TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,899
- 11,292
kuna wapumbavu wengi sana TanzaniaHivi na akili zako, unaamini kabisa kwenye kupiga kura? Mimi nadhani hata kama alipata kura nyingi kiasi gani, wenye akili timamu wasingempa tuzo! Maneno kama "nyoka hana kiuno ndio maana havai shanga", wewe na akili zako ungempigia kura??? CRAP CRAP CRAP!!
tumeipigia kura CCM, tumepigia kura wabunge na madiwani wa CCM na hivyo kumvhagua mpoki haitakua jambo la ajabu