Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere

Status
Not open for further replies.
Maswali
1.Ni kweli ni mtoto wa Baba wa Taifa?
2.Ni kweli mzee wake ni Mwana CCM wa zamani?
3.Ni kweli kuhusu hizi safari za Butiama?

Balali kafa au hajafa....? Hata kama Ni Babayake inatusaidia nini sisi!!! Acheni UKUDA
 
I think KEVO doesn't know what is trying to defend! He even doesn't know what he is writing. The guy might be confused or else is is missing something in his head.
 
Kevo...Kevo!!

aisee unajua mjadala huu mmh coz haya mambo ya wawili maana labda Mbowe aje hapa atoe ufafanuzi wa kina naye ni ikiwa alifichuliwa ukweli huo lakini if not basi tutaendelea kumjua Mbowe as we know him now.

Lakini najiuliza kwanini tunaanza kumfananisha na Nyerere?what so special?je ni kwa kuwa naye anasaka ikulu? je kwakuwa na ye anasisimua akihutubia?lazima tujiulize huyu mwanzilishi wa kisanga hiki analengo gani!yasije yakawa yale ya kundi la JK kuanza kumfananaisha haki na David Cameroon si mnakumbuka!!
 
Kevo,

..Freeman Mbowe ni Mchaga wa Machame, wakati Mangi Marealle anatokea Marangu.

..hii habari ingekuwa na uzito kama ingetolewa na Mangi wa jamii ya Wamachame.

Isitoshe kupanda mbegu kwenye shamba la mtu mwingine hakukufanyi wewe mpandaji ukawa ndo mmiliki wa mazao yale!
Wenye kujua siri ni wahusika hasa mama.. bahati mbaya sana huyu mama naye alishatangullia mbele za haki!
 
Una taarifa Mama Nyerere na Mumewe walishawahi kuachana mpaka kuombwa na askofu kurudiana ama unaongea tuu!

Na ni wangapi wanasikia mambo wanakuja kuuliza humu JF hawaulizwi? Ama ni kwa sababu hii topic inakukera?

Mkuu,
What is the source of your information on this maana its getting dicey now?
 
Kwenye dini na mila zote mtu akichovya kwenye chungu cha mtu hatambuliwi wala hana haki kwahiyo nionavyo mimi mada hii hatakama ni kweli haina umuhimu na pia hio factual error between mareale and machame must not be overlooked
 
Mama yake freeman amekwisha fariki , kama hakuenda na siri yake kaburini, wale wazee wa machame watakua wanajua, rafiki zake mzee aikaeli mbowe, wanamalizikia lakini, labda elitira mengi anajua , ndo kabaki
 
Read between lines ndugu. Mbona uwezo wako wa kufikiri na kuelewa ni finyu kiasi hicho? Nimesema nilipata taarifa hii kutoka kwa ndugu wa Karibu wa Marealle aliyeniambia na siyo Nyerere kuwa na uhusiano na Marealle.

Jamani Watanzania tunasikitisha. Jambo dogo kama hili linakuwa so ambiguous wakati liko so straight forward?

Nadhani mwenye uwezo mdogo wa kufikiri hapa ni wewe uliyejumlisha 2 na 2 ukapata 7! Kama ulisikia kwa Marealle na huyu anaitwa Freeman Mbowe, wapi na wapi? Mbowe ni ukoo tofauti kabisa na Marealle wala hawana ukaribu, I know what am talking about, na sio najisemea tu.
Hata kama jambo umesikia, kuna upeo wa kuchuja mbichi na mbivu, vitu vingine viko wazi kabisa havihitaji hata ujiulize mara mbili, ni busara tu.

Remember; NO evidence, no right to speak!
 
Kevo heshima mbele....

Zile reply posts za mwanzo ziliashiria kukumbusha kile kilichopo hapa ukumbini, kuwa kila mwenye kujaribu kuhusisha jambo lisilopendeza kwa Mwalimu JKN atashambuliwa na wajuzi wa uchambuzi humu ndani kwa namna isiyofanana na the same jambo likielekezwa kwa asiyekuwa yeye.

Pia kuna dokezo katika moja ya posts hapo juu kuwa ule mpango wa kumfanya mtakatifu bado upo, na humu kuna wadau ama waliopo karibu na hao wadau wa huo mpango, kwa hiyo kajaribu kuleta tetesi ambazo zitapelekea kuongeza upinzani uliopo juu ya hilo haliwezi kuvumiliwa hata kidogo.

Ninachopenda kushauri ni kuwa Mwalimu JKN ni binadamu, amepatia na amekosea, na alikuwa ndio nahodha wetu kwa miaka mingi tena ya mwazo ambayo mazuri yake yaliweka dira ya muelekeo nzuri wa nchi yetu pia mabaya yake kwa namnamoja ama nyingine yametuathuri pia. Sasa ikiwa tusithubutu kujua baadhi ya vitu ambavyo tunahisi vina impact fulani kwetu, kwa mfano hili la Mbowe, ni kutudumza kifikra.

Nina hakika, hivi ilivyojulikana kuwa lile jengo la BILICANAS (LINAMUHUSU Freeman MBOWE) alilitoa Nyerere kumpa Mzee Mbowe babake Freeman, mijadala kuhusisha hili na ufisadi ingekuwa mingi sana hapa, lakini kwa vile yamuhusu BABA WA TAIFA marufuku kuzungumzia.

Kujulikana kwa hili kungesaidia mambo mengi sana,na huenda siri ya huu unafiki wa vyama vya siasa TZ ungewekwa wazi.

Nyanja zote serikalini twajua ni something... TANZANIA LTD, hadi jeshi.....zile KANALIZ na LUTENI KANLIZ nyingi ni watoto wa zile DARASA la SABA GENERALS, na kwingine kwingi... bora tusiendeleze huu mjadala maana tusijejua kuwa huu unafiki unaoitwa upinzani pia NI.........LTD,
 
Twapika majungu kuwa ukweli njaa.

Freeman alizaliwa mwaka was Uhuru wa Tanzania na hivyo kupewa jina Freeman. Hii haina uhusiano wowote na mapenzi ya kichinichini.

Nyerere alikuwa mwadilifu na asingependa kumpaka Mbowe matope. Mbowe alikuwa kama mfadili was TAA na TANU hivyo angetumia nguvu zake kifedha kumwangusha Nyerere.

Tuache ujinga wa majungu na kufanya utafiti wako mwenyewe. Kama hupati basi tuache babaisha!
 
Nafikiri wakati umefika tuwe majasiri kusema jambo lenye ukweli
inasemekana Freman ni mtoto wa Nyerere yaani mdogo wake na Makongoro lakini mama tofauti,hivyo ndivyo ilivyo
 
Pia Wanasema Hata Ile Vaa Yake Ya Khaki Ameiga Toka Kwa Mzee Wake Nyerere Eti Mzee Mbowe Alipewa Mifedha Akae Kimya, Kama Ujuavyo Wachaga Hawaowi For Love Wanaowa Kulengesha Masilahi So Mzee Mbowe Alikuwa Poa
 
Familia ya mbowe ilikuwa inaishi Dar es Salaam!!! kama Nyerere alikuwa Moshi basi asingeweza kufanyafa haya anayodai KEVO
 
Enyi vijana naona mmeanza kuvuka mipaka. Kwa lugha sahihi ya Kiswahili huyo mnaemsema mmna maana ni "mtoto wa haramu".
Mbowe mimi ni kwe wangu mkewe ni mtoto wa ndugu yangu. Dereva wa hayati Mzee Nyerere mimi ni shemegi yangu kwa bahati mbaya naye pia ni marehemu sasa ama sivyo ninelimdadisi.
´
Tuwache mambo haya na badala yake tujadili mambo muhimu ya taifa.Mambo kama haya hayatatusaidia hata kidogo.
 
WoS spoke it all!

Ukimsaidia mtu kupanda mbegu shambani kwake sio tikiti ya kudhani utakuwa na haki ya mazao yake... utamaduni wa kiafrika ni lini umeanza kudai mazao ya jirani hata kama ulisaidia kupanda hata kama ulivamia shamba la mtu ukapanda kwa wizi ...kitanda hakizai haramu....

...mtoto mnayeweza kuanza kuulizana ni yule ambaye mama yake NI SINGLE PARENT...huyo anybody can claim the fatherhood ili mradi alipita!!!
 
Wana-JF

Kuna tetesi eti Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Freeman Mbowe ana undugu wa damu na kina Makongoro, Madaraka n.k

Nimejaribu kuwafananisha kwa karibu na familia ya hayati baba wa taifa inaonekana kama kuna ka ukweli fulani.

Kama ni kweli basi kwa mantiki ya "like father like son" ni dhahiri kuwa chama pekee cha upinzani cha siasa nchini chenye nguvu kwa sasa na baadae ni CUF.

Naombeni mnitue dukuduku langu kwa wenye info zaidi kuhusu hii tetesi.

6050d1254242325-uhusiano-wa-freeman-mbowe-na-jk-nyerere-image002.jpg
 

Attachments

  • image002.jpg
    image002.jpg
    11.5 KB · Views: 159
Duh, hii kali.

Sikuhizi si tuna utaalam wa kuhakikisha kwa njia za kupima DNA hapa hapa nyumbani, si achukuwane tu Makongoro waende huko wakapime?
 
Wana-JF

Kuna tetesi eti Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Freeman Mbowe ana undugu wa damu na kina Makongoro, Madaraka n.k

Nimejaribu kuwafananisha kwa karibu na familia ya hayati baba wa taifa inaonekana kama kuna ka ukweli fulani.

Kama ni kweli basi kwa mantiki ya "like father like son" ni dhahiri kuwa chama pekee cha upinzani cha siasa nchini chenye nguvu kwa sasa na baadae ni CUF.

Naombeni mnitue dukuduku langu kwa wenye info zaidi kuhusu hii tetesi.
mbowe yuko CHADEMA wewe unasema like father like son ,then chama mbadala ni CUF kwani mbowe kahamia CUF siku hizi??confusion tupu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom