Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,461
- 29,158
Dodoma kimewaka, naambiwa Shyrose Bhanji keshamtwanga kiti mshindani wa mama mkwe wake.
hajarusha mkuu, watu walikuwa wamemkamata
Dodoma kimewaka, naambiwa Shyrose Bhanji keshamtwanga kiti mshindani wa mama mkwe wake.
hajarusha mkuu, watu walikuwa wamemkamata
wanawake wanaimba ule wimbo maarufu wa SIMBA WA YUDA ANAUNGURUMA,sijajua wanatuma msg gani hapa
wakiwezeshwa wanaweza
Kwa nionavyo huyu simba atashindaNitashangaa sana kwama Sophia Simba hatoshinda! Having said that both Anne Kilango na Sophia Simba ni janga, kila mmoja anawakilisha mtandao na sio maslahi mapana ya nafasi ya mwanamke katika ustawi wa taifa. Pure tragedy!
Kwa nionavyo huyu simba atashinda
Namuombea Dua Sophia Simba ashinde.
The Malecela's time is over.
Wadau, mkutano wa 8 wa Umoja wa Wanawake Tanzania(CCM) ndo umeanza punde Dodoma. Moja ya vitu vya msingi leo ni uchaguzi wa mwenyekiti wa jumuiya hiyo taifa.
Mchuano mkali ni kati ya Sophia Simba na Anne Kilango. Ikumbukwe hawa walianza vita na vijembe muda mrefu na wamekuwa na tofauti za kisiasa na uhasimu wa wazi kabisa.
Suala la nani ataibuka kidedea leo linasubiriwa kwa hamu sana na wanazi wa pande zote mbili waliojipanga hasa katika kila idara kuanzia majungu,rushwa,fitna na... you know what else..
Wajumbe ndio wameingia ndani. Tusubiri.
Afadhali huyu shangingi Sofia aondoke ingawa wote ni gambaz
husidhani anaitwa sophia ukazani ni muislam i read your mind huyo mwezenu mtapunguza michango kanisani
Nitashangaa sana kwama Sophia Simba hatoshinda! Having said that both Anne Kilango na Sophia Simba ni janga, kila mmoja anawakilisha mtandao na sio maslahi mapana ya nafasi ya mwanamke katika ustawi wa taifa. Pure tragedy!