Krikichino
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 651
- 1,098
Unakumbuka Ile ngoma Water? 🎶Baby Sweat, Baby Water🎶
Sasa msanii ambaye ameimba ngoma hiyo yaani Tayla ameshinda tuzo Ya Grammy usiku huku akiwabwaga wasanii Wakubwa ikiwemo Davido na Burna Boy.
Tayla ameshinda tuzo hiyo kubwa kupitia kipengele cha Best African Music Performance alichokuwa anashindana na wasanii kama Davido kupitia Unavailable, Burna Boy kupitia City Boys na Wengineo wengi.
Ni hayo tu kwa sasa