Elections 2010 Uchaguzi igunga; CCM kuibuka kidedea

Kawaida ya chadema..hamuwezi hoja, kazi kutukana tu! Hebu jiangalie mtu mzima upupu uliouandika hapo juu

una uhakika gani kuwa ni cdm?. Wengine ni wapaganaji wa vyama vya siasa.
 
Dr Vs Mwalimu wa UPE!
Yule mwingine hivi ni nan et?
Huyo Dr. wako hana tofauti na Prof Maji marefu, Dr. Kikwete, n.k Hao wote wameshindwa kutatua matatizo ya umasikini wa watanzania. Wamebaki na majina tu, oh Dr, Prof wakati nchi hata maji hakuna. Mie naishi about 4km from ikulu na huu ni mwaka wa hamsini hakuna maji kwenye hiyo radius.
Siku zote huwa najipa moyo kuwa pay back time is coming kwa yote waliyotufanyia watanzania, bahati mbaya itakuwa wakati wakiwa wazee sana hawana nguvu za kutosha za kusimama mahakamani na kulundikwa kwenye majela yaliyosongamana. That day is coming, i do not see how history can bypass these corrupt Tanzania leaders, they will be punished, and punished severely!!
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
Ndiyo madhara ya kuwa na ID nyingi, si ajabu huyi ni Mwita25! Halafu uzoefu unaonyesha kuwa watu wenye ID zaidi ya moja ndiyo wanakosa nidhamu jukwaani. Endelea kufuka moshi, hivi wewe kinachokupa imani ni lazima mshinde ni kipi hasa?
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!

kumbe vichaa nao mnajiunga jf? Duh! Hiki ndo kichwa maji kweli ndo maana ulifungiwa mshensi mkubwa weee!
 
Juzi tulikutana pale Mirembe Hospital ukipata matibabu vp umepona? Au ndio unafanya mazoezi kuona kama umepona.....

Hajapona bado, halafu siku hizi hadi mirembe kuna internet kwa hiyo tutegemee post kama zake hizo siku zijazo
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!

Bangi ukichanganya na kichuri asubuhi asubuhi matokeo yake ndo haya, kuongea utumbo. mpe hi mwita52.
 
Kwani ni lazima ataje uislam,unajua mtu atakama ulianza kuipenda cdm lkn kwa style hii watatupoteza wengi

Guys let me educate you a little bit, kwani anayekashifiwa si huyo mungu aliyeleta hiyo phylosophy ya imani yako, let him deal with that, wewe sana sana take time umhurumie huyo mtu cos pengine hajui atendalo.

Sasa unapoamua kuishi kwenye umasikini eti kwa sababu unayemchagua anaendana na dini yako huko ni kutokuwa independent in the way you make decisions.

Mie hata ukiitukana dini yangu na ukaomba nikuchague na wakati huo huo najua una uwezo wa kuongoza na akaja mtu anaisifia dini yangu na nnajua kabisa ni kilaza ntampa kura yangu yule aliyetukana dini yangu lakini he/she is brillliant na anaweza kuniongoza into success na ntanpiga chini anayesifia dini yangu lakini ni kilaza na mwizi wa mali ya uma.

This is because anapotukana dini yangu anamkashifu Mungu, sasa hiyo ni issue ya Mungu na yeye, Mungu atadeal na huyo mtu kwa namna yeye anavyoona inafaa, anaweza akambadilisha akawa mtu wake na hata mtumishi wake in the next couple of days kwa sababu ana uwezo huo.

Sasa hii analogy watanzania wengi hawaifuati because they are not independent enough.
 
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:

1. Mgombea wa CCM atapata= 67%

2. Mgombea wa CUF atapata= 23%

3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%

4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%

HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!

Hata sishangai kwani wizi ndo kazi yenu! Na safari hii mtakiona cha moto kwani mmeshaanza kuibiana wenyewe fedha za kampeni ndo maana hazijatosha wajanja wezi wamekula! Na ole wako mkiiba kwa style zenu za kukimbia na masanduku mtindo wa CDM ni kama tulivyofanya Mwanza na Arusha! Pumbavu tena usirudie *****zako ch***f
 
Unatabiri halafu unaleta hapa jf???au ww umerithi mikoba ya shehe wa mwembechai?unatabiri kwa kutumia nini??masaburiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!.
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
I know u are totally silly,selfish and ignorant ,am not agree with the word u say but u have the right to say it.....sensa inakuja mwaka huu nashukuru JF inatusaidia mwisho wa siku tutajua tuna wajinga kama wewe wangapi tanzania
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!

Hujamaliza dozi mkuu rudi tena wodini ukamalizie!!!!!
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
utaishia kula ban kila siku kwan mods wameshakujua kuwa wewe sio great thinker
 
Great thinker hawezi kutamka hadharani kuwa ushindi ni lazima, kwani umeshika akili za wapiga kura wa igunga? Jivue gamba lililotanda uwezo wako wa kutengeneza thread.
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!

Samahani Mkuu, hivi WAPUMBAVU mko wangapi humu? Nauliza tu.
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
320581_163430573738117_158108290937012_315590_985909421_n.jpg
 
nadhani b4 kujiunga na jf inabidi kupimwa akili kuanzia ssa,mana huyu bwana anauwalakini
 
Back
Top Bottom