Uamsho watawanywa kwa nguvu na FFU viwanja vya Malindi ZNZ

mabomu hayana kazi na yanaonekana yalikuwa yamekaribia kuexpire
 
AyQX9jbCEAAUDKW.jpg

Picha kwa hisani ya mdau wa Twitter.

Duuu.....! Hv nchi hii tunaenda wapi?
 
Watakuwa wamekutana na kufanya halaiki bila kibali cha polisi........... hapo naona wamekosea kama ni dua tu kwa nini isifanywe masjid?
mait 69 mdau????uziweke masjidi???,,,,,mara nyingi swalat jeneiza huswaliwa popote pale
 
Habari za uhakika toka zanzibar ni kwamba jumuiya ya uamusho hivi sasa inapambana napolisi waliofika kuwatawanya kwa mabomu wakiwa msiktini walipokuwa wanafanya mkutano......nawasilisha wanajamvi
 
Suluhu ya kweli ni Serikali 1 katika nchi 1 moja ya Tanzania

Serekali moja huko huko Tanganyika, mnatungangania lakini muungano hatuutaki. Tuuweni sote hapo ndipo mtaipata Zanzibar. Tutapigania nchi yetu na hatutorudi nyuma
 
Habari za uhakika toka zanzibar ni kwamba jumuiya ya uamusho hivi sasa inapambana napolisi waliofika kuwatawanya kwa mabomu wakiwa msiktini walipokuwa wanafanya mkutano......nawasilisha wanajamvi
 
Vijana walioko huko hawana baba wala mama huko, uamusho watashika adabu
 
Huko Zanzibar kuna vituko sana. Hao uamsho wanaanzishaje mapambano na polisi huku miili ya watu marehemu ikiwa imepangwa bado kiwanjani kwa utambuzi? Wanatafuta kitu gani hao?
 
Inasemekana ni askari wa Jamhuri ya Muungano ni vikosi vya KMKM vilivyovamia

Sijakuelewa mkuu. Na hata kama ni KMKM walikuwa wanavunja amani? Kuna mambo mengine twapasa kudadisi katika hali ya ukweli. Ninachojua wazanzibari wanakawaida ya kufanyadua ya pamoja inapotokea janga kubwa kama hili maana hata kipindi cha ajari ya mv. Spice icelander walikusanyika pia na hawakupigwa mabomu. Je walikua wakivunja amani au ni kwasababu wao ni uamsho tu ndio watawanywe na polisi kwa mabomu?
 
Back
Top Bottom