokwamisha maendeleo ya Lindi na Mtwara kuweza kufunguka kiuchumi na uyashauri kwenye bunge. Nadhani kwenye periphery kuna tatizo la elimu mikoa yetu ya kusini linahitaji sana investment ya muda mrefu kuliaddress.

Nawasilisha
Mkuu wangu wala usishangae kitu Udini upo na Ukabila umerudi tena kwa sana wala sii mchezo. Waswahili wanasema "Lisemwalo lipo na kama halipo laja" haya maswala viongozi wetu wanayafanyia mzaha sana na sasa hivi tunavuna ktulichopanda. Huyu Mdada kazungumza kile anachoamini japokuwa ujinga lakini lipo kweli na watu wanatazama dini na makabila ya watu. Siku hizi watu wanauliza waziwazi wee mwenyeji wa wapi? wakiwa na maana kabila gani?..Hivi fulani Muislaam au?.. akiwa namaana ile ile kujua asili yako. haya hatukuyaona wakati wa Nyerere tena tulikuwa wakali sana Wakenya wakituuliza kabila..majibu yetu mimi Mtanzania!
 
Saa nyingine huwa najiuliza bila kupata jibu. Hivi wachagga tumewakosea nini? Msitufanye tujute kuzaliwa wachagga. msije mkatufanya nasi tutake kujitenga kama wazenji.

Acheni kulalama mazee. Babu yangu aliwahi kunihasa hivi, namnukuu: Chapa kazi, Usichague kazi, Heshimu kazi ili mradi kazi unayofanya ni halali na inakupa faida badala ya hasara.

Mtaji wa masikini ni nguvu yake mwenyewe. Give us a break! Damn!
 
Mitandao hiyo ... 2015. Watu wa Pwani tutakuwa tunawaangalia tu na watani wngu kina kinehe sijui vipi nao!
Huwa vinaanzaga hivihivi, I wish mbunge mmoja awtukane hawa wapenda ukabila.
 
KAMAMA KANA ONEKANA KAME JAAZA UKABILA SANA AKILINI MWAKE! WACHAGA, WACHAGA! Ngoja tuchukue nji, tutarejesha mali zote zilizo fichwa uswisi na tuta angalia makabila yapi samahani chama gani kime husika, huu wizi ni mtandao wa chama tawala - ccm na sii mtandao wa kabila fulani!
 
Sishangai maoni ya wapuuzi wenye mlengo Chadema. Wachaga ndoo wamejidai kusoma nchi hii, nchi imechakaa kwa wizi wao. Wamejenga mpaka migombani na umeme kila kona. Msituzingue watu wa kusini
 
"Tumefika hapa tulipo kutokana na udhaifu wa rais Kikwete, uzembe wa wabunge na bunge NA tumefika hapa tulipo kutokana na upuuzi wa CCM". Hon. John Mnyika, MP.
 
Jamani tuache visingizio. Mimi nimefanya kazi maeneo mengi nchi hii na naijua kila kona. Ukweli ni kwamba wachagga wana matatizo yao kama yalivyo makabila mengine lakini kitu kimoja nimejifunza kutoka kwao ni utamaduni wa kujituma. Ukiuliza historia ya wachagga wengi walio na maendeleo hapa Dar, kuna element ya kujituma, kupenda elimu na fedha kwao ni msing wa maendeleo. Rafiki yangu mchagga anasema wao kwao wako kumi lakini waliweza kwenda shule kwa ngombe wawili wa maziwa na nguruwe waliofugwa na wazazi wao. Sasa hivi wengine ni engneers, Doctors na waalimu. Cha msingi hapa ni watu kubadili mtizamo wa mambo na kujituma. Hivi ni watanzania wangapi wanafanya kazi, hata iwe ni ya kilimo cha jembe la mkono? CCM ina haja ya kuwaelimisha watu kuwa maisha bora yanapatikana kwa kufanya kazi na hayaletwi na serikali kama kauli mbiu ya CCM inavyosema. Ukabila ni zao la udhaifu wa rais na CCM iliyokosa mwelekeo. Taifa hili lina muda mfupi kusambaratika!!! Sasa hivi tuko kwenye vuguvugu la kuvunjika muungano na muda mfupi ujao tutaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, mafuta na gesi yakichangia. Tujue kuwa nchi za magharibi zinaangalia Tanzania kwa jicho la husda na CCM kwa ufinyu wa viongozi wao, ikiwa ni pamoja na Membe. Ukiacha kufanya kazi na kuanza kulaumu mwenzako kwa kushindwa kwako, eti kwanini mwenzako anakula vizuri, basi wewe ni punguani. Wakoloni walikuwa fair kwenye kutoa quarter ya vijana kuingia shule kwa kila wilaya. Mazingira ya wakati ule yalikuwa sawa kwa nchi nzima.

Ni kweli wachaga wezi kweli nimesikia na nimeamini kwani yule MP katoa na ushahidi wa fedha mamilioni na kataja majina mengi.....msg sent...
 
Hapa hukuna cha mchaga wala nini maendeleo ni kujituma, sasa angalia hawa vijana wanaofanya kazi ya kimachinga ingawa itawachukua muda mrefu kidogo bali mimi naamini kuwa hiyo ni nuclious ya maendeleo ya watu hao!! Hata kama wanatokea wapi lakini wamelenga future nzuri kwenye biashara!!! Huo ni mkakati wa kiuchumi kitu kama hicho kinahitaji kusurpotiwa hasa na wabunge wanaolalama kupata matunda mazuri ya eneo husika!!!MABADILIKO YATALETWA na M4C kuanzia kuwaondoa wezi kuweka maadili mema ya watu, kurudisha kilicho ibwa na wezi wa TZ!!!!
 
Back
Top Bottom