Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!


SAM_2463.JPG


SAM_2469.JPG



SAM_2471.JPG

SAM_2473.JPG

SAM_2475.JPG



SAM_2476.JPG


Wanajeshi wanaokadiriwa kuwa 50 kwa pamoja wamemshambulia trafiki kwenye taa za ubungo na kuondoka kwa madai kuwa kawachelewesha kwenye foleni, baada ya kuondoka magari hayo ya jeshi yalizuiwa kwa muda wa zaidi ya saa moja maeneo ya Tabata dampo.kabla ya kuachiwa kuendelea na safari yake.


Picha zote na:
kajunason.blogspot.com

 
Siyo mara ya kwanza. Kuna kipindi tena walimshambulia traffic polisi tena hapo hapo Ubungo mataa. Hakuna anayewakemea kwa ubabe wao huo ndo maana huwa wanauendeleza tu kadri watakavyo. Yule wa mara ya kwanza alionekana kuwa ngangari kidogo vinginevyo wangemuumiza sana.
 
Jana si walikuwa pamoja vp tena leo?
Na nyinyi CHADEMA msije mkasahau maumivu mliyoyapata kule Arusha Iringa Rvm
 
bora wapigane tujue moja. hawa trafiki wa ubungo wamezidi kuweka foleni bila mpaka na kesho tena kichapo kiendelee
 
Hii nchi vipi jamani? Polisi Vs Jeshi?

Raia vs raia, waislam vs makanisa, waislam vs police znz. Tunaenda wapi marejesho? Mimi ninavyoona sasa ni kuwa adui wa wakristo ni shetani na adui wa waislam ni wakristo!!!!
 
Last edited by a moderator:
labda wamesomewa al badir, kudadeki!

kwani ni maana ya albadiri?ni kumwombea mtu mema au mabaya?kama mabaya yatoka kwa shetwani kama mazuri ni yake mungu.hakuna mtakatifu wa kumsomea mtu baya toka kwa mungu-watu wazinzi eti albadiri-mwogopeni mungu wa mbingu na nchi
 
jeshi la polisi wamepigwa na wanajeshi maeneo ya ubungo mataa kuna hali ya hatari hapa wananchi wamejaa sana
Tatizo kidogo watu wanakurupuka.. kulikuwa na magari ya JW yana mizigo kutokea maeneo ya mwenge kuelekea buguruni aidha mandela rd.. trafiki aliyekuwa anaaongoza magari pale ubungo mataa, aliruhusu msafara huo lakini kauikia gari ya kumi akabadilisha muelekeo wa kuruhusu magari, wale jamaa wa JW, wakashuka kumfuata na kumwelewesha trafiki kuwa msafara ni mmoja... inasemekana yule trafiki akamjibu hovyo ofisa wa JW, hapo ndipo mambo yalipoanza.. akaita vijana wake wamshughulikie wakampa kipondo na kuondoka na kofia ya polisi ...
 
polisi, ati amepigwa na askari jeshi. Labda polisi hakuwa na redio, mbona hao wangelipuliwa kwa bomu la kishindo!
 
ugumu wa maisha, mfumuko wa bei yote hayo huleta frustration! kwa ujumla vijana wa kibongo walimu, madaktari, polisi, wanajeshi, CDM, Waislam wote tuna frustration za maisha nothing more

Mkuu ni kweli maisha magumu pesa haionekani. Kila kitu bei juu,so inatafutwa immediate cause ya kuhalalisha kutoridhishwa na haya maisha. Naamini muziki wenyewe bado!,
 
Back
Top Bottom