Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

Pumu inasababishwa na manyoya km ya paka, vile vile pumu unaweza kurithi. Pumu haina permanent treatment, isipokuwa unaweza uka icontrol tu kwa kutumia inhalers na ku avoid mavumbi. Unatakiwa ufanye mazoezi sana ili kujipa uwezo wa kuimprove uvutaji wa hewa!

Source: mi nnayo
 
Sijui umeshindwa kunielewa ama vipi? swali langu umeliona vizuri lakini? je unapona moja kwa moja? ngoja nikuwekee katika tafsiri rahisi, je izo dawa ukitumia manake ni pumu ndo hutopata tena maishani? maana pumu ni kama magonjwa ya pressure, utakaa mwaka mzima usiumwe lakini still unajulikana kuwa ni mgonjwa wa pressure tu. binafsi natumia muco asthalin, anti-biotics na zipo dawa zina rangi 2 black n purple na saivi nina miezi 6 sijaumwa na pumu lakini still natambulikana kama mgonjwa wa pumu. Pumu sio maradhi ya kupona direct ukawa hutopata tena bali utakuwa unaicontroll tu but anytime utaipata, HAKUNA DAWA YA KUKUPONYA USIPATE TENA MILELE, I THINK HATA HAMJUI ATHARI YAKE PUMU
 
hata kama utakula asali kila baada ya masaa 6, kajiweke kwenye vumbi, kisha ndo utaipata pata, kipumu kitaanza kukubana hapo hapo. hizo asali na wenzake zinakupa afueni tu ya kurudi katika hali ya kawaida, lakini sio kwamba eti ndo hutooumwa tena na mapumu!

it is possible to control asthma but not to cure it so far!
 
hata kama utakula asali kila baada ya masaa 6, kajiweke kwenye vumbi, kisha ndo utaipata pata, kipumu kitaanza kukubana hapo hapo. hizo asali na wenzake zinakupa afueni tu ya kurudi katika hali ya kawaida, lakini sio kwamba eti ndo hutooumwa tena na mapumu!

it is possible to control asthma but not to cure it so far!
mkuu chilubi umefuata nini kwenye hii thread ya huyu jamaa anayeuliza Dawa ya Pumu? kama huna Dawa si usome tu kimya kimya kisha uondoke au upite njia tu. Wewe ukiweza toa Dawa yako ya Pumu kuna dawa nyingi tu za kienyeji zinaweza kutibu maradhi ya pumu hiyo niliyotoa ni chache tu wewe kama huna Dawa ya Pumu bora unyamaze sio kuharibu thread ya watu tafadhali sana hebu nyamaza kam huna jibu zuri la kujibu chilubi
 
Miye nina allergy ya vumbi/uvundo na baridi. Huwa najitahidi kujiepusha na mazingira. Also asali inasaidia/relief. Nitaendelea kujifunza toka kwa wadau. Thanx
 
Miye nina allergy ya vumbi/uvundo na baridi. Huwa najitahidi kujiepusha na mazingira. Also asali inasaidia/relief. Nitaendelea kujifunza toka kwa wadau. Thanx
Endelea kutumia asali Safi Mbichi ya nyuki wadogo itakusaidia

mengi tu kama ni wewe ni mwanamme tumia Asali na unga wa Tangawizi kavu kabla ya kufanya tendo la ndoa (Sex) utaona ajabu

sana, tumia asali kijiko kimoja changanya na maji ya Uvuguvugu kila siku Asubuhi unapoaamka itasaidia kuondosha

maradhi mwilini haswa mafuta ndani ya figo,tumia asali kijiko kimoja Asubuhi kabla ya kula kitu na kijiko kimoja cha asali

na kijiko kimoja cha Asali wakati wa kwenda kulala usiku kwa muda wa siku 40 hiyo itakusaidia kuasafisha Uchafu uliopo ndani ya ini na Figo. Asali inatibu Maradhi ambayo Mahospitalini wameshindwa kuyatibu hebu angalia hapa Faida ya asali na mdalasini bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/103709-faida-ya-mdalasini-na-asali.html ... amkawewe
 
Wadau,

Mimi nina ndugu yangu ambaye hawezi kufika hapa mtandaoni (yuko kijijini) so naomba msaada wenu kwa niaba yake.Yeye ana miaka 30 hivi na ameanza kusumbuliwa na pumu kama miaka mitatu iliyopita.Ilimuanza tu ghafla na mpaka sasa tumeshasumbuka naye sana sana mahospitalini na hata kwenye tiba mbadala ambako hajaweza kupona.Hivi karibuni hata zile dawa za kupuliza(Inhalers) zimeanza kufail akipata attack.Mbaya zaidi ni kwamba attacks zimezidi kiasi kwamba saa nyingine anapata mara mbili hadi tatu kwa siku ambapo inabidi atumie sindano ambazo zinamfanya avimbe uso na mwili.

Hospitalini aliambiwa ana allerge na vitu kama vumbi,nyasi ndefu,manukato na sabuni zenye harufu kali.anajaribu sana kukwepa vitu hivyo lakini bado anapatwa na hizo attack.Tiba mbadala wanasema kama pumu hiyo ingekuwa kwa mtoto ukiondoa allerge na pumu inaondoka lakini kwa mtu mzima hakuna guarantee, unaweza kuondoa allerge na pumu ikabakia palepale.Hivyo wadau naomba msaada wenu.
Tafadhali msinirudishe kwa wana tiba mbadala wa tiba ya laki tatu (300,000/=) kwa miezi miwili isiyo na mafanikio yeyote!

Dokezo:
Kuna wakati mtu fulani alitibiwa kwa dawa ya kunywa aliyopewa na mama mmoja wa kihaya ikabaki.aliposikia kilio changu akanipa dawa hiyo iliyokuwa imebaki nikampa ndugu yangu huyo...Lo!ilimsaidia sana kiasi kwamba kwa takriban miezi sita hakusumbuliwa na pumu.sina jinsi ya kumpata tena yule ndugu ila naimani dawa zipo!
Natanguliza shukrani.

Mwenye msaada anaweza pia kuniPM.
 
Hiyo si Pumu.Pumu lazima ianzie utotoni na historia ya ukoo ithibitishe.Pumu huwa haiponi kwa kuwa ni allergy from atopy.Mgojwa akienda mbali na kinachomsumbua hatobanwa.Kinachompata mgonjwa wk ni kushindwa kupumua kwa tabu(dyspnoea) na si lazima kutokane na pumu.Inaweza kuwa kitu tofauti,afanyiwe uchunguzi zaidi.Je,ameshapima HIV?wakati mwingine baada ya kinga kushuka husababisha kuota kwa fangasi mapafuni na kupelekea kubabwa km pumu.Dawa alizokuwa akipewa ni brochidialators(hutanua njia) na hutoa nafuu kwa muda.
Hata ingekuwa pumu hakuna dawa!na wanaopona walikuwa hawaumwi pumu.Uelewa ni kitu cha msingi hapa.Hospitali pekee ndo wanaweza kufafanua tatizo lako.Si kila tatizo linatibia!Epuka matapeli!
 
Hebu ajaribu kubadilisha eneo analoishi kwa muda. Mimi mwenyewe kuna sehemu nikienda nabanwa ile mbaya lakini nikishaondoka hayo maeneo tatizo linaisha kabisa. Saa nyingine unawaza vitu vya ajabu maana siku nikikanyaga tu hayo maeneo kesho yake tattizo linaanza!
 
Watu wengi nadhani hawajitokezi kukusadia pengine kwasababu chache

1) Labda kwa kuhisi kuwa kila Mtanzania awe au asiwe na elimu ya Kidaktari anajua kuwa Pumu/Asthma haina tiba kisayansi!!
2) Pengine watu wameamua kupuuzia mada yako kwa hitimisho lako la ''NAJUA DAWA ZIPO'',wakati umesema alipotumia hiyo dawa ulopewa na jamaa aliyeipata toka kwa Mama wa Kihaya ilimsaidia kwa muda wa miezi sita tu huyo jamaa yako(i.e hiyo si dawa/tiba,sabu tiba inamaanisha baada ya kutumia dawa uliyopewa iwe Hospital au kwa Mganga,etc inabidi ugonjwa ule uishe kabisa na usirudi tena).

Kimsaada wa Kidaktari, Pumu/Asthma ni ugonjwa wa kurithi ambao ni miongoni mwa magonjwa ya kurithi ambayo hayana tiba mpaka sasa, isipokuwa cha msingi ni kujua mtu ana allergy na nini kisha kuzikwepa hizo allergens, ikishindikana ndo unapewa dawa kwa ajiri ya kutliza atacks pale inapotokea umekutana na hizo allergens na kushindwa kupumua.

Siku nyingine ukiandika kitu usiweke conclusions zako bila kuwa na ufahamu halisi,utakosa msaada kwa wengi!
 
Tanganyika50,

Tafadhali Nenda Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Muhimbili katika Taasisi ya Madawa asilia waulizie dawa inayoitwa ''pumu Mixture'' ambayo inauzwa sh. 20,000/- tu. nina hakika itamsaidia jamaa yako. Aidha,si kununua dawa tu utakuwa na nafasi ya kuuliza maswali zaidi na ni vema ukienda na mgonjwa wako ili aweze kujieleza na wamuone na kufanya tathmini zaidi.
 
Mimi pumu ilinianza miaka 4 iliyopita actually ni allergie perfume, sabuni, hata nikila ndizi, inaanza kupanda cha muhimu nu kwamba lazima atumie dawa za allaegie kama .nasonex kwa ajili ya pua kuzuia ukalia wa aluvu pia telfast ni vidonge apate kula ki 1 kwa siku nadhani itapungua sana
 
Mpe pole sana ndugu yako, hili ni tatizo linalosumbua sana. kama alishafanya vipimo na kugundulika ni pumu ni beta akae mbali na vitu vinavyosababisha allegy including vyuakula,perfumes,vumbi especially fine dust i mean ile ya ndani. pia kama anaishi sehemu yenye hewa chafu hususani moshi,karibu na maji taka hatapata ahueni.

pili ajaribu kutumia dawa za kukontrol allegy mi huwa natumia OLBAS OIL for adults ni nzuri. pia combination ya ASTHALLIN na BUDESONIDE ni nzuei. halafu during attack waweza tumia MONTELLUKUST 10mg usiku tu pamoja na abranchodilator syrup i prefer ASCORIL inasaisdia sana.

cha muhimu ni kupima na kujua kip kinasababisha apate allegy inayosababisha pumu then ajitahidi kukontrol.

sijawahi tumia dawa za kienyeji apart from asali na limao.

from my own experience na ushauri wa dokta.
 
...watu wengi nadhani hawajitokezi kukusadia pengine kwasababu chache;
1)Labda kwa kuhisi kuwa kila Mtanzania awe au asiwe na elimu ya Kidaktari anajua kuwa Pumu/Asthma haina tiba kisayansi!!
2)Pengine watu wameamua kupuuzia mada yako kwa hitimisho lako la ''NAJUA DAWA ZIPO'',wakati umesema alipotumia hiyo dawa ulopewa na jamaa aliyeipata toka kwa Mama wa Kihaya ilimsaidia kwa muda wa miezi sita tu huyo jamaa yako(i.e hiyo si dawa/tiba,sabu tiba inamaanisha baada ya kutumia dawa uliyopewa iwe Hospital au kwa Mganga,etc inabidi ugonjwa ule uishe kabisa na usirudi tena).

Kimsaada wa Kidaktari,Pumu/Asthma ni ugonjwa wa kurithi ambao ni miongoni mwa magonjwa ya kurithi ambayo hayana tiba mpaka sasa,isipokuwa cha msingi ni kujua mtu ana allergy na nini kisha kuzikwepa hizo allergens,ikishindikana ndo unapewa dawa kwa ajiri ya kutliza atacks pale inapotokea umekutana na hizo allergens na kushindwa kupumua.

Siku nyingine ukiandika kitu usiweke conclusions zako bila kuwa na ufahamu halisi,utakosa msaada kwa wengi...!!!
Asante sana kwa maoni yako ndugu yangu,Ukweli ni kwamba nilikuwa najaribu kuweka maelezo ili swala langu lieleweke zaidi lakini pia yasiwe mengi sana kiasi mtu akaghairi kusoma nikakosa msaada!Waswahili tuna msemo "penye wengi hapaharibiki neno/jambo"
Nashukuru sana ndugu yangu kwa kunisahihisha.
 
Tafadhali Nenda Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Muhimbili katika Taasisi ya Madawa asilia waulizie dawa inayoitwa ''pumu Mixture'' ambayo inauzwa sh. 20,000/- tu. nina hakika itamsaidia jamaa yako. Aidha,si kununua dawa tu utakuwa na nafasi ya kuuliza maswali zaidi na ni vema ukienda na mgonjwa wako ili aweze kujieleza na wamuone na kufanya tathmini zaidi.
Asante ndugu yangu nitajaribu.
 
Kausha majan ya mpapai baada ya kukausha twanga majan hayo na kisha chekecha majan hayo na uweke kwny kifuniko tu kidogo. Lamba atleast mara mbil au tatu kwa siku hapo nadhan utakuwa umeweza kuondoa pumu hii imesaidia weng jarbu na ww.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom