Tanganyika50
Member
- Dec 8, 2011
- 97
- 19
Asante ndugu yangu.kausha majan ya mpapai baada ya kukausha twanga majan hayo na kisha chekecha majan hayo na uweke kwny kifuniko tu kidogo. Lamba atleast mara mbil au tatu kwa siku hapo nadhan utakuwa umeweza kuondoa pumu hii imesaidia weng jarbu na ww.