Tangu lini watu wenye mitizamo tofauti wakaunda umoja?Zitto.
Kwa nini mnawatenga wapinzani wenzenu kwenye maswala muhimu kama haya ya kuunda bajeti hamuoni kama bajeti yenu mnayoiita ya upinzani inakosa nguvu inaoneka ni ya Chadema aina picha ya upinzani...watu kama Prof Lipumba, Dr Sengodo Mvungi ni washauri wazuri upande wa upinzani lakini mnashindwa kuwatumia mnaonekana wabinafsi watu wanashindwa kuwatofautisha na CCM.
Zitto,
First, have my accolades for handling the matter to end with victory on your side. This is how gentlemen setle critique arising from mistakes we partake.
I deserve the auathority to claim being among the founders of this issue who raised a very loud voice through an hypothesis posted here. But so far with this statement you've my pardon and gradually you can regain my trust.
Kwanza ninawapongeza kwa kukubalika kwa baadhi ya mapendekezo yenu. Mhe. Zitto, umeeleza mapendekezo 10 ambayo yamekubaliwa na serikali, lakini hapa umetaja mawili,Kuna jumla ya mapendekezo 10 katika Bajeti Mbadala ya mwaka huu yamekubaliwa na Serikali. Tunatendelea kutoa mawazo zaidi ili kuboresha nchi yetu na kuwaonyesha Watanzania kuwa tukikabidhiwa dola tunaweza kuendesha nchi bila mashaka yeyote.
Zitto.
Kwa nini mnawatenga wapinzani wenzenu kwenye maswala muhimu kama haya ya kuunda bajeti hamuoni kama bajeti yenu mnayoiita ya upinzani inakosa nguvu inaoneka ni ya Chadema aina picha ya upinzani...watu kama Prof Lipumba, Dr Sengodo Mvungi ni washauri wazuri upande wa upinzani lakini mnashindwa kuwatumia mnaonekana wabinafsi watu wanashindwa kuwatofautisha na CCM.
Umakini wa chadema tumeupima kwenye bajeti yao iliyowasilishwa bungeni, hizo nyingine ni story ingawa nimekubali kukiri udhaifu wa CDM.
Kingine, bajeti ya taifa kwa mwaka sio sawa na bajeti ya familia au harusi, inahitaji watu makini sana, ushirikiano wa hali ya juu na wataalam mbali mbali. Tatizo la CDM ni tabia yao ya kujifanya kujua kila kitu hata katika mambo yanayohitaji taaluma maalumu.
Kwa Ubinafsi wa viongozi wa CDM, nahakika haitakuja bajeti makini abadan.