Maalim Seif alivyoitisha maandamano Zanzibar watu wakauawa, kwenye muafaka alijikumbuka yeye, waliouawa na kujeruhiwa waliachwa bila fidia

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,662
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.

Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.

Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.

Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu
 
Hao waliuawa wakati wa Mkapa .... Kama Samia naye anampango wa kuua si awambie wananchi ili waamue badala ya kuwatisha watu wasifanye maandamano yao ya AMANI .....!!
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.

Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.

Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.

Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu
Acha yauwawe tuu si ni majinga yanaenda kutumika.

Yaani Mimi nikamuandamanie Mbowe na wapuuzi wengine,sijafikia kiwango hicho Cha upumbavu
 
Akili za mjinga zinawaza kudhuru watu ili abaki madarakani. Kwani CHADEMA wamesema wanaamzisha maandamano ya kupindua serikali? Japo serikali iliyoko madarakani si halali Kwa maana halisi ya neno halali kutokana na uharamu wa Uchaguzi 2020, bado Hakuna Mtu aliyesema anakwenda kupindua serikali.
 
Acha yauwawe tuu si ni majinga yanaenda kutumika.

Yaani Mimi nikamuandamanie Mbowe na wapuuzi wengine,sijafikia kiwango hicho Cha upumbavu

..wanaouwa Watanzania wenzao ili tuendelee kutawaliwa na vigogo wa Ccm na familia zao wana akili kweli?
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.

Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.

Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.

Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu
Haya ni ya wanaume wewe mamsapu yakaushie tu
 
..wanaouwa Watanzania wenzao ili tuendelee kutawaliwa na vigogo wa Ccm na familia zao wana akili kweli?
Bora hivyo kuliko kuwa mpumbavu wa kumpambania Mbowe kwani nae amishinda ataishia kuwa mtawala Wala hutogawiwa pesa
 
Wabongo tunajisahau sana nina jirani askari nyumba kama tatu kutoka ninapoishi kila nikipita kwake naiona nyumba iliojaa shida fikiri askari hana hata kamba nzuri ya kuanikia gwanda ila atakapoambiwa piga wananchi atafanya kweli wakati akirudi mtaani sukari mafuta gesi vyote vimepanda bei sasa nawaza anafaidi nini wakati mtaani tunasota wote na muda mwingine maisha yetu angalau yana kaunafuu kuliko wao wanaotumikia wajinga wakabaki wapumbavu
 
Wanokubali maandamano wote ni vichwa maji hakuna positive impact ya maandamano sehemu yyte ile
 
Back
Top Bottom