Maadhimisho ya siku ya sheria: wakati Jaji Mkuu akijigamba mbele ya Rais Samia, Wakili Mpale Mpoki hajapata nakala ya hukumu miezi miwili sasa

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,679
Wakili Mpale Mpoki alisimamishwa uwakili miezi miwili iliyopita na Jaji Ntemi Kilekamajenga. Mpale Mpoki akaomba nakala ya hukumu, Jaji hajaitoa nakala hiyo mpaka sasa miezi miwili imepita. Na anayefanyiwa hivi ni wakili mkubwa kabisa, vipi kuhusu wananchi wa kawaida? Jaji Kilekamajenga anawatendea vipi? Je mahakama inaweza kufanya intelijensia na kufuatilia uendeshaji wa mashauri wa Jaji huyu?

Jaji Mkuu Prof Juma yeye anahangaika na kujenga majengo tu bila kujali nini kinafanyika ndani ya majengo hayo, na kwa uhakika, wananchi shida yao si majengo, ni haki hata kama itatolewa chini ya mti. Majengo yamejaa viyoyozi, viti vya kuzunguka, suti kwa gharama za watanzania, makompyuta na maelfu ya watumishi, lakini wameshindwa kutoa hukumu yenye kurasa nne, kwa miezi miwili.

ChanzoYouTube Channel

Screenshot_20240201-142151.jpg
 
TAKUKURU pia chunguzeni hizo Mirathi accounts za mahakama kila mkoa.

Kuna uhuni mwingi sana unafanyika kiasi warithi wanasota pesa zimetiwa fixed watu wanavuta hela.
 
Eti mwanasheria mkuu wa serekali anashangaa watu kwenda kutoa malalamiko yao kwa Makonda. Ajipime kwa wao kukubali kutumika na chama Cha majizi, Hadi watu wanaacha vyombo vya kisheria wanaenda kushitaki kwa muhalifu.
 
Miezi miwili sasa sijasomewa hukumu kila nikienda hakimu anasema mtandao wa mahakama uko down
 
Wakili Mpale Mpoki alisimamishwa uwakili miezi miwili iliyopita na Jaji Ntemi Kilekamajenga. Mpale Mpoki akaomba nakala ya hukumu, Jaji hajaitoa nakala hiyo mpaka sasa miezi miwili imepita. Na anayefanyiwa hivi ni wakili mkubwa kabisa, vipi kuhusu wananchi wa kawaida? Jaji Kilekamajenga anawatendea vipi? Je mahakama inaweza kufanya intelijensia na kufuatilia uendeshaji wa mashauri wa Jaji huyu?

Jaji Mkuu Prof Juma yeye anahangaika na kujenga majengo tu bila kujali nini kinafanyika ndani ya majengo hayo, na kwa uhakika, wananchi shida yao si majengo, ni haki hata kama itatolewa chini ya mti. Majengo yamejaa viyoyozi, viti vya kuzunguka, suti kwa gharama za watanzania, makompyuta na maelfu ya watumishi, lakini wameshindwa kutoa hukumu yenye kurasa nne, kwa miezi miwili.

ChanzoYouTube Channel

View attachment 2890753
Halafu kuna jaji ana shangaa watu kumkimbilia Makonda.
Vyombo vya kutoa haki vime oza.
 
Lakini si mwanachama mwenzako? Huo ndio unyama wanaofanya kijani. Wewe endelea kubeza juhudi za kutaka katiba mpya tuu. Iko siku hata mwanao kama unaye yatamfika chini ya katiba hii hii unayoona inawafaa.
 
Wakili Mpale Mpoki alisimamishwa uwakili miezi miwili iliyopita na Jaji Ntemi Kilekamajenga. Mpale Mpoki akaomba nakala ya hukumu, Jaji hajaitoa nakala hiyo mpaka sasa miezi miwili imepita. Na anayefanyiwa hivi ni wakili mkubwa kabisa, vipi kuhusu wananchi wa kawaida? Jaji Kilekamajenga anawatendea vipi? Je mahakama inaweza kufanya intelijensia na kufuatilia uendeshaji wa mashauri wa Jaji huyu?

Jaji Mkuu Prof Juma yeye anahangaika na kujenga majengo tu bila kujali nini kinafanyika ndani ya majengo hayo, na kwa uhakika, wananchi shida yao si majengo, ni haki hata kama itatolewa chini ya mti. Majengo yamejaa viyoyozi, viti vya kuzunguka, suti kwa gharama za watanzania, makompyuta na maelfu ya watumishi, lakini wameshindwa kutoa hukumu yenye kurasa nne, kwa miezi miwili.

ChanzoYouTube Channel

View attachment 2890753
Leo saa mbovu imesema Kweli.

Hongera.
 
Hata wewe unalalamika juu ya utendaji wa mahakamaccm?
Sasa jipange kisawasawa kuungana na wanaodai katiba mpya itakayoondoa makandokando haya unayoyalalamikia na uache kuwadharau kina Mbowe walio front line ikibidi ungana nao kwenye maandamano.
 
Lakini si mwanachama mwenzako? Huo ndio unyama wanaofanya kijani. Wewe endelea kubeza juhudi za kutaka katiba mpya tuu. Iko siku hata mwanao kama unaye yatamfika chini ya katiba hii hii unayoona inawafaa.
Mimi mwanachama wa chadema
 
Back
Top Bottom