Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!


Jaribuni muone maana hata kama dhaifu ataendelea kuwaambie makamanda wawache ndugu zake kama alivyokuwa akifanya haitasaidia...ni kichapo tu. Umeona jana?? Virungu na makofi mitama hadi raha...chezea state machinery wewe? eti mnakwenda ikulu...kula tende? au mmesikia pale kuna msikiti??panaendeshwa kwa kodi zetu hata kama dhaifu anawavumilia jshi limemstukia anakoipeleka nchi na hatukubali...andamaneni tena muone.

Walizani kunampunyenye apo na mashindano yakucheza Bao...
Chezea dhaifu bt ukisikia jeshi hili nilijualo mm.....
Aisee hamnaga rangi utaachaga ona..
 
Na huwa hawapendani hawa watu sijui kwanini aisee!Tena wanajeshi ndiyo wanaongoza kwa kuwadharau wenzao!
 
Hahahaha Sweke34 jana wameenda watu wachache sana vimekuja vikosi vyote mpaka msaada wa mgambo achilia walinda mipaka. Hivi ikija ambush yenyewe nani ataweza zuia kila kona? Refer Egypt jeshi sio kila kitu Mkuu. Mie najaribu kuwaweka sawa wazushi waliojiunga JF juzi na kuanza kashfa zidi uislamu, kwahilo I am sorry sitanyamaza

Acha kuongea Pumba Egypt zaidi ya 95% waliungana kuiondoa serikali madarakani tz waislamu ni chini ya 50% ni rahisi sana kuwatuliza Jaribuni muone kama hamjaimba Aleluya Kuu
 
jana waliambiwa kila mwenye nguo nyeupe chapeni,sasa bado wameikariri hiyo amri leo wamekuta trafik wakamchapa!
 
Wana JF
Ni hivi juzi tu tumeshuhudia wanajeshi wakimpiga trafiki eti kawachelewesha kwenye foleni!
Sasa mimi ninajiuliza maswali kadhaa ambayo naamini hata wengine inawezekana wakawa wanajiuliza kama mimi

1. Je ni kweli trafiki aliwachelewesha wao wanajeshi tu au kulikuwa na watu wengine wa kawaida?

2. Je bara bara hiyo ilipaswa kutumiwa na wanajeshi peke yao? kwa maana ya kwamba vyombo vingine vya moto na
visivyo vya moto havistahili kutumia bara bara hiyo?

3.Au trafiki yule alishindwa kazi ya kuongoza magari na hivyo wao walitaka ku take charge kwenye kazi ile ya kuongoza
magari?

4. Kwa kitendo kile cha kumpiga trafiki je wananchi wa kawaida waamini kuwa trafiki anastahili kupigwa pale ambapo wanahisi wamecheleweshwa?
5.Je itakuwaje ikiwa watumiaji wa bara bara wakawa na tabia ya kuwapiga trafiki?
Tujadili kwa busara na sio kwa hisia binafsi
Nawasilisha
 
Wana JF
Ni hivi juzi tu tumeshuhudia wanajeshi wakimpiga trafiki eti kawachelewesha kwenye foleni!
Sasa mimi ninajiuliza maswali kadhaa ambayo naamini hata wengine inawezekana wakawa wanajiuliza kama mimi

1. Je ni kweli trafiki aliwachelewesha wao wanajeshi tu au kulikuwa na watu wengine wa kawaida?

2. Je bara bara hiyo ilipaswa kutumiwa na wanajeshi peke yao? kwa maana ya kwamba vyombo vingine vya moto na
visivyo vya moto havistahili kutumia bara bara hiyo?

3.Au trafiki yule alishindwa kazi ya kuongoza magari na hivyo wao walitaka ku take charge kwenye kazi ile ya kuongoza
magari?

4. Kwa kitendo kile cha kumpiga trafiki je wananchi wa kawaida waamini kuwa trafiki anastahili kupigwa pale ambapo wanahisi wamecheleweshwa?
5.Je itakuwaje ikiwa watumiaji wa bara bara wakawa na tabia ya kuwapiga trafiki?
Tujadili kwa busara na sio kwa hisia binafsi
Nawasilisha
Hawa jamaa yaani JWTZ wanadekezwa sana!! nimeshashuhudia miaka ya nyuma Buguruni wakimpa kichapo trafiki tena. Je sheria hazipo? au wapo juu ya sheria? Hapa Kenya jamaa wana nidhamu na wakiwa barabarani ni mfano wa kuigwa!! Hapo nyumbani kipigo kwa raia ni kawaida na hata polisi. Hii ni dharau iliyoletwa na utawala na siasa zisizojiamini kwa sababu ya UFISADI!!
 
Hii yote inatokana na jeshi hili sasa hivi kuonyesha udhaifu mkubwa kiutendaji na ndo maana JWTZ wao wameonekana wapo juu zaidi chukulia tukio la hivi juzi la kuzuia maandamano ya waislamu kulikuwa na haja yeyote ya JWTZ kuingia barabarani? wameingia barabarani kwa sababu Jeshi la polisi ni dhaifu.

Pia ndugu hilo sio tukio la kwanza kwa polisi kupigwa na JWTZ wameishapigwa wengi sana ila walikaa kimya tu kwa aibu.
 
bora wanajeshi wamempiga uyo polisi....je raia waliomchinja polisi?
 
safi sana hawa ma trafiki wananiudhigi sana hata mimi wawapo barabarani...kuna wengine wanajua kazi zao na kuna wengine wakiwa wanaongoza magari hata mie ninakuaga na hamu ya kushuka na kuwazaba vibao
 
jibu ni rahisi sana Traffic alichelewesha magari kwa makusudi ili apokee rushwa kutoka kwa madereva mjeshi wakamuona wakaamua kumdiscpline! hawa jamaa wamezidi kwa kutaka rushwa!!
 
Wanajeshi wanafyeka na kufanya mazoezi mengi hawana sehem ya kupractice, polis supu asubuhi, nyama choma mchana na jioni na kabia bariiidi daily, si tunawawezesha daily huko mabarabarani? wivu! kwi kwi kwi!
 
Hiviii, hivi ndivyo sheria za nchi zinavyosema??? Kwamba trafic akikosea achilia mbali hajakosea, apigwe??? Au kwa sababu kisa ni wanajeshi??? Kwa kweli hii ni aibu kwa dola ya Tanzania inadhalilika vya kutosha. Wote wanatumikia dola hiihii, na ndo wavunja sheria wakubwa. Sasa nani atazilinda sheria za nchi???
 
Matraffick huwa wanaboaaaa, bora walivyopewa kichapo! Mfyuuuuu! Wanaongoza kwa rushwa ol over, wa mikoani ndio usiseme, ni nUksi, watandikwe na bado!
 
Kwa Tanzania wao ni mabosi wa mapolisi...hata kwenye ghasia juzi..walifika maeneo ya tukio..wakala shushi tu, wakati wenzao wanakimbizana na mashehe ubwabwa.
 
Mods!

Unganisha thread hii na ile nyingine!
Punguza jam ya member wavivu kuperuz!

Thankx!
 
Swali la nne la msingi sana mkuu..

Nadhani, haikuwa sahihi sana,ingawa wao walikuwa wameitwa kwa "shughuli maalum" haimaanishi wanapaswa kukiuka utaratibu, besides askari wa Barabarani huwa na vifaa vya mawasiliano, hivyo kama kulikuwa na ulazima wa wao kuwahi kabla ya wananchi wengine, wangewasiliana wakati wanatoka huko kambini.

Lakini kwa upande mwingine, inawakumbusha askari wa barabarani kuwa wanajali muda, kutoangalia upande mmoja(Utakuta ameruhusu magari , upande mmoja mara mbili hata mara tatu, lakini upande mwingine hawaruhusiwi..kwani hata taa za baabarani haziwezi kuwaweka pale pale kwa dakika tano au saba).

So,in my opinion...it was a wrong act,but good reminder though.
 
Back
Top Bottom