Anasema wailamu tuko wengi Tanzania, lakini takwimu iliyotolewa na majuzi inaonyesha waislamu ni 32%. Anasema tunahaki ya kuwa wengi serikalini kwasababu tupo wengi
hebu taja waanzilish 14 wa taa then utapata jibu..
sijawahi kwenda kanisani nikasikia padre au mchungaji akizungumzia uislam kwa context kama hiyo, wasilalamike, wanaji lostisha wenyewe kwa kutangaza dini za wenzao badala ya hiyo ya kwao.
Mungi wale wanaovaa pedo na kufuga ndevu nyingi sana na shanga mkononi ndio Ansa-lisuna?nimekutana na waislamu wa Ansa-lisuna, wanawashangaa waislamu wenzao wanapohubiri upotoshaji. Wanasema sensa haihusiani na dini, na katiba pia haihusiani na dini.
Wameleta suruali fupi, gobazi, pilau na juice za miwa bila
kusahau kuchoma makanisa