Elections 2010 Uchaguzi igunga; CCM kuibuka kidedea

wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:

1. Mgombea wa CCM atapata= 67%

2. Mgombea wa CUF atapata= 23%

3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%

4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%

HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!

I'm well aware this thread is particularly a crap, but I will reluctantly state the facts any way:
Every village has its idiot, this forum has you and the rest of ccm vile merchandisers.
 
Kwa mtu yoyote aliyeshuhudia kampeni za huko Inguka luna kila dalili mgombea wa ccm akashinda kwa kishimdo
 
Kama ungekuwa great thinker ungesema huu ni utabiri wangu na sio maoni. tulia jivue gambaaaa. Hata hivyo ungetoa Vigezo vya alama hizo basi!!
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
Mkishindwa upo tayari kunywa sumu?
 
Kama vile adhabu haikutosha! Maana pamoja na muda wote huo kutokutoa michango bado kaja bila hoja yenye kichwa, labda Mods waendelee kumfungia kwa maslahi ya Umma.
 
Sasa si amewapa pole kwani kuna ubaya gani? Kwani CDM imekuwa ni kitu gani mpaka isishindwe, lazima mkumbuke kuwa CDM ni chama kidogo sana na kinaongozwa kipumbavu, Na leo hii mkishindwa basi sijui mtakimbilia wapi.
 
Ina maana Slaa ni chizi basi, mbona alijitokeza na kusema kuwa kura zitaibwa, mara vijana wako wa kutosha kulinda wizi usitokee. Vyote hivyo amevisema kabla hata ya uchaguzi kufanyika. Sasa inamaana SLAA ni KICHAA?
 
Hakuna aliyeshuhudia kampeni za Ihuka, labda wewe tu maana hakuna anayejua Ihuka ni wapi wala hatujawahi kusikia kwamba kuna uchaguzi unafanyika Ihuka.
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!

Chadema inaimarika kwa ujinga wa wana CCM wenyewe, mi sina chama lkn chama hiki tawala kimepoteza umahiri kwa sababu ya unafiki wa watu kushadadia propaganda ambazo hazikijengi na huenda hii na mbinu ya wana CCM wenyewe kukiangusha maana mikakati imara ya zamani ya kuendesha siasa za kisasa za kujali utu na kuinua maisha ya watanzania imekuwa ndoto na kugeuka daraja la kujitajirisha na kujineemesha. Na wengi humu wanakurupuka kama mashoga kushabikia ujinga bila kuweka maslahi ya nchi mbele. Kwa wenye akili kujaa kwa watu mikutano ya cdm igunga ambayo haikuwa na support huko lingekuwa funzo hata kama hawatashinda ni dalili kuwa hukoo mbeleleni watashinda tu, sasa baada ya kujipanga na kuweka mikakati na kujiuliz kwa nini Chama kinachukiwa nyie mnashindie kuwasengenya cdm humu. FF, ritz, marwa25 na wengine kama mnafaidika na ufisadi io siku lkn kama mnatumika na mnakubali badala ya kukemea uozo basi siku mtakubali kuwa bwabwa. Haya sie tupo lkn mapinduzi ya kweli yatafika na kuletwa na wananchi hata bila cdm tutaamua tutaenda barabarani ni cha moto mtakiona
 
Moderator muda wa matokeo bado, kwanini uruhusu hu upuuzi huu wa hii topic ya utabiri uchwara. Jf uwazi daima
 
Kwa kuchakachua na kupiga watu mabomu ya machozi na hata kuua na kisha kunyakua masanduku ya kura kwa nguvu na kukimbia nayo ndivyo itakavyokuwa! Tofauti ya hapo, hiyo 67% ni ya Chadema!
huwa siongei sana subirini muone! na kama mkishinda uchaguzi huu basi mtanibadili kuwa magwanda!
 
Kwa kuchakachua na kupiga watu mabomu ya machozi na hata kuua na kisha kunyakua masanduku ya kura kwa nguvu na kukimbia nayo ndivyo itakavyokuwa! Tofauti ya hapo, hiyo 67% ni ya Chadema!
tusiandikie mate wakati wino upo, tusubiri tuone; na kama mtashinda uchaguzi huu basi mimi nitabadilika kuwa gwanda!!!!!!!
 
Maneno ya raisi mstaafu mkapa jana!ushindi ni lazima kwa CCM na vyama vya upinzani ni lazima vikubaliane na matokeo hayo machungu.Tanzania Daima
 
Back
Top Bottom