Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Kawaida ya chadema..hamuwezi hoja, kazi kutukana tu! Hebu jiangalie mtu mzima upupu uliouandika hapo juu
una uhakika gani kuwa ni cdm?. Wengine ni wapaganaji wa vyama vya siasa.
Kawaida ya chadema..hamuwezi hoja, kazi kutukana tu! Hebu jiangalie mtu mzima upupu uliouandika hapo juu
Huyo Dr. wako hana tofauti na Prof Maji marefu, Dr. Kikwete, n.k Hao wote wameshindwa kutatua matatizo ya umasikini wa watanzania. Wamebaki na majina tu, oh Dr, Prof wakati nchi hata maji hakuna. Mie naishi about 4km from ikulu na huu ni mwaka wa hamsini hakuna maji kwenye hiyo radius.Dr Vs Mwalimu wa UPE!
Yule mwingine hivi ni nan et?
Yahaya kafa na wewe umetokea wapi tena? au ndio unajaribu kumshawishi nape kuwa leo ulikuwa bize ili a issue ulaji wako...? imekula kwako kama ndio mtazamo wako pole na ramli zako
Ndiyo madhara ya kuwa na ID nyingi, si ajabu huyi ni Mwita25! Halafu uzoefu unaonyesha kuwa watu wenye ID zaidi ya moja ndiyo wanakosa nidhamu jukwaani. Endelea kufuka moshi, hivi wewe kinachokupa imani ni lazima mshinde ni kipi hasa?Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
Juzi tulikutana pale Mirembe Hospital ukipata matibabu vp umepona? Au ndio unafanya mazoezi kuona kama umepona.....
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....!
Kwani ni lazima ataje uislam,unajua mtu atakama ulianza kuipenda cdm lkn kwa style hii watatupoteza wengi
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:
1. Mgombea wa CCM atapata= 67%
2. Mgombea wa CUF atapata= 23%
3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%
4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%
HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!
I know u are totally silly,selfish and ignorant ,am not agree with the word u say but u have the right to say it.....sensa inakuja mwaka huu nashukuru JF inatusaidia mwisho wa siku tutajua tuna wajinga kama wewe wangapi tanzaniaNashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
utaishia kula ban kila siku kwan mods wameshakujua kuwa wewe sio great thinkerNashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!