Uamsho watawanywa kwa nguvu na FFU viwanja vya Malindi ZNZ

fisadigamba

Member
Jul 20, 2012
29
4
Habari zilizonifikia hv punde, Uamsho wakisoma dua kwa ajili ya wahanga wa meli ya Seagull iliyozama hapo jana wametawanywa kwa kupigwa mabomu na kikosi cha kutuliza ghasia FFU kwenye viwanja vya malindi mjini Zanzibar.
 
Nami nimeipata muda si mrefu. Ila cha kujiuliza; kwani walikuwa wakivunja amani hadi watawanywe kwa mabomu? Hii serikali yetu jamani!!!
 
Mhh yaan unamaana walikuwa hawafanyi chochote kingine zaidi ya kusoma dua tu???halafu ndioo wakavamiwa na kuanza kuadhibiwa?naomba habari kamili mkuu..
 
Nami nimeipata muda si mrefu. Ila cha kujiuliza; kwani walikuwa wakivunja amani hadi watawanywe kwa mabomu? Hii serikali yetu jamani!!!
Hapo ndio nashindwa kuelewa. cjui tutafika? Hv serikali si bora iongeze juhudi katika uokoaji kuliko haya mambo sasa?
 
AyQX9jbCEAAUDKW.jpg

Picha kwa hisani ya mdau wa Twitter.
 
Lazima kuna kitu.....lakini hawa si wanamsimamo mmoja na serikali? Kwa nini wanapigwa mabomu?
 
nipo hapa maeneo ya Maisara naona magari ya polisi Defender na magari kibao yanazunguka na kupiga mabomu ya machozi"
 
Jeshi la wananchi limewapiga bomu wana uhamsho wkt wakiwaombea dua marehemu 69 waliozikwa leo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom