Uchaguzi UWT now: ni Sophia Simba Vs Anne Kilango

Wadau,

Nipo Dom hapa nazugazuga tu katika kujaribu kuangalia hizi chaguzi za CCM. Huyu mama kaaibika sana kwakweli...

Story ilianza hivi;
Alisimama ili aulize swali ila akawa kama anahutubia vile, watu wakaanza kelele na kuanza gumzo, akawa anamwambia Mwenyekiti wa uchaguzi amlinde kwani watu wanamzomea, Mwenyekiti akambeza "We uliza swali hatutaki hotuba", ila haikuwa vile akawa anaongea tu huku Mwenyekiti anamtuliza hataki, watu nao wakaja juu, akaanza kutoka nje ya mada na kudai wote hapa hamfai hamuwezi kuchagua kiongozi.

Akawa anakashifu taratibu na ndivyo wakawajibika kumtoa ila akawa bado anaongea kama kalewa, watu wanamzomea, wanamtoa nje na huku anatukana, watu wanatamani kumpiga, chaguzi za magamba, ni aibu aisee
 
Hii ni Lowassa VS Sitta! Ila Lowassa amekua akiibuka kidedea! Mara Nyingi Kilango lazima apigwe chini then 2015 ubunge atausikia TBC tu na huo ndo utakuwa mwisho wa familia ya Malecela ktk SIASA za bongo
 
Nadhan alionja kupata maconfidenc bt akazidisha na hayo ndo matokeo
 
Ona sasa umenifanya nimetapika kwa hicho kinyaa ulichokileta humu JF, Ya magamba waachie wenyewe.
 
Huyu sisi tunampenda kimapenzi tu sababu ni hawala ya mbunge wetu SUGU zaidi ya hilo hana faida yoyote kwetu.
 
Mbona ndivyo wanavyoongea hivyo kila mahali na kila wakati? Wanaongea hovyo hovyo, hoja za kitoto toto kama wamekunywa chang'aa vile
 
umewahi onja?

enzi nko chuo vijana wa kiume nilosoma nao walikuwa wanaonja kabla ya kufanya presentatn ili kupata maconfidenc ya kuface panel so nilivyosoma huu uzi nikarelate na ishu ya shyrose.
 
kuna ngumi zilianza pigwa kati ya wapambe wa hawa wagombea wawili, nyama za mbuzi zimeanza chomwa pia bia zinanyweka kwa wingi katika pande izi za mipango hall, kwa mtui,kwa ngonyani ni bia,konyagi na vimwana wapo.
Swali:kama wajumbe wameanza kupiga kinywaji je watavote kwa umakini?
 
Back
Top Bottom