fisadigamba
Member
- Jul 20, 2012
- 29
- 4
Habari zilizonifikia hv punde, Uamsho wakisoma dua kwa ajili ya wahanga wa meli ya Seagull iliyozama hapo jana wametawanywa kwa kupigwa mabomu na kikosi cha kutuliza ghasia FFU kwenye viwanja vya malindi mjini Zanzibar.