Ikumbukwe pia kuna mgombea mwingine, ye ni naibu waziri. Lakini yeye sio popular kwa kuwa hana makundi. Hii inatafsiriwa na watu wengine kuwa amepandikizwa ili kuondoa makundi yanayohatarisha umoja wa UWT. Si ajabu hata yeye akashinda. Hii ni pacificm theory. Yani kupreserve amani na utulivu na kuondoa makundi ndani ya jumuiya,then yeye ni candidate muafaka.
Probably Lowassa Camp itashinda. Take it from me.
ss ndo yupi el camp!?
Wadau, mkutano wa 8 wa Umoja wa Wanawake Tanzania(CCM) ndo umeanza punde Dodoma. Moja ya vitu vya msingi leo ni uchaguzi wa mwenyekiti wa jumuiya hiyo taifa.
Mchuano mkali ni kati ya Sophia Simba na Anne Kilango. Ikumbukwe hawa walianza vita na vijembe muda mrefu na wamekuwa na tofauti za kisiasa na uhasimu wa wazi kabisa.
Suala la nani ataibuka kidedea leo linasubiriwa kwa hamu sana na wanazi wa pande zote mbili waliojipanga hasa katika kila idara kuanzia majungu,rushwa,fitna na... you know what else..
Wajumbe ndio wameingia ndani. Tusubiri.
ss ndo yupi el camp!?
Sophia Simba ashinda kwa ushindi wa kishindo... Kilango safari imewadia na unafki wako, na ubunge anaukosa
Probably Lowassa Camp itashinda. Take it from me.
As long as wote wapo katika wrong platform hawafai.Wote hawana ajenda.Ajenda yao ni rushwa,bastola na mauzauza mengine tu.Wapiga kura wao nao wanaongozwa na reflex action tu!
Duh kasheshe bwana...!Wadau Mnaonaje tukaweka big airtime huku
Simbani ni dodoki la lowassa lazima ashinde
Na mimi nadhani itakuwa hivyo.