Tuzo ya Mpoki

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
1,241
251
Hivi nyimbo kama shangazi ya Mpoki. Utailinganisha na Adela ya Mrisho Mpoto? Msanii kama Mpoki unaweza kumlinganisha na Mrisho Mpoto. Hivi kwa Mashairi ya Shangazi mfano "Umepewa wizara Nyeti kuliko Nyeti tulizonazo". Alistahili kupewa Tuzo?
 
Ndiyo maana hata yeye alipata shock kusikia kashinda!
Thats the waste scene i ever saw in that program!...Halafu zaidi ukimsikiliza amefanya piracy ya kufa mtu ya vionjo vya Mpoto!
Thats total disgrace to the tournament as whole!
 
Mpoki alikua anaji advertise kupitia comedy show ya TBC Kuomba kura.
Mrisho mpoto had no that Chance.
 
Kama hamkumpigia kura Mjomba mlitaka apiteje sasa.Wabongo bwana mabahili afu tunaishia kulalamika wakati hatukufanya jitihada za kufanikisha chaguo letu spate tuzo.

Hivi na akili zako, unaamini kabisa kwenye kupiga kura? Mimi nadhani hata kama alipata kura nyingi kiasi gani, wenye akili timamu wasingempa tuzo! Maneno kama "nyoka hana kiuno ndio maana havai shanga", wewe na akili zako ungempigia kura??? CRAP CRAP CRAP!!
 
Kwa kuwa washindi walitokana na kura za wasilizaji wa nyimbo hizo, Mpoki ni mshindi halali kwa sababu kundi linalopenda wimbo wake, ndilo lilimpigia kura na ndio maana kila ailyeitwa miongoni mwa watu aliowashukuru ni wale waliompigia kura,
 
Hivi nyimbo kama shangazi ya Mpoki. Utailinganisha na Adela ya Mrisho Mpoto? Msanii kama Mpoki unaweza kumlinganisha na Mrisho Mpoto. Hivi kwa Mashairi ya Shangazi mfano "Umepewa wizara Nyeti kuliko Nyeti tulizonazo". Alistahili kupewa Tuzo?

Zile Tunzo zilikuwa zinapigiwa kura najua wewe hukupiga hata kura moja ndo maana unashangaa Mpoki alipigiwa shavu sana na Masanja ndo maana kaibuka mshindi.
 
Mpoki kiukweli hakustahili kushinda na hata yeye mwenyewe analijua hilo! Shida ni utaratibu mbovu wa kuwapata washindi katika tuzo hizo hapo ndipo tatizo linapoanzia, ni kampeni na ushabiki. Mfano Mpoki kupitia Masanja aliomba watu wampigie kura na inavyoonekana watu walikuwa na mwitikio chanya! Inabidi vigezo viongezwe ili kupata washindi ambao hawatazua gumzo kwa ushindi wao.
 
wanapeana
yaan ni crap kupita maelezo
yan kdg niandamane ...sasa nikasema wamempa kwa mantiki ipi?
wimbo unmafundsha nin?umejaa matusi na maneno ya ovyo ,hauna ubunifu .....yaan wamechemsha kwa pale jaman aibu ,SHAME ON U JAJES....NDO MANA WENYE AKIL WALIJITOA MAPEMA WNAJUA U NI MCHEZO WA KUPEANA....KM WANGEKUA MAJAJI WA MISS TZ BAS WANGEWEZA ATA KUMPITISHA ATA BI KIDUDE AWE MISS
 
Usiku ule nilikuwa nafuatilia ile show kwenye TV nyumbani, lakini mara baada ya MPOKI kutangazwa mshindi wa tuzo husika nilienda zangu kulala, na nika-conclude kwamba shindano zima liilikuwa ni upuuzi mtupu. Wimbo wa Mpoki nilikuwa sijausikia kabla lakini baada ya kusikiliza mashairi yake ya kijinga (na ku-copy baadhi ya mashairi ya MPOTO) niliona kweli hatuko serious kwenye mambo mengi sana. No wonder hata kwenye uchaguzi wa kisiasa tunaona watu wasio na uwezo wakichaguliwa na wale wenye uwezo wakishindwa. Bado tuna safari ndefu sana Watanzania.
 
Mpoki hakustahili hata chembe kupata tuzo ile.Ila alikuwa na advantage moja kwamba kwenye kile kipindi chao cha zekomedi Masanja alikuwa akimpigia kampeni kwa nguvu sana kupitia TBC. Hata hivyo majajaji walipaswa kuwa fair enough.
 
ndugu yangu mzee wa rula umesema kweli sana! kuna tatizo.na ndilo liliofanya maana halisi ya hiyo kitu award imepotea kabisa. katika uhalisi mpoki hakustahili.hana alichofanya. labda wamemkarimu kwa yeye na komedians wenzie kuwapigia kampeni ccm uchaguzi uliopita
 
Usiku ule nilikuwa nafuatilia ile show kwenye TV nyumbani, lakini mara baada ya MPOKI kutangazwa mshindi wa tuzo husika nilienda zangu kulala, na nika-conclude kwamba shindano zima liilikuwa ni upuuzi mtupu. Wimbo wa Mpoki nilikuwa sijausikia kabla lakini baada ya kusikiliza mashairi yake ya kijinga (na ku-copy baadhi ya mashairi ya MPOTO) niliona kweli hatuko serious kwenye mambo mengi sana. No wonder hata kwenye uchaguzi wa kisiasa tunaona watu wasio na uwezo wakichaguliwa na wale wenye uwezo wakishindwa. Bado tuna safari ndefu sana Watanzania.

Pole MzeePuch................in this cantre we have neva been serious! ama ulishasahau?
 
Katika yooooooooooooooteeee cha muhimu " HIZO TUZO ZINAWASAIDIA NINI KATIKA MAISHA YAO ZAIDI YA KUTAKA KUJULIKANA TU??"
 
Why was he nominated in the first place?

Nimejiuliza sana kuhusu hili....kwa nini aliingia? Kama ilikua wazi kwamba hafai kuwemo??
Hapa waandaji ni walichemka.....huwezi kukubali crap ikawa kwenye shindano....

Wakulaumiwa ni sisi wapiga kura na wala sio mpoki

:juggle:

Wa kulaumiwa ni hawa waliompitisha hadi kushindana......they are the crapiest...
 
Back
Top Bottom