MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Maalim Seif Shariff Hamad na Ibrahim Lipumba maadamu wanakubaliwa kugombea Urais wa Zanzibar na Tanzania na wanachama wao wa CUF kwa mujibu wa katiba ya chama chao,
wana haki ya msingi ya kugombea nafasi hiyo kwa miaka 26 na zaidi. Haki hii hata Julius Nyerere alikuwa nayo katika TANU na CCM pia.
Kukatazwa kugombea hawakatazwi lakini je are they electable? CUF ndiyo kinapungua umaarufu hivyo. Nguvu yake imebaki Pemba. Uamuzi ni wao kama wanataka maendeleo ya chama na nchi au maendeleo yao binafsi. Lakini ukweli usiofichika ni kwamba popularity ya CUF is on the decline.