Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere

Status
Not open for further replies.
Mtihani upi naimaomari?its just a matter of wether there is any truth in all this.Maana the source of this piece of info seemed to be so sure nikasema JF lazima kunapatikana majibu hivyo nikaleta hapa ili kupata majibu ya ndio au hapana.

(Kitanda hakizaii haramu),huu ni msemo wa wahenga kama Nyerere alimsaidia mzee Mbowe Freeman ukoo wake ni wa kina Mbowe ni mchaga na si mzanaki.Kitu pekee kinachoweza kutengua hili ni DNA sasa washauri wahusika wamfanyie DNA.
 
Hii thread sijui kwa nini imerudi? maana ni ujinga mtupu kujadili eti kuna tetesi fulani ni mtoto wa fulani. Ni kuwavunjia heshima wazazi na mtoto mwenyewe.

Mtoa Mada Kevo, ukisikia Chakaza eti ni Baba yako maana umefanana na mwanangu Ufudu utaleta mada hiyo kutuuliza kuwa "Je, wana JF mimi ni mtoto wa Chakaza?"

Acheni kujishusha kifikra kiasi hicho.

Nilichokifanya mwaka jana kuanzisha thread hii,ilikuwa ni shauku ya lile nililolisikia kama lina ukweli wowote na yamkini halikuwa kosa.
kama wewe uliona nilikuwa najishusha kifikra then usingepita hata humu kuona kilichokuwa kinajadiliwa.
Yamkini hamna mwenye jibu zaidi ya wazazi wao,then litabaki kuwa gumzo kwa wanaotaka kulijadili ila kwangu nilishafunga huo ukurasa siku nyingi!
 
Kevo,

..Freeman Mbowe ni Mchaga wa Machame, wakati Mangi Marealle anatokea Marangu.

..hii habari ingekuwa na uzito kama ingetolewa na Mangi wa jamii ya Wamachame.
umenena kaka marealle Marangu Mbowe machame wapi na wapi jamani kitu ninachacho kijua ni kweli Nyerere alishawahi kulala kwa mzee Mbowe hilo tu hayo mengine sijui ila mleta mada aeche kuwapa watu ujiko
 
Tatizo la wabongo ,na ukoministi kwa ujumla huwezi kumkosoa kiongozi !Nyerere alifanya mazuri mengi at the same time alituweka what we are now,hakuna kuprotest ,kumkosoa mtu etc.Gazeti haliwezi kumhoji kiongozi hata kama mnafahamu ana wanawake 5 nje!Imeingia hata makanisani,majua kuwa Padri anatembea na mke wa mtu ,lakini hakuna wa kusema ,hata mume anakubari tu.Askofy mmoja wa Kilutheri Dodoma alikuwa anatembea na secretary wake,akafanya hata mume wa secretary wake aache ndoa yake.Hakuna hata gazeti moja liliandika,which is the shame.Kawawa/Nyerere mnasema hawakuwa na mabibi wa nje ?

Tujadili
Tena tena wanasema mkuu kale ka kansa ya damu alikipatia dom sijui kuna ukweli wowote hapa?
 
ACHENI KUZUNGUKA ZUNGUKA, KUNA UHUSIANO MKUBWA WA CHADEMA, MTEI , NYERERE NA MBOWE!!

HIZI NDIO TETESI ZIKO KILA KONA NA WAKUBWA WANAZISEMA BILA WASIWASI

MTEI NA NYERERE ZILIKUWA HAZIIVI, BAADA YA MBOWE KUINGIA CHADEMA 1991, NYERERE AKAGEUKA NA KUSEMA CHADEMA NDIYO CHAMA CHENYE DIRA

UGOMVI WA MTEI NA NYERERE UKAISHA KUPITIA MBOWE.


Juzi ZITO KABWE KAJIFANYA KUTAKA KUGOMBEA UENYEKITI BILA KUJUA CHAMA KILE KIMEWEKWA.

ZITTO ALIKUWA ANASUBIRIWA KWA HAMU KUWA ANGELETA UPINZANI AMBAO HAUJAWAHI KUTOKEA KATIKA KIPINDI KIREFU

1. ZITO ANGEVUTA VIJANA
2. USHABIKI WA KISIASA KWA SABABU NI KIJANA MDOGO
3. MATAIFA YA NJE YALIKUWA YANATEGA MASIKIAO NA KWA MAONI 2020 CHADEMA INGESHIKA NCHI KAMA NA KAMA TU ZITO ANGEKUWA CHAIR

1995 MREMA NUSURA AIANGUSHE CCM, UPEPO UNGEKUWA MKALI SANA KWA SASA

ZITO ANGEANZA NA WABUNGE KWA MIAKA HII KUMI, BAADA YA KUWA NA NGUVU BUNGEANI NDIYO ANGESHIKA URAIS

UWT WALILIONA HILO NA WAKAANZISHA CONFUSIONS, ACHILIA MBALI TEXT MESSAGE

''MSIMRUHUSU HUYO KIJANA''

WAKATI MATAIFA MENGI YANATAFAKARI KILICHOTOKEA RANK YA ZITO NDANI YA CCM NA NJE YA NCHI IMEKUWA KUBWA MNO, BAADA YA KUKUBALI WALIYOMWELEZA.

SI PUNDE NDUGU HUYU ANAWEZAKUONDOLEWA KABISA NJI HII NA KWENDA KUTUMIKIA UMOJA WAMATAIFA!

WENGI HUMU NDANI NI WEPESI SANA KUJUDGE VITU BILA KUANGALIA KWA MAPANA

WORLDBANK , IMF na OTHER LOAN PROVIDERS WAMEKUWA WALIWAALERT WAWEKEZAJI WENGI WAMADINI TZ, AMBAO CURRENT WANAFANYA EXPLORATION, KUWA WAHAKIKISHE KATIKA KULETA FAIDA NDANI YA MIAKA 10, IKITARAJIWA REPORT ZA KIMATAIFA KUWA KUNA UWEZEKANO CCM KUTOKA MADARAKANI 2020.

BAADA YA ZITTO KUKOSA ILE NAFASI, MWAKANI TUTASHUHUDIA MIGODI MINGI KUFUNGULIWA, WAWEKEZAJI HAWANA HOFU TENA YA CCM KUONDOKA 2020,

KITAALAM, KAMA ANATOKEA STRONG LEADER OPPOSITION MARA NYINGI ANACHUKUA MIAKA 10-20, TANZANIA KUTOKANA NA WATU KUAMKA , MKUMBO, FATA UPEPO, ZITTO 2020(huyu zito, huyu huyu mnayemdharau) ANGESHINDA KWA KISHINDO BAADA YA KUWA NA WABUNGE WENGI.

JAZENI POST ANDIKENI, WEEE CCM BADO IKO MADARAKANI MIAKA MINGI SANA, THAT IS REALITY…..

CHADEMA WANAJUA WANACHOFANYA, MTEI ANAELEWA FIKA KAULI ZAKE , NA NANI ANAONGEA NAO, NASEMA ANAJUA YEYE,

IDEA YA NYERERE SIO CHADEMA KIWE CCM B, ILA KIWE TOTALLY CHAMA MBADALA CHA CCM, ILA WAJANJA WAKATUMIA MWANYA UO HUO, KUMWAMBIA MTEI ''SISI NI NDUGU'' KUMBUKA ULIVYOFADHILIWA NA NYERERE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

IKIWA KUNAUSHABIKI WA KIVYAMA NA KISIASA NDANI YA FORUM KAMA HIZI, BASI HAKUNA KITAKACHOJADILIWA KWA LENGO LA KULISAIDIA TAIFA

THREAD HII INAFICHA VITU VINGI SANA, AMBAPO KAMA WATU WANGEKUWA WAKWELI BASI TUNGEJUA VITU VINGI MNO!
 
Wazee mwasemaje kuhusu hizo picture.... au mimi tu?
 

Attachments

  • mbowe.jpeg
    mbowe.jpeg
    7.1 KB · Views: 87
  • nyrere.jpeg
    nyrere.jpeg
    4.4 KB · Views: 71
  • nerere.jpeg
    nerere.jpeg
    4.9 KB · Views: 65
  • free.jpeg
    free.jpeg
    5.7 KB · Views: 72
Nimeziangalia mkuu but sijaelewa ulikusudia nini, kama waweza saidia kidogo itakua nzuri zaidi, maoni yangu tu
 
nilikuwa nauliza tu kama kuna khabari siijui.... ila lots of great thinkers looks alike
 
Wana JF mawazo ya Kevo ni sahihi kabisa mwacheni amwage aliyoyasikia, mimi nina ushahidi kabisa kuwa Ndoa ya marehemu Oscar Kambona ilisimamiwa (mbadala) na J.K. Nyerere huko London wakati Kambona akiwa huku Tanganyika na alimuoa Bint wa wa ukoo wa Marealle JKN alikabidhiwa kifaa hicho na alimletea mwenyewe Kambona hata kina Bob Makani wameoa kwa Marealle.

Kwa hiyo kusema Kevo kakosea kusema JKN alilala kwa Mrealle ni makosa kucopy na kupaste imeandikwa Mzee Mbowe
thread ya mambo jambo
quote_icon.png
Originally Posted by Kevo
Alizidi kutueleza ya kwamba Mzee Mbowe kama member wa CCM alikuwa kikazi mikoa ya Kusini na kipindi hicho Nyerere alikuwa Kilimanjaro kikazi hivyo kama rafiki wa karibu wa familia hii alikaa nyumbani kwa Mzee wa Marealle hivyo uhusiano uliokuwa kati yake na mke wa rafiki yake kupelekea kuzaliwa kwa Freemanna kwamba hata katika mazishi ya Nyerere huyu jamaa alipata nafasi ya pekee kabisa kuweka wreath kwenye kaburi la mzee wake na kwamba ni mara nyingi sana yeye huwa anaenda Butiama.
Na si kweli kuwa Mke wa Mbowe baba yake alikuwa Dreva km mke wa Freeman Babamkwe wake alikuwa Gavana na Waziri wa fedha sio dreva thread No 77 ya Bakari Muhogo - Enyi vijana naona mmeanza kuvuka mipaka. Kwa lugha sahihi ya Kiswahili huyo mnaemsema mmna maana ni "mtoto wa haramu".
Mbowe mimi ni kwe wangu mkewe ni mtoto wa ndugu yangu. Dereva wa hayati Mzee Nyerere mimi ni shemegi yangu kwa bahati mbaya naye pia ni marehemu sasa ama sivyo ninelimdadisi.
 
Mzee ICHIKAEL MBOWE alikuwa rafiki na mfadhili wa mwalimu kama alivyokuwa mzee Rupia...kuna uhusiano wa kirafiki kati ya familia hizi... MWALIMU NYERERE NI GOD FATHER [BABA WA UBATIZO KIKRISTO] ...kikristo God Father or mother ni nafasi kubwa sana kwenye maisha ...hawa ni next to your biological parents kikristo ...uhusiano wa Ichikael na mwalimu ulipelekea mwalimu kumzawadia lile jengo ambalo leo ni bilicanas ...that's why lile jengo lipo compound moja na zile ofisi za serikali ..but ni lao...

Nyerere hakupata kuwaamini wachagga kwani walimpa upinzani kuingiza TANU kwa kuwa huyo Marealle tayari alikuwa na mipango tofauti ya kuunda nchi inaitwa KILIMANJARO [Tanga, Kilimanjaro, Arusha] ...mwalimu alitumia mbinu ya utengano kuingiza TANU Kilimanjaro akiwatumia MZEE NSILLO SWAI na MZEE ICHIKAELI MBOWE. Alitumia weakness ya kihistoria ya UFALME WA MOSHI kwa kuwa wakati wa kuchagua mangi mpinzani mkuu wakati wa uchaguzi huo alitokea MACHAME ..alimwitwa CHIFU shangali...SO NDIO kusema wachagga wa Machame ndio waliokuwa rahisi ku rebel against CHIEFDOM ya Marealle ..alifanikiwa..na tangu hapo urafiki wa Nyerere na kina Nsillo Swai, Shangalis na Mbowe [ambao pia ni cousins wa Shangalis uliimarika]

Wakati wote wa utawala wa Nyerere ...alikuwa hapendi kulala ikulu ya Moshi ambayo kabla ilikuwa nyumba ya ufalme wa Kilimanjaro kabla hajaitaifisha ...alikuwa anapenda kurudi kulala ikulu ya Arusha au NYUMBANI KWA MZEE ICHIKAEL MACHAME au nyumba za kanisa ....kwa kuangalia ukaribu wa hawa watu haya maneno yanakuzwa zaidi na hisia kutokana na urafiki wa familia hizi....

Lakini I should say one thing, kwa utamaduni wa watu wa kaskazini ...wachagga, wamasai ets ...mtoto akishazaliwa kwenye boma lako ni kosa la jinai tena lenye faini kubwa sana, mtu yeyote kuthubutu kuinua mdomo na kusema ni wa boma lingine. Mtoto akizaliwa ndani ya boma ni wako ...na hapakuwa na kufananisha mtoto au kupekuwa nasaba... Hayo mambo yamekuja siku hizi ukiotesha mtoto kwa mke wa mtu umesaidia "kanisa" na kamwe hatakuhusu hata kama akija kuwa milionea na watoto wako wa mkeo wakiwa mazezeta.... utaendelea kugugumia rohoni tu na hutakaa uwe na haki naye

Kwa kifupi KIMILA HAKUNA HOJA ZA KIHISIA ZA MTOTO NI WA FLANI, MJI ALIOZALIWA MTOTO NDIO KWAKE.....

Na kunayo siri kubwa kwa kinamama wa zamani wa maeneo haya... walikuwa na tabia ya kufanya mix breed kwenye familia kwa sababu kuu kama:-

Kukinga watoto wake wote wasipate magonjwa ya kurithi ya familia ya mmewe [ie kifafa, kichaa, laana.. etc] kwa hiyo wabibi wa zamani walihakikisha kama akizaa watoto 10 lazima wanne achomeke ...ili hata kama bahati mbaya kama kuna tatizo kwenye ukoo huo haiwapati wote na habari hizi ilikuwa ni haramu kuziongelea, SIRI INABAKI KWA MAMA.....

PIA kulikuwa na SIRI ya wakunga, iwapo bahati mbaya mtoto anazaliwa na mapungufu walimnyonga ili kusaidia wazazi wasije pata taabu wakashindwa kulima au kuchunga ngombe..... hayo ni baadhi tu..

Pia zamani ikiwa bahati mbaya kwenye familia mnaye ndugu asiye rijali lazima aoe ...ukiwa kaka au mdogo wake utamsaidia mbegu na itabaki siri yako kwa maisha yako yote ...hii ilifanyika ili kutunza heshima kwa familia, sidhani kama siku hizi kama bahati mbaya nduguyo ana tatizo atakubali umsaidie...

So kwa kifupi hoja yoyote ya kuanza kusema leo mtoto ni wa nani ni haramu mama zetu wanayo siri kubwa.... naamini hata kina mama wa leo.....

Hujui lolote kuhusu wachaga. Mangi hakuchaguliwa,alirithi.
 
Hivi, nikiwawekea hapa picha ya babu yake Freeman ambaye wanafanana sana, mtasemaje?
 
Read between lines ndugu. Mbona uwezo wako wa kufikiri na kuelewa ni finyu kiasi hicho? Nimesema nilipata taarifa hii kutoka kwa ndugu wa Karibu wa Marealle aliyeniambia na siyo Nyerere kuwa na uhusiano na Marealle.

Jamani Watanzania tunasikitisha. Jambo dogo kama hili linakuwa so ambiguous wakati liko so straight forward?

Kevo acha umama. Rejea mada yako inaomba ufafanuzi lakini hutaki maelezo.
Je ulikuwa unajua kuwa Mzee aikaeli alikuwa swahiba na baba yako. Wakati alipokuja kumtembelea mzee wako kipindi hicho mna chumba kimoja baba yako akamruhusu walale wote kisha baba yako akalala fofofo na mama yako akamlazimisha mzee Aikaeli wakutengeneze na baada ya miezi 7 ukazaliwa 'NDEBILE'. Hata hivyo ikabaki siri ya mama yako hadi aliponiambia leo.

Ikiuma sema.
 
Nafikiri wakati umefika tuwe majasiri kusema jambo lenye ukweli
inasemekana Freman ni mtoto wa Nyerere yaani mdogo wake na Makongoro lakini mama tofauti,hivyo ndivyo ilivyo
mkuu do you mean that FREEMAN IS A BROTHER FROM ANOTHER MOTHER TO MAKONGORO?
 
hapa mi naona tutakesha bila majibu, wamama wana siri sana. HIVI unajua kuwa hata wewe sio mtoto wa baba yako?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom