Elections 2010 Uchaguzi igunga; CCM kuibuka kidedea

Kawaida ya chadema..hamuwezi hoja, kazi kutukana tu! Hebu jiangalie mtu mzima upupu uliouandika hapo juu

Kati wa watu wa hovyo humu si ndiyo wewe Rejao? Unawaza kwa ku2mia masaburi yako kwa jinsi yalivyo. Jaribu kutumia ubongo wako kijana.
 
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:

1. Mgombea wa CCM atapata= 67%

2. Mgombea wa CUF atapata= 23%

3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%

4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%

HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!

Take-urabu.. pole naona Pombe ulokunywa jana imekuzidi, ume Take urabu kwa wingi sana ukapitiliza na kusahau hata kiswahili. sitaki kuamini kwamba hata darasa moja la kiswahili hujalipitia, Unasema UNATOA MAONI.. hapotena UNATABIRI .. Ebanaee kipi ni kipi, mbona unajichanganya we mkaka.. au ndo kuchanganyikiwa kwenyewe.. Mwenzako CCM-b jana kahitimisha kampeni kwa kuwamiminia wapigakura wake makonde ya kueleweka..Mwambieni Mahona, huto tumichezo twa kuinua viroba vya kg20 kunadanganya sana. unaweza ukadhani wewe ni Vann Dame flan hivi. ..
 
kumbuka shekhe yahya aliponea chupuchupu kipigo cha wapenzi na mashabiki wa simba kwa ajili ya mambo kama unayotaka kuleta hapa, acha ujinga
 
Yahaya kafa na wewe umetokea wapi tena? au ndio unajaribu kumshawishi nape kuwa leo ulikuwa bize ili a issue ulaji wako...? imekula kwako kama ndio mtazamo wako pole na ramli zako
 
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:

1. Mgombea wa CCM atapata= 67%

2. Mgombea wa CUF atapata= 23%

3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%

4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%

HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!

Wewe ni mgonjwa mkuu...........
 
Nachukia sana matusi.mtu anayetumia neema alizopewa na mungu kuandika matusi hapa..hatumii vyema hizo neema..mungu atamuuliza na atamuadhibu..
 
Kwani ni lazima ataje uislam,unajua mtu atakama ulianza kuipenda cdm lkn kwa style hii watatupoteza wengi
sasa mambo ya misikiti yanatoka wapi mkuu? hiyo roho mbaya na chuki dhidi ya uislamu zitatupeleka pabaya na tukifikia huko kama wewe utapona nina uhakika baadhi katika familia au ukoo wenu wataathirika. heshimu mawazo ya watu mkuu kama hukubaliani nayo pinga kwa hoja na siyo kuamsha adrenaline za watu hapa
 
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:

1. Mgombea wa CCM atapata= 67%

2. Mgombea wa CUF atapata= 23%

3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%

4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%

HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!

As your avatar name, so is your action! Umekunywa urabu asubuhi
 
hapa hakuna demokrasia,kuna watu bila hoja wanasema CCM itashinda na wengine bila chembe ya hoja pia wanasema CDM itashinda. muwe mnaweka hoja, kutabiri maana yake nini?? wengine hatuna vyama tunatazama sera,bila hoja hamuwezi kutushawishi tupigie chama gani. ndimi mwana IGUNGA.
wee ndo huna hoja, just jocks
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....! Pole sana!
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!
Ndo nini??
 
Sidhani kama unaelewa ulichoandika na hivyo hatutegemei ueleweke na mtu mwingine. Simply crapp kwani hata wenyewe ccm wanajua ni wezi ndo maana wana dhana ya magamba. Usitumike tu kutetea uovu bila kutumia akili.
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!

mungu akujaalie uepukane na huu umangimeza uliojitwika.
 
Nashukuru nimetumikia adhabu ya kufungiwa na mods baada ya kutofautiana nao... chadema wana kawimbo kao wakishndw kwnye chaguzi huw wanaimba , mara tumechakachuliwa, ccm wamekimbia na masanduku, wameiba kura, matokeo yamebadilishwa...teh teh teh...kwani kila mwaka hamna mawakala au ndo mnatudanganya watanzania...leo mnakatwa kilimi alafu muanze visingizio vyenu...ccm oooyeeeeeeeeeeeeeeeee...ushindi lazima!!!

Juzi tulikutana pale Mirembe Hospital ukipata matibabu vp umepona? Au ndio unafanya mazoezi kuona kama umepona.....
 
Back
Top Bottom