labda wamesomewa al badir, kudadeki!
Tatizo kidogo watu wanakurupuka.. kulikuwa na magari ya JW yana mizigo kutokea maeneo ya mwenge kuelekea buguruni aidha mandela rd.. trafiki aliyekuwa anaaongoza magari pale ubungo mataa, aliruhusu msafara huo lakini kauikia gari ya kumi akabadilisha muelekeo wa kuruhusu magari, wale jamaa wa JW, wakashuka kumfuata na kumwelewesha trafiki kuwa msafara ni mmoja... inasemekana yule trafiki akamjibu hovyo ofisa wa JW, hapo ndipo mambo yalipoanza.. akaita vijana wake wamshughulikie wakampa kipondo na kuondoka na kofia ya polisi ...jeshi la polisi wamepigwa na wanajeshi maeneo ya ubungo mataa kuna hali ya hatari hapa wananchi wamejaa sana
hawa ni waislim tu, tupe majina tuone, au unabishaaaa,
ugumu wa maisha, mfumuko wa bei yote hayo huleta frustration! kwa ujumla vijana wa kibongo walimu, madaktari, polisi, wanajeshi, CDM, Waislam wote tuna frustration za maisha nothing more
patamu hapo... chezea Jeshi la Wajita(Wakurya) Tangu Zamani (JWTZ)