Uamsho watawanywa kwa nguvu na FFU viwanja vya Malindi ZNZ

Yaani hawa hawajakoma tuuuu! Sasa nadhani itabidi kisiwa chote kizame ili kelele na vurugu ziishe
 
chondechonde makanisa yetu jamani...sigeuzie hasira huko..sasa hivi nendeni mkachome kwa hao wanaowapiga mabomu
 
2naelekea kubaya ee mungu wajalie watawala wawe na busara kuna siku watasema hata sokoni kariakoo wawe na kibali cha mkusanyiko
 
Nadhani hayo ni machache na zaidi mepesi tunayoweza kuyashughudia kutoka kwa mfumo uliooza na unaoanguka kama ccm.tusubiri makubwa zaidi yanakuja.
 
Kama Polisi wanafanya ivyo kutumia nguvu kila mahali,vita inanukia Zanzibar.
 
habari zilizonifikia hv punde, uamsho wakisoma dua kwa ajili ya wahanga wa meli ya seagull iliyozama hapo jana wametawanywa kwa kupigwa mabomu na kikosi cha kutuliza ghasia ffu kwenye viwanja vya malindi mjini zanzibar.
u nadhani jk awe makini. Ajue kanisa lishamuacha mkono. Na kura alizopata 2010 ni za waislam.
 
Habari zilizonifikia hv punde, Uamsho wakisoma dua kwa ajili ya wahanga wa meli ya Seagull iliyozama hapo jana wametawanywa kwa kupigwa mabomu na kikosi cha kutuliza ghasia FFU kwenye viwanja vya malindi mjini Zanzibar.

Hii ni Serikali inayoogozwa na wendawazimu! Wanaona kwamba waliokufa kwa ajali ya meli ni wachache sana kwa hiyo inataka kuwaongeza kwa mbinu hii ya kuwapiga mabomu na silaha za moto wale wanao kaidi ili kuongeza idadi ya wafu.

Serikali ya maaluni wahedi wakubwa.

HAKINA CCM MMELAANIWA NA MWENYEZI MUNGU ILHALI HAMJIJUI, NA BADO!!!
 
Habari zilizonifikia hv punde, Uamsho wakisoma dua kwa ajili ya wahanga wa meli ya Seagull iliyozama hapo jana wametawanywa kwa kupigwa mabomu na kikosi cha kutuliza ghasia FFU kwenye viwanja vya malindi mjini Zanzibar.
PICT2425.JPG

VIONGOZI WA UAMSHO NA TAASISI NYENGINE WAKIWA NA VIONGOZI WA SMZ JANA MAISARA. LEO MABOMU.

hao watakuwa askari wametoka Bara na pengine jk anatakiwa amwangalie vizuri waziri wake wa Mambo ya Ndani. waislam ndio waliompa JK ushindi 2010 baada ya Wakiristo kumpigia DK SLAA. Waziri wa mambo ya ndani pengine bado anauchungu wa makanisa yao kuchomwa
 
Polisi hapa Zanzibar wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama wa kundi la kiislam la uamsho baada ya kukutana kinyume na taratibu. Awali uamsho walipewa kibali ili wafanye dua ya kuwaombea marehemu wa ajali ya Mv Skagit msikitini, lakini wao wakaamua kukusanyika kwenye uwanja wa Mbuyuni, hapa hapa mjini, na wakawa wanatoa maneno ya kukejeli serikali! Hawa jamaa sijui vipi!
 
PICT2425.JPG

VIONGOZI WA UAMSHO NA TAASISI NYENGINE WAKIWA NA VIONGOZI WA SMZ JANA MAISARA. LEO MABOMU.

hao watakuwa askari wametoka Bara na pengine jk anatakiwa amwangalie vizuri waziri wake wa Mambo ya Ndani. waislam ndio waliompa JK ushindi 2010 baada ya Wakiristo kumpigia DK SLAA. Waziri wa mambo ya ndani pengine bado anauchungu wa makanisa yao kuchomwa

Pumbavu kabisa mnaoingiza udini kwenye suala hili. Nchimbi na Mwema hawapo kwa ajili ya kusimamia maslahi ya dini ila kumsaidia Kamanda Mkuu Jakaya Kikwete aliyekabidhiwa nchi na watanzania ailinde na kuitetea bila woga. Msimsingizie Nchimbi ama Mwema wao wanawakilisha JMT. Uamsho acheni kuivuruga nchi haina dini mtaumia bure stupid!
 
Back
Top Bottom