Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,759
Hello Wana JF, great thinker.
Ndugu zanguni naomba tu serikali ya Namhuri ya Muungano wa Tanzania wautambue huu ugonjwa wa Acid reflux kama janga la kitaifa kwani huu ugonjwa ukikushika huwezi kufanya Kazi kabisa kwani kifua kinabana.
Hauwezi kutembea haraka, viungo karibia vyote huwa vinachoka sana, unaweza kufikiri una tatizo la moyo au pumu.
Yaani we acha tuu, naomba madaktari wetu kupitia hili jukwaa wawe wanatoa somo kuhusu huu ugonjwa Kabla ya mgonjwa hajaanza kukimbilia Muhimbili au India na vipimo vingi vya Moyo kumbe tatizo ni acid reflux.
Asante sana waheshimiwa madaktari, waliowahi kuugua huu ugonjwa na wakapona na wanaoendelea kupambana nao waje na mawazo yao please.